Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

Yaani wanaume tunakosea wapi? Wee ukaweke moyo wako kwa mtu amvaye alitusaliti toka mwanzo wa dunia.
Pamoja na hilo nagundua mwanamke aliyekuwa anafaa kuishi na mwanamme ni yule aliyeumbwa na Adam (nimemsahau jina) ila huyu sijui hawa ni shida aseee!!
 
hahahaha huyo jamaaa fwara sana. Au alimpa mtaji wa pombe au huyo Dada ni konki. Maana week mbili zilizopita jilimeet demu Hugo mm ni man ila alinigegeda nikawa gogo kma wachaga, afu tangu siku io hapokei simu yangu. Basi wazembe watacoment nilikuwa zaifu. LA hasha Huyo binti ni zombie. Sasa ukiendekeza ngono unaweza msaka umchome na petrol
 
Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani.

Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea.

Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rufiji, Kamishna Mwandamizi, Onesmo Lyanga, mwakilishi wake Kamishna Msaidizi, Richard Ngolle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Alisema mtuhumiwa Richard Mathias mkazi wa Buza jijini Dar es Salaam na Masasi mkoani Mtwara anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tukio hilo la mauaji ya vifo sita.

Akieleza tukuo hilo amesema ni wivu wa mapenzi kati ya Regina Mavondo (31) ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa ni mpenzi wa Richard Mathias

“Richard alikwenda nyumbani kwa mpenzi wake Regina Mavondo usiku wa manane Februari 8, 2020 na kuchoma nyumba yake ambayo ndani kupikuwa na watu wengine watano wamelala wawili wakiwa ni watoto wa mdogo wake Regina,”

Aliwataja waliokufa wengine ni Agnes Taimu (26) na Regina Elias (19) ambao walikuwa wanamuita Regina Mavondo mama mdogo.

Wengine ni frida Francis (22) ambaye aluenda kuomba kazi ya kuuza pombe kwa Regina na mtoto wa Frida ambaye anaitwa Nuru Seleman (4) walikufa wakiwa wamelala katika nyumba hiyo.

Mwingine ni mtoto aliyetambulika kwa jina moja la Maimuna mwenye umri wa miaka mitatu ambaye ni mtoto wa Agnes Taimu ambaye anamuita Regina Mavondo mama mdogo

Kamanda Ngolle alisema kuwa miili hiyo imefanyiwa uchunguzi na daktari aliyefika eneo la tukio na kubaini imeungua vibaya na kuteketea kwa moto na kuzikwa pale pale.

Alisema eneo la tukio walikuta dumu la lita kumi la mafuta ya petroli linalodhaniwa kuwa lilitumika kuteketeza nyumba hiyo.

Kamanda amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi na wanapoona kuna dalili za uvunjifu wa amani watoe taarifa kwenye kituo cha polisi ili hatua stahiki zichukuliwe badala ya kukaa kimya na kusababisha madhara.
Je wanaomua kuwa single maishani mwao wapo sahihi ?
 
Yaani wanaume tunakosea wapi? Wee ukaweke moyo wako kwa mtu amvaye alitusaliti toka mwanzo wa dunia.

Wee jigegegdee tuu... Wako wakati unamgegeda akishaondoka ni wa yoyote yule.
Na tena ni wako unapomgegeda huku umemkumbatia kwa ukamilifu.

Ukimgegeda kizembezembe kwa kukariri kuishia kiunoni kushuka chini, wawezakuta huku juu ana chat na mtu mwingine, akawa wewe kakugeuza ni picha ya samaki anayoitumia kushibia ugali anaoula bila ya kitoweo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tena ni wako unapomgegeda huku umemkumbatia kwa ukamilifu.

Ukimgegeda kizembezembe kwa kukariri kuishia kiunoni kushuka chini, wawezakuta huku juu ana chat na mtu mwingine, akawa wewe kakugeuza ni picha ya samaki anayoitumia kushibia ugali anaoula bila ya kitoweo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa warembo ni shida kwa kweli wanawake wamekuwa siti ya daladala
 
Back
Top Bottom