Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

Hiyo sio hali ya kawaida katenda akiwa hayuko sawa, aidha alipata ukichaaa Fulani wa muda au kuna mchezo wa kuswahili
Unajua kuna mambo watu wanapaswa kujiepusha nayo hasa haya mambo ya ushirikina, kwenda Kwa waganga, na kujiunga Au kuingia kwenye haya makundi yanayojiita Freemason, huko ndiko wanakorushiwa vitu vya kwenda kutenda mambo ya ajabu, epuka Sana kwenda au kujiunga kwenye hayo makundi, huwa ni hatari mno na wakataze watoto wako wasije hata kusogelea hivyo vitu kuwa msafi kuanzia mwanzo had mwisho mwiiishi MUNGU na mtumikie Kwa nguvu zote, mtu alietimama au ambaye hajatumwa na hao hawez fanya Jambo Kama hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wanaume tunakosea wapi? Wee ukaweke moyo wako kwa mtu amvaye alitusaliti toka mwanzo wa dunia.

Wee jigegegdee tuu... Wako wakati unamgegeda akishaondoka ni wa yoyote yule.
Hata ukiwa naye mkuu, yaweza kuwa wewe kakuweka kama picha ya samaki analumangila dona.

Ukitaka awe wako wote wote ukiwa naye, umkunje kwa mbele na umdhibiti mpaka macho.

Ukimwachia nafasi wawezakuta unamla huku akichati na mwingine anayempenda kwa dhati, wewe pale ni picha inayomsaidia kukidhi kiu yake ya kimahaba kwa muda huo tu.

Kilio chake cha penzi na huba si kwa ajili yako ni kwa ajili ya yule!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom