Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia rasimilamli zetu.

Tusimame wote kwa nguvu tuseme hapana hizi propaganda za mpira tuachane nazo milele kuanzia sasa. idadi ya vijana wetu walokufa inatisha ni wengi mno halafu serikali ipo kimya, itakuwa ni ujinga na upuuzi kuendelea na mpira hatuna furaha kabisa hatuwezi kushangilia tuwaachie hilo propaganda. push huu ujumbe umfikie kila mtanazania

NB
Maandamano bila vurugu ndiyo yatatupa matokeo chanya aluta continua tukutane next time
 
Kwangu MPIRA NI KABILA
kwangu YANGA NI KABILA
Kwangu TAIFA STARS NI KABILA

ni vigumu kulisusia kabila langu kwa sababu ya makumma machache

KUONA SIMBA NA YANGA WAKIFANIKIWA NI FURAHA KUBWA SANA.

SIWEZI FANYA HUO UKUMMA
 
Binadamu wameumbwa na usahaulifu watasahau tu na maisha yatarejea kama mwanzo
 
Back
Top Bottom