WIto huu usitafsiriwe kuwa sign ya ku-give up mapambano ya kutafuta haki instead it is calling for an action.
Takriban kila wiki,kama si kila siku,mwana-JF mmoja au mwingine anamwaga habari zinazothibitisha kuwa kelele zetu dhidi ya wanaofilisi taifa zetu zinapuuzwa.Nasema zinapuuzwa kwa vile nina hakika kuwa wahusika wanazisoma,aidha wao wenyewe au wapambe wao,lakini nadhani wanaishia kutudharau kwa kusema "watapiga kelele wee mwishowe watanyamaza" au "waache waendelee kupiga kelele sie tunazidi kula kuku kwa mrija".They might be wrong katika hilo la JF kunyamaza but could be right katika hilo la sie kuendelea na makelele tu wakati wao wanaendeleza unyama wao.
Hivi karibuni,JF ilipata blessing in disguise,baada ya mafisadi kujaribu kuidhibiti whiche eventually led to this forum receiving international recognition.Sasa kwanini tusiitumie hiyo reputation yetu ya kimataifa kufanya kitu cha maana zaidi sambamba na kupiga makelele?JF sasa hivi ni zaidi ya pressure group au civil organization.Je tukiamua kuandika barua kwa taasisi kadha wa kadha eg donors wa nchi yetu,US Congress,House of Commons,international media na taasisi nyingine zinazoweza kuwabana wale wenye uwezo wa kuwakaba koo mafisadi wetu,hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa zaidi?
Sijui niite ni petition or what lakini ninachoamini ni kwamba jitihada za namna hiyo,zikiambatana na lundo la mikataba mibovu na skendo lukuki tulizokwishazikusanya,zinaweza kuzaa matunda in the long run.
Mwenye mawazo yanayoweza ku-refine proposal yangu anakaribishwa.Actions speak louder than workds,and together we can bring the desired changes.
Nahisi neno KELELE umelipa negative connotation.You're deadly wrong.Kelele zinaweza kuwa positive au negative,like kelele kanisani kumwomba Mungu,kelele za furaha au ushindi,kelele za pongezi AS OPPOSED to kelele za kilevi msibani,kelele darasani,etc.NINAMAANISHA KELELE ZA JF NI POSITIVE,na ni uzembe kufiriki ninadharau KELELE hizo kama ilivyo uzembe ku-equate a call for an action to jumping a gun na ilivyo uzembe kutafsiri kuwa "nadharau kelele za JF" (you dont need a diploma to realize kwamba kama ningekuwa nzaidharau wouldnt be here calling for action.Subira my a**,mbona lugha ya "TUVUTE SUBIRA" ndio iliyotumiwa na Mwanyika jana na watu wakamlaumu.Hivi kwako,mafisadi wa EPA kuendelea kuwa huru huku tunazugwa kwamba wanarejesha fedha while in fact wanachofanya ni kwenda tu na mawakili wao kuandikishana mkataba...NI JAMBO DOGO?Mwanyika,Hosea,Mgonja,etc kuendelea kuwa ofisini ni VIJAMBO VIDOGO...You cant be serious,man.Kubwa lipi tusubiri kabla ya kuchukua hatua?MlalaHoi:
JF ni sehemu ya mambo mengi si kupiga kelele tu. Kwanza hayo makelele usiyadharau. Fisadi anapofika hapa na kukuta mambo yake nje nje, usidhani ataendelea kuziba masikio na kudharau.
Uzuri wa JF - we chip away, piece by piece; hatuna haraka. Wengine hulenga shabaha na kukosa, lakini mwingine anakuja na kipoint kinachojazia pale palipokosewa; taratibu, hatua kwa hatua.
Pendekezo lako lilishawekwa hapa, na ni zuri; but let us not jump the gun. It is still too early, na mambo mazito ndio yanazidi kujitokeza. Kwa hiyo tuvute subira, huku tukisubiri the opportune moment and the optimum issue that requires International attention.
kumbuka, ukishalialia kwa wakubwa kwa vijambo vidogo unavyoweza kuvimudu, jambo kubwa litakapotokea ukiwaendea tena watakupuuza tu.
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...
STUPID IDEA ! unadhani tz kama taifa kunyimwa misaada itawaathiri akina nani kama sio innocent poor people !.... are we using our own circle of darkeness to light up the room ?
Kada,tunahitaji TOUGH LOVE ku-redress matatizo yanayolikabili taifa letu.Be civil,pleeeez....the word STUPID wasnt neccesary to show your opposition to the idea.
Your correct 100%
Na ukweli ni kuwa hao wanaotupa misaada wanalao jambo, hakuna nchi hata moja itatoa misaada bure bure
Kuna relationship kubwa sana hapa, Mnapewa msaada, pesa hazifiki kwa wanyonge, wanakula viongozi, hao waliotoa msaada wanakuja kuwekeza Tanzania, wanaingia mikataba ya kishenzi wa viongozi wetu, raslimali zetu zinatoweka, na wananchi wanaumia vibaya sana, wamekosa huduma na raslimali imetoweka
Hakuna haja ya misaada kwa sababu haiwafikii walengwa
Na pili sidhani kama kweli sisi tunaitaji msaada kiasi hicho, ni uvivu wa kufikiria tu, serukali inaweza kuinua kilimo na tukapa mapesa kibao, serikali ina madili kibao, Misaada ya nini
Ujinga wa Viongozi wetu, na ndo maana tunajiona maskini, ila sie sio maskini hata kidogo, tu maskini kwa ajili ya akili za kipuuzi za wachache wenye maslai binafsi kama mkapa
Kilimo ninachokizungumzia mimi sio unachokifikia wewe, Unataka kuniambia pakiwa na soko la mazao la kutosha watanzania hawatalima?
Na si kweli kuwa kila mtu anataka kasi ya ofisi, ila watu wanaangalia ni wapi pa kupatia walau pesa ya kula
na ndo maana perception zako zinakwambia kuwa kila mtu anataka kazi za maofisi,
Lakini kumbuka ni watanzania wangapi wameajiri mpaka leo hii, na ni wangapi wanalima kwa kutegemea kilimo hicho hicho kibovu??
CLUE: Subirini siku si nyingi mtasikia kitu toka DC... wasidhani hizi ni kelele tu.. hivi hayo ya Finland wanadhani yanatokea bure... subirini na wahisani wengine watakapoanza kuunga mkono siku chache zijazo...
Mnyika kanenepa siku hizi? dizaini naye keshakuwa fisadi...
majungu hayo! kanenepa kwasababu anakulakula hovyo junk foods....bongo si unajua tena, kuwa na kitambi ni mtama kwa watoto(ujiko, huchukui mtoto bila 'tambi yiiiya....ukiwa kimbaumbau kama mie unaonekana apeche aroroo)!!! mwacheni Mnyika wa watu, tujadili proposal hii toka kwa mkulu mlalahoi.
Kwani nchi zilizoendelea amabzo zinategemea kilimo unadhani wanalima kama Tanzania? Kwani umeambiwa ukilima ndo huingii ofisini, kila mtu ataingia ofisini kwa staili yake na uwezo wake,
Kwa taarifa tu, mimi niko shamba mzee, nakomaa nakilimo tu kaka, kwahiyo wala sitegemei ofisi mimi, ofisi yangu ni kilimo na napiga tu kimtindo
Bongo junk foods zitoke wapi bana...wewe umewahi kuona Wendy's au Quiznos bongo..?