Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
MimibabaKwa utendaji wa Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA nina imani kabisa watabandika kitu hapa JF kutueleza kilichojiri. Nawamini kwa sababu HAWAKURUPUKI
Mimibaba
===> Kurugenzi ya Habari hapa ndio wajue kuwa haya malalamiko yapo,na ni vizuri ya kuyafanyia kazi,sio kuyatolea tamko tu.
Samson Mwigamba, wewe ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha ....hii Angalia ulivyojisahau na kuweka I'd ya komputa yako hapo chini, ni aibu na Mungu huwa ananjia za kuumbua wanafiki........
Soma bandiko #23
Mimibaba na Tumaini MakeneMtu yeyote mwenye akili ya kuhoji mantiki na kutafuta ukweli kwa facts, anaweza kudiriki kuita hiki kitu ni porojo zile zile, zenye malengo yale yale pengine na watu wale wale (naweza kumalizia kitu kingine...).
Tunaweza kujibu andiko lote hili. Lote kabisa kuonesha kuwa ni ---- yenye mission yake. Lakini jina linaloonekana hapo chini kuwa ni ID ya mmiliki wa kompyuta iliyopost hii thread, inanilazimu kufuatilia kwanza kujiridhisha, kisha tuweke kumbukumbu sawa hapa kwa kujibu hoja kwa hoja.
Asanteni.
Makene
0752 691569
Yeye kama Mwenyekiti wa Mkoa ameshughulikiaje hiyo ratiba alizosema kwenye mkoa wake .? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Haki sawa
Mbali ya kwamba hakuna hoja yenye ukweli katika hilo andiko, kwamba hakuna kitu kimeandikwa hapo ambacho tunaweza kukipatia majibu yenye ukweli, unaotokana na facts, ni vyema jambo hilo ambalo nawe umeligundua, ambalo nami nimeliona hapa, wakati napitia andiko hili kwa makini kabla ya kujibu, nilitafutie ufafanuzi.
Asante.
Makene
0752 691569
ErythrocyteMalalamiko kuhusu cdm kwanini yatoke lumumba ?
CDM hawawezi kujibu hizi tuhuma kwani ni chama ambacho hata ukiwaambia mazuri Kwao ni mabaya na kuanza kuporomosha mitusi mikubwa mikubwa!
Wafuasi wa CDM msiwe na haraka kufanya uchaguzi subirini hadi 2030 mtafanya maana mtakuwa mmeimarika Kama Dr Slaa alivyowahi nena!
Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia!
jmushi1Kama hajakupigia,mpigie utupe update.Pengine atasema kuna mtu katumia kompyuta yake.Halafu itaanza vuta nikuvute ya nani aliyeitumia nk.
Personally,guts zangu zinaniaminisha ni yeye,hopefuly atakuwa bold enough na kujitokeza,hilo litasaidia mjadala kuwa constructive na wa hoja kwa hoja.
CDM hawawezi kujibu hizi tuhuma kwani ni chama ambacho hata ukiwaambia mazuri Kwao ni mabaya na kuanza kuporomosha mitusi mikubwa mikubwa!
Wafuasi wa CDM msiwe na haraka kufanya uchaguzi subirini hadi 2030 mtafanya maana mtakuwa mmeimarika Kama Dr Slaa alivyowahi nena!
Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia!
Kama hajakupigia,mpigie utupe update.Pengine atasema kuna mtu katumia kompyuta yake.Halafu itaanza vuta nikuvute ya nani aliyeitumia nk.
Personally,guts zangu zinaniaminisha ni yeye,hopefuly atakuwa bold enough na kujitokeza,hilo litasaidia mjadala kuwa constructive na wa hoja kwa hoja.
hakuna hoja ya kujibu kwani hizo ni chuki zake na Mbowe, yeye anama kazi anayofanya Mbowe na hali za chama hadi sasa
Acapela ya ruzuku imekwama , ya uswis mmekiona cha moto , maana majina halali mmewekewa humuhumu , sasa mmekuja na upuuzi mwingine , eti ushauri ! Tangu lini wahalifu wakawapa ushauri watu wema ?