Wito kwa wana CHADEMA wote!

Wito kwa wana CHADEMA wote!

Magamba bana! Mpini aukalie mwingine, mauno mkatike nyie. Sijaonaga Unafiki wa kiwango kikubwa namna hii. Sisi Chadema tumetulia tulii, nyie Magamba ndio mnaweweseka. Hata kama hamumtaki Mbowe kwasababu anawatesa, yeye ndiye atakayeendelea kuwatesa mpaka 2015 mtakapopelekwa kaburini. Dadadadeq!
Hatubadilishi uongozi kwasasa, Mapandikizi mliyoyaandaa ili yaje kuchukua uongozi mtapiga nayo picha mwaka huu, lazima yawadodee. Dadeq!
Said Bagaile
===>Hapana si jambo baya wakafuata taratibu,mimi sioni kosa hapa,kwa nini uchaguzi haufanyiki?
===>Kama wana sababu inabidi wawaambie wanachama wao na wapenzi wao,sio suala la kukaa madarakani at infinity level.
 
Last edited by a moderator:
hizo ni hadithi za bunuasi or fisi na sungura, Chadema ata wabunge 25 hawatafika na amini majimbo yote ya mjini yanaludi Ccm. kufanyika kwa uchaguzi chadema ni lazima kumbukeni Chadema ni Taasisi, lazima uchaguzi uweopo.

Kama ingekuwa hivyo unavyosema, CCM wasingehaha na kutumia gharama kubwa wanazozitumia. Tunajua ndani ya chama kuna mapandikizi ya ccm na sasa baada ya mipango yao mingi ya kimyakimya kufeli, wanaanza kuweweseka na kujitokeza kwa mlango mwingine badala ya kupeleka hoja kwenye vikao halali vya chama.
 
Haki Sawa
===>Bora amesema,inawezekana ni ishu ambayo ina malalamiko ya chini kwa chini
 
Samson Mwigamba, wewe ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha ....hii Angalia ulivyojisahau na kuweka I'd ya komputa yako hapo chini, ni aibu na Mungu huwa ananjia za kuumbua wanafiki........

Duh! Kweli Shetani hana urafiki wa kudumu na mtu! Leo hii anamvua bikini hadharani pandikizi lililokuwa litumalize kwa vipande thelasini vya CCM! Na bado wengine wataendelea kuumbuliwa mchana kweupe!!! Tulianza na Mungu.......
 
Haki Sawa
===>Bora amesema,inawezekana ni ishu ambayo ina malalamiko ya chini kwa chini

Kuna mabo ya kuandika JF na kuna mambo ya kutafuta majibu kupitia ngazi za chama. Ukishajihakikishia na majibu ya chama bado una haki na nafasi ya kuyaleta JF yakiwa yameiva.

Hapa Mwigamba kachemsha alitakiwa atupe majibu si maswali
 
Duh! Kweli Shetani hana urafiki wa kudumu na mtu! Leo hii anamvua bikini hadharani pandikizi lililokuwa litumalize kwa vipande thelasini vya CCM! Na bado wengine wataendelea kuumbuliwa mchana kweupe!!! Tulianza na Mungu.......
Said Bagaile
===>Chukeuni hii kama taarifa,ifanyieni kazi na sio kuanza kufukuzana,hiyo ni id ya computer ya mwigamba huna uhakika kuwa ni yeye ndie alietuma.
 
Last edited by a moderator:
Ni mpaka mkwe aseme ndio mageuzi yatafanyika ila tusihofu yupo njiani kutoa mwongozo mana mboe mwenyewe haeleweki kashalikoroga hm.
 
Haki sawa, Mimibaba
Yeye kama Mwenyekiti wa Mkoa ameshughulikiaje hiyo ratiba alizosema kwenye mkoa wake .? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Kuna mabo ya kuandika JF na kuna mambo ya kutafuta majibu kupitia ngazi za chama. Ukishajihakikishia na majibu ya chama bado una haki na nafasi ya kuyaleta JF yakiwa yameiva.

Hapa Mwigamba kachemsha alitakiwa atupe majibu si maswali
===>Kama hamkutoa majibu ya kuridhisha mlitegemea nini?
 
Last edited by a moderator:
Samson Mwigamba, wewe ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha ....hii Angalia ulivyojisahau na kuweka I'd ya komputa yako hapo chini, ni aibu na Mungu huwa ananjia za kuumbua wanafiki........

Sidhani kama ataendeleza tena juma lijalo ! Huku ndio kuchamba kwingi !
 
Mkuu mimi nipo JF shabiki wa Jukwaa la Siasa sina nafasi yo yote ya kutoa jibu lo lote la kisiasa la chama cho chote, wala nafasi hiyo sitarajii kuipata. Ila kwa ushabiki tu, sipendi mwanasiasa anayeuliza maswali ambayo anatakiwa ayatolee majibu
Mimibaba CDM inabidi waifanyie kazi hii kitu,narudia pale pale Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene kuna kitu mmeona hapa,fanyieni kazi,hata kama amesema nani,inaonekana kuna kitu kipo kinazungumzwa na vizuri mkafanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mimibaba CDM inabidi waifanyie kazi hii kitu,narudia pale pale Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene kuna kitu mmeona hapa,fanyieni kazi,hata kama amesema nani,inaonekana kuna kitu kipo kinazungumzwa na vizuri mkafanyia kazi.

Kwa utendaji wa Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA nina imani kabisa watabandika kitu hapa JF kutueleza kilichojiri. Nawamini kwa sababu HAWAKURUPUKI
 
Mtu yeyote mwenye akili ya kuhoji mantiki na kutafuta ukweli kwa facts, anaweza kudiriki kuita hiki kitu ni porojo zile zile, zenye malengo yale yale pengine na watu wale wale (naweza kumalizia kitu kingine...).

Tunaweza kujibu andiko lote hili. Lote kabisa kuonesha kuwa ni ---- yenye mission yake. Lakini jina linaloonekana hapo chini kuwa ni ID ya mmiliki wa kompyuta iliyopost hii thread, inanilazimu kufuatilia kwanza kujiridhisha, kisha tuweke kumbukumbu sawa hapa kwa kujibu hoja kwa hoja.

Asanteni.

Makene

0752 691569
 
CDM uchaguzi hadi 2030 tunajenga chama kwanza! Bado tunajiimarisha vijijini na kwenye mashina. Hadi 2029 mipango yote itakuwa tayari!

Hakuna haraka! No hurry in Africa!!!! NO HARAKA WANA JF. Tuvute subra hadi 2030 tutafanya uchaguzi!

Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia!
 
Back
Top Bottom