Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Madame B naomba uniogeshe wewe eeeeh
Nimeambiwa na Asprin kuwa wewe ndio uko juu sana kwenye maogesho

Dah!!
Aisee!!
Umechelewa kidunchu tu Erickb52,
nakata mitaa ya Posta huku nimekuja kukuchukulia Keki.
Asprin ananijua makali yangu ktk suala zima la mtakatisho.
Ila n'tawah ili nije kukuogesha usiku pamoja na kukubembeleza hadi ulale.
 
Last edited by a moderator:
Kwikwikwikwikwikiwkwiiiiiiiiii
Hivi ndio kale kababu ka kihaya pale getini eeeeeh?

Ndio hako hako tehe tehe .....siku ingine ukikakuta ukaachie hela ya sigara nyota eeh !
 
Dah!!
Aisee!!
Umechelewa kidunchu tu Erickb52,
nakata mitaa ya Posta huku nimekuja kukuchukulia Keki.
Asprin ananijua makali yangu ktk suala zima la mtakatisho.
Ila n'tawah ili nije kukuogesha usiku pamoja na kukubembeleza hadi ulale.

We we we ishia huko huko ulikopangwa ......kumwogesha haikuhuuuuu kabisa !....na huu ni msimu wa baridi mtoto haogeshwi usiku ataumwa kifua !
 
We we we ishia huko huko ulikopangwa ......kumwogesha haikuhuuuuu kabisa !....na huu ni msimu wa baridi mtoto haogeshwi usiku ataumwa kifua !

Nitamchemshia maji moto na kumkanda na sponge,n'tampaka Razaq na powder kisha n'tamfanyia massage.
Mtoto Erickb52 kubali.
 
Last edited by a moderator:
Tulia shost watu tuuze sura kwenye miili ya watu.
Hutaki tuache chata nini?

Hahahahaha nshakuogopa Madame B.....kuanzia sasahivi kaa mbali na mtoto lol.....wewe hata keki hakuna kulishwa asee khaaa !
 
Last edited by a moderator:
Nitamchemshia maji moto na kumkanda na sponge,n'tampaka Razaq na powder kisha n'tamfanyia massage.
Mtoto Erickb52 kubali.

Hiyo hapo red itamletea mtoto mafua......kwa sasa anatumia baby johnsons oil tuuuu mpaka akue kidogo !
 
Mmmmmh!! Hawa wazoefu watatuharibia sherehe ya mtoto wetu, mimi nafanya chaguo zuri kule mapokezi, nadhani wageni ndio watakuwa chaguo sahihi.

Hivi kwani ndicho ulichopangiwa na kamati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom