Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Awali ya yote nitoe salam za pongezi kwa bebi erick.
TAARIFA YA LINDO
Muda mchache uliopita nimemtia mbaroni Nyani Ngabu akichoropoa minofu kunako sufuria.....kabla sijaendelea ngoja nimfungulie mlango wa gari bi Lizzy ndo anatinga ukumbini kapendeza kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Awali ya yote nitoe salam za pongezi kwa bebi erick.
TAARIFA YA LINDO
Muda mchache uliopita nimemtia mbaroni Nyani Ngabu akichoropoa minofu kunako sufuria.....kabla sijaendelea ngoja nimfungulie mlango wa gari bi Lizzy ndo anatinga ukumbini kapendeza kweli kweli.

Teh teh teh...
Somo ona visa, vya kusikitisha
Asha hana pesa, anajitongozesha
 
nimechelewaje sasa kukuwish happy birthday!!!!!! hata hvyo najua cake ya jana itakuwaimeisha chukua hii ule leo!! hope you had a happily birthday!!
baby_1250333i.jpg
 
kaka hata post-wishes unapokea? maana nimeshtuka tayari imeshapita!!!
 
Happy birthday to yo !:A S-heart-2::A S-heart-2:

Happy birthday to you!

Happy birthday dear Erickb52 happy birthday to yo

How old are you now, how old are you now, happy birthday, happy birthday , happy birthday to you !

Kata keki tule, kata keki tule......happy birthday, happy birthday, happy birthday to you !
:A S-heart-2::A S-heart-2:





Dear Erickb52 , your birthday is as much a celebration for me as it is for you!

I wish you the best of birthdays, the best one ever and may each birthday be better than the last!

Most of all, I hope you will always be as happy as you have made others..............may all your dreams come true not only on your special day but always, all life through!









:A S-heart-2:
:A S 465: Happy birthday :A S 465:







Wapendwa wote wa chit chat kama mnavyojua kuwa mwenzetu Erickb52 kaachwa solemba na mpenziwe Amyner....hivyo basi kwa heshima na taadhima nawaomba wote tuchukue jukumu la kumfanya mwenye furaha katika siku yake hii muhimu.......mimi na lovely husband Vin Diesel tumeamua kuhakikisha kuwa sherehe hii inafana!......kamati zitakuwa kama ifuatavyo;

VINYWAJI watakuwepo hawa wafuatao: Asprin , Kaizer, PakaJimmy, Preta na Blaki Womani ( PJ atakuwa msimamizi kwenye hili kundi )


CHAKULA watashughulikia hawa wafuatao: Kongosho, gfsonwin, cacico, ummu kulthum, charminglady, Remmy na CUTE



MAPAMBO : afrodenzi, firstlady1, Kipipi, beibe nasty, King'asti na Meritta (plz hakikisheni ukumbi unapambwa mapema iwezekanavyo na unapendeza )


Yummy na mumewe Mr Rocky waliahidi kuleta beseni la kumwogesha mtoto Erickb52.....hili mtamkabidhi Kaunga manake ndie aliyepangiwa kazi ya kumwogesha !

Catherine, Madame B na The secretary nyie mtafuatilia keki kule tulipoweka order na muhakikishe inafika ukumbini kwa wakati !

Bishanga na nitonye watafanya kazi ya ulinzi manake wamepitia mgambo.....plz hakikisheni hakuna atakayezamia kwenye hii shughuli !


HYGEIA , Ndahani na Judgement watakuwepo ukumbini kuhakikisha hakuna mgeni atakayekaukiwa na kinywaji!


Kwa bahati mbaya au nzuri huyu mtoto amezaliwa akiwa na ndevu hivyo basi ni jukumu la Mwanyasi, Mentor na platozoom kuhakikisha kuwa mtoto ameenda saluni !.................mavazi ya mtoto atashughulikia The Finest !

Katavi na BAGAH watakuwepo ukumbini kwa ajili ya kukusanya chupa zitakazokuwa zimeisha vinywaji !



Erotica, AshaDii na Yummy vile wana bed rest hatutawapangia shughuli yoyote !


Rejao , Mwali na Ritz watatuandalia futari kwaajili ya wale waalikwa watakaokuwa wamefunga


Kutakuwepo pia na bendi ya Mashauzi Classic inayomilikiwa na klorokwini pia Zinduna ameahidi kutuletea mchiriku toka zanzibar ! ..... BADILI TABIA na Mamndenyi mtakuwa hai table kumfuta na kumpepea mtoto jasho!
Mtambuzi atatufungulia sherehe na Dark City atatufungia !

Nyani Ngabu ameahidi kutoa gari litakalomleta mtoto ukumbini na The Boss ameahidi kutoa gari la kumrudisha mtoto nyumbani baada ya sherehe !


Ni matumaini yangu kuwa sherehe yetu hii itafana :flypig::flypig::flypig:




Erickb52 we loves you very much !













Happy birthday
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom