Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

khaaa! waeza sema miye sina pumzi? ulionaje ule mchezo tuliocheza na STD? uliamini ingekuwa mechi kali? haya namba ulonipa chikago je ulinikubali? dive na smash niko juu. chezeya mwl wewe wa volleyball? ka taarifa yako nilifundishwa na masista kucheza.

Hommie Asprin na swtlo gfsonwin mnaweza kudhani kuwa kweli kama Mwenyekiti hapa nimeelewa kitu?

Hivi masogange mmemwona?
 
Last edited by a moderator:
0011.gif

Wishing you all the smiles
and happy moments
that you deserve
on your special day!
0003.gif
0003.gif
Happy Birthday to you!
0004.gif
0004.gif

0007.gif
0011.gif
0003.gif



Hii picha imenichukua muda sana kuiangalia afrodenzi ......
I real appreciate you [B afrodenzi[/B]
Uko juu sana kama kwa haya mavitu lol
Asante sana mwaya...Mungu awarudishie baraka kama mnavyoniombea.....
Sema Ameeen!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday buddy Erickb52. Ukifikisha miaka 19 niambie nikukabiz mjukuu wangu ummu kulthum umkague. BTW karibu kwenye chama chetu cha walisogeleao kaburi. Chonde chonde uzee noumaaa!
Hahahaaaaa Asprin bhana lol
Nikifikisha ntakuambia ila usininyime ukaguzi eeeeh
 
Last edited by a moderator:
sIWAAMINI KABISA HAWA WABABA WAWILI NILIOPANGIWA NAO!..Wadada sina shida nao!
Naomba sana nibadilishiwe, maana hawa wataathiri sana stock ya KONYAGI!
Nilifanya nao shughuli pale Mabwepande walivuruga sherehe, maana walisababisha wanywaji wa KONYAGI waondoke wakavu!
Naomba mleta mada fikiria upya, weka wengine wowote, lakini si hao wawili!
Tujali majaliwa na haki ya wanywa KONYAGI wengineo bana...khaaaa!

Hahahahaha PJ mie pia hao watu wawili nawajua vema ndio mana nikakuweka uwe msimamizi lol.....yaani kama Asprini tayari ashaanza kulewa sahizi !.....ngoja nitafute wengine hao niwapeleke jikoni !
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Brother
Siku yako hii ikawe ya baraka na rehema na ubarikiwe kuishi maisha marefu yenye furaha na amani.
Mungu akujalie siku zako zikawe za heri uishi kuona kile ambacho Mungu amepanga katika maisha yako miaka yako ikawe kama ya Ibrahim yenye baraka tele.
Happy Birthday once again brother

sweetlady kazi yangu nishafanya na tutakuja baadae na my wife wangu@yummy kushangilia na kupata ulaji
Ila Erickb52 aangalie sana asimalize cake mapema

Keki haikatwi mpaka wewe na your lovely wife Yummy mfike !
 
Last edited by a moderator:
Halafu pliiiiiiiz sweetlady.............naomba unibadilishie kamati, nataka ya vinywaji:

na naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa kila chupa nitakayoipeleka mezani na kwamba nitaitumikia na kuilinda na kuiheshimu kwa mujibu wa mila na desturi za jf chitchat eeeeh mods nisaidie.
 
Last edited by a moderator:
Halafu pliiiiiiiz sweetlady.............naomba unibadilishie kamati, nataka ya vinywaji:

na naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa kila chupa nitakayoipeleka mezani na kwamba nitaitumikia na kuilinda na kuiheshimu kwa mujibu wa mila na desturi za jf chitchat eeeeh mods nisaidie.

Utachukua nafasi ya Kaizer yeye nimemuhamishia jikoni vile PakaJimmy hana imani nae.....tafuta na mwingine achukue nafasi ya Asprin !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom