Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Kua kwanza,
utayakuta uraiani.
Au umeusahau ule msemo?
Mi ntaujuaje na ndio nimezaliwa leo...
Kwanza nashangaa huyu rafiki yako sweetlady ananiletea fitina tangu asubuhi hebu mwambie ana hamu na ngiri ya kike?
 
Last edited by a moderator:
ERICK.JPG
Hongera sana kukufikisha Idadi ya posts hizi...
 
Mh mbona mchonganishi aisee we mdada?
Unajua hapa unaweza sababisha sherehe ikaharibika mazima
Lol Mamndenyi njoo mama yangu huku tuongee kidogo!

Mbona hujibu suali kijana ? Remmy unamtaka au humtaki ?.....nataka ibaki kwenye hasard kwa manufaa ya kizazi kijacho lol!
 
Last edited by a moderator:
Sogea huku nyumanyuma si unajua kwenye sherehe wale wajanja wa mjini huwa tunakaa nyuma kbs tufanye maujanja yetu ya kikubwa.
Kwanza wait,wakezo wako wapi n'sije mpasua mtu humu ukumbini.
Come,come.
mmmhhhh! umdhaniaye ndiye wallah! lol, na mjini vijiti kupokezana khaaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom