Mr Rocky maelekezo pleaseee! Nataka kumwona sweetylady live bila chenga ah ahaaa!
Hahahaaaaaa hawa huwa hawachelewi kukufanya kama adhabu lol
Utashangaa mnakesha mchana kweupeeeeee
Ila ngoja niende maana bahati huwa haiji mara 2 lol
Hahahahaaaaaa mbwembwe hizo lol KARIA uje ukiwa ushashtua kidogoMr Rocky maelekezo pleaseee! Nataka kumwona sweetylady live bila chenga ah ahaaa!
Hahahaaaa siunajua hata mtoto anapenda raha sema tu hawezi kusema ila mi nimeweza kusema so wacha nile raha tuWewe ndio mana umezaliwa na ndevu lol.....mtoto mdogo unajua kukesha khaaaa!!!!!
Hahahahaaaaaa mbwembwe hizo lol KARIA uje ukiwa ushashtua kidogo
Halafu utashangaa tuko ukumbini ila hakuna anayemjua mwenzake lol kimya kimya ila mimi mtanijua
Dah umesema sawa kabisa
Sasa sweetlady akinipa akina BADILI TABIA na Kongosho si ananikomaza tu mtot mdogo mie lol
Achana nae mi nataka kimya kinyemi kama mimi nilivyo lol
Hahahaaaa siunajua hata mtoto anapenda raha sema tu hawezi kusema ila mi nimeweza kusema so wacha nile raha tu
Hahahaaaa nimeacha mbwembwe siku hizi utashangaa hunijui pia lolWewe vile una kiherehere lazima kila mtu atakujua lol......na uangalie wasijekupeleka mabwepande namake hii sherehe wamealikwa CDM na CCM chunga sana !
Yaani kama huyu Erickb52 ndio kabisaaaaaaaaa!