Thante swthrt....
Hulo ndio muhimu.....Hehehehe jipe moyo mwaya !
Hahahaaaaa nahisi alikuenda ukajifanya hujui akaamua kukuchukia mazima...siunajua tena anahisi ulimtesa sana hadi akaamua kukimbilia kwa Vin DieselAfadhali umenitetea swahiba maana sweetylady tayari alitaka kunitoa nduki