Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Hiyo hapo red itamletea mtoto mafua......kwa sasa anatumia baby johnsons oil tuuuu mpaka akue kidogo !

Jamani mbona vikwazo vingi shostito?
Haya basi utanikabidhi hyo Johnson nimpake.
Ila sharti apakwe bila nguo,macho yaangalie juu.
 
Mmmmmh!! Hawa wazoefu watatuharibia sherehe ya mtoto wetu, mimi nafanya chaguo zuri kule mapokezi, nadhani wageni ndio watakuwa chaguo sahihi.
Dah umesema sawa kabisa
Sasa sweetlady akinipa akina BADILI TABIA na Kongosho si ananikomaza tu mtot mdogo mie lol
Achana nae mi nataka kimya kinyemi kama mimi nilivyo lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom