gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
kila kijiwe ni Lowasa tu,
Hakuna watu nawashangaa kama polisi nchi..huku mtaani mtu mwenye maisha duni polisi ni namba moja! Mishahara hata receptionist wamewazd, housegel wangu ana maisha mazuri kuliko polisi wa form four failures hawa..nashangaa wanavyotumika na wenyewe kujituma kuikanyigia haki!! Hata kama "soldier is like a dog, you receive order n execute"" akili za kujiongeza hakuna?? miaka kumi hawana maisha bora leo hii huyo huyo aliwaachia umaskin bdo unaeza mckiliza kisa vimishahara vya lak mbili???? hii inaezekana tz tuu
Hakuna hoja kuna ushabiki wa kijinga.
Dunia hii uliona wapi mtu anaponda jeshi kupata vitendea kazi?
Mvua na gari za police kipi bora?
acha utumwa wa kisiasa wewe,, face da reality!
ulinzi unaimarishwa kutokana na kauli zenu wenyewe,tatizo lenu huwa mnaibeep serikali majukwaani halafu ikiwapigia hampokei.
serikali haiwezi kuona raia wake wanashindwa kulala usingizi na kufanya shughuli zao za kimaendeleo kwa sababu ya tamaa zenu za uongozi wakati hamna sifa ya kua hata madiwani.
mi nasema atakaekiuka utaratibu na apigwe tu mana hakuna namna nyingine
polisi na afya kipi zaid? polis vyote hvyo kwa lipi ndan ya nchi hii?? ushawahi fika wodi ya wazazi muhimbili wewe?? achen kuwaza kindez
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Hakuna hoja kuna ushabiki wa kijinga.
Dunia hii uliona wapi mtu anaponda jeshi kupata vitendea kazi?
Dah, yaani me nilikuaga namuheshimu sana huyu Mkuu, ila kwa alivyocomment ndani ya miezi hii miwili, Acha nifunge mdomo wangu!!