Justinejm
Senior Member
- Jul 6, 2015
- 129
- 26
Ningetegemea watanzania tuwe na akili zenye maarifa nyakati hizi, hawa watu hatuwajui vema itupasavyo na ndio maana wanatulaghai tena na tena kwa siasa zao za uongo . Lakini nyakati na matukio yanayotupa nafasi kuwafahamu vizuri bado tunajifanya vipofu tusioelewa! Sasa ndio muda pekee wa kujua kuwa hao ni wauaji na sio wauaji tu waoweza kumuua babaye na "vicent" bali mtu yeyote atakaekuwa kikwazo kwa uovu wao.
Wanaweza hata kuangamiza taifa zima kama itafikia siku wao wapo madarakani na taifa likaamka kuwa kikwazo cha uovu wao, haitatokea kwa bahati mbaya, bali watafanya kwa makusudi mazima . Watanzania tunapaswa kugundua kuwa Mwenyezi MUNGU ametupa neema ya kupata uamsho wa ghafula wakati hao jamaa hawajatarajia ndio maana hawanavurugu wanaweza kuanzisha kwa sasa ila kufanya ugumu wa chinichini; hii ni neema tu ya MUNGU anaelitakia amani taifa letu lakini mwamko huu wa mabadiliko unaotishia maslahi ya waovu wakuu namna hiyo ungekwenda taratibu nna hakika wasingeuruhusu na wangeweza kufanya matata makuu hapa Tanzania.
Waliouawa , walioteswa , wanaoteseka na wote tunaonyimwa haki na kugandamizwa ni nani ana haki zaidi ya mwenzake? Kama wamewafanya hivyo wenzetu, sie je , hawatathubutu? Tunajisahau kwa kuwa tu hayajatufika , na wao wanaufurahia ufinyu huo wa fikira zetu!
WITO WANGU NI KUWA , MABADILIKO YA GHAFULA NAMNA HII NI HEKIMA TU YA AJABU YA MUNGU KUTULINDIA AMANI YETU, AMEONA NI LAZIMA MASHETANI WASHTUKIZWE ILI WASIFANYE UOVU WA LIBYA NA IRAQ KAMA WALIVYODAI WENYEWE, SASA BASI TUTUMIE NAFASI HII VEMA KUMNG'OA ADUI HARAKA NA KWA AMANI AKIWA ANAONA HAYA HATA KUFYATUA RISASI MOJA KWETU VINGINEVYO TUTAJUTIA MILELE NAFASI HII NA TUSIJEKUMLAUMU MUNGU TENA!
Cc Mbatia, Mbowe, Mnyika,Mdee, Sumaye, Kingunge na makamanda wote hili liwe neno lenu la maonyo ya mwisho kwa watanzania tarehe hizi kabla ya uchaguzi.