manya kitula
Senior Member
- Apr 1, 2015
- 178
- 45
Amani yetu imeeharibiwa na tamaa ya viongozi. Ukimyima mtu haki yake ni muda tu atakugeukia. Hawaoni Lowasa akishangiliwa kama rais? Ngoja tuone!
This is too low hasa inapotoka kwa mtu anayeheshimika humu kama wewe...muda ulioutumia kuandika post yako ungeweza kuutumia kujibu hoja yake.
Me I think,there is nothing to worry about-Kikwete anajua fika kwamba eyes and ears of the world are focusing on Tanzania-a slight miscalculation on his part and ICC will beep him-sioni kama ana guts za kuishia The Hague-hapa ndio watanznia tumebahatika
Hizi ni hoja zinazojengwa na fikra za kihalifu.
Kama vipi, hata jeshi la polisi livunjwe kwa sababu linatishia amani nchini.
Kuna umuhimu gani wa kuwa na polisi bila nyenzo zao za kazi.
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Ishu sio jeshi la polisi kupatiwa chenzo za kazi mkuu ila timing ya kupatiwa hizo nyenzo.
I dont care. . . National interest over my shoulders till the last drop
1. Rapid Response Team/Unit needs reliable means of transport. . . .
2. Ever heard of gender desk??!! Are you aware of GBV prevalence rate in rural and challenges asssociated??!!!!
3. Some issues are not for every Tom, Dick and Harry. . . .
RIP all men in boots who stood night storms and died in uniforms. . . .Mkuranga, Staki Shari, Misugusugu to name but a few
Kubali tu kuwa upo nje ya key and you are just fighting to save your face in the name of national interests. Hakuna National Interests hapo. Wote tunawapenda askari wetu na tunazikubali kazi zao usisahau kuwatakia RIP raia waliuawa na hizo response teams kwa silaha nziti ili hali raia hao wakiwa hawana hata jiwe mkononi wala na pengine wakiwa na siku mbili hawajala
YOU are barking at the wrong tree -go tell that to Lowassa whom I quoted-all in all mtanyoka tu,days are numberedUnapocomment uwe una.uhakika na unachoandika...kuna kitu kinaitwa sovereignty ya dola na hata Ukiwa umezikubali docs za icc kwenye bunge lako...ratification process bado sovereignty ya state iko juu na sheria za ndani ziko juu ya za icc..icc inakuja tu pale dola yenyewe yaani nchi/serikali inaposema kesi hizi hatuna uwezo wa kuzisikiliza...hapo icc inaingia Mfano wa kenya..icc ni mahakama
ya kivita itafanya kazi automaticaly kama kuna vita baina ya mataifa au ya ndani...hapo icc statutes zinatumika bila kualikwa..Mfano Sudan,
Acheni ushabiki wa kipuuzi...
My face is high up, political staging is OVER. . . .you wanna know whether the tune is up or off key just poke your nose beyond the red tape. . . .Then the definition of National interest . . . will be spelled for you accordingly sir
Emotional sober hizo...you are completely blotto your honor , kupigwa na kuuawa kwa raia kwako ni kulinda National interests bila shaka hata kushuka kwa elimu, mahospital kukosa hata ambulance na mafuta, kukosekana kwa madawa hivyo bila ya shaka mtavi term as pillars of national interests.
Hivi unajua kuwa wafanyakazi waliostaafu wameambulia pensions walizokua wakikatwa kwenye mishshsra yao peke yake? Mwajir wao ambaye ni serikali hakukabidhi michango yake kama sheria inavyoamuru!! unajaribu kuongea nini wewe!! Where is national interest hapo? kuwahujumu na kuwanyima haki zao wafanyakazi hawa walioitumikia serikali kwa muda wote ndiyo national interets!!! Fikiri vizuri acha kujidondosha kibwege namna hiyo!! Unadhani baada ya mimi baada ya kugundua kuwa muajiri wangu ameninyima haki zangu nitakua na mawazo gani hapo? unategemea nitapigia makofi hiyo migari waliyopoteza hela kununua ili hali nikijua likipasuka kioo tu au hata kufa kifaa chchote kile litaishia kupaki....unajua watakua wameipaki milioni mia ngapi kwenye mawe? Acheni kutupa hasira kwa kuwa tu mnafaidika na mifumo mibovu na kandamizi iliyopo hivi sasa!!