Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.

Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?

Nilikuwa nasubiria utaandika nini kwenye hili ila nashukuru umeandika kama nilivyotegemea. yani umekaa kichawi chawiiiiiiiii!!!!!!!! kweli ukiwa ccm huna tofauti na mchawi maana hata jema huona baya na baya huona jema
 
Acha hofu mkuu, rais JK ni mtu wa demokrasia sana sema kuna majitu yanayomzunguka ndiyo yanamuharibia na kumpa presha; rejea issue ya Katiba mpya. Jana kaongea kauli ya kidemokrasia, kwamba yuko tayari kukabidhi nchi kwa rais yeyote yule atakayeshinda. Penye kusifia tusifie, penye kukosoa tukosoe.

Kumbuka ni huyu JK aliwaambia CCM wenzake kule Dodoma kuwa, "Wajiandae kisaikolojia kwani wanaweza kung'oka." Kwa hiyo yeye amekwisha jiandaa kisaikolojia tyr, wito wangu ni kwa ccm wengine waige mfano wa rais wetu.

Binafsi, naamini JK hatatuangusha kwa kukataa kuruhusu upinzani kuingia ikulu. Hiki ni kipimo chake cha mwisho kidemokrasia ili atwae tuzo ya Mo. Ibrahim.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Ukawa.

Usiangalie anasema nini, tazama matendo yake.
 
Umeandika mambo mengi lkn nakujibu kwamba ukiwa raia mwema hakuna mahali ambapo utakumbana na Jeshi letu, haya yote Serikali yetu inayoyafanya ni kutulinda raia wema dhidi ya watu wabaya kama fisadi Lowasa, Mbowe Tundu Lisu & Co.!

Naona hujaelewa hoja yake au kama umeelewa basi unajitoa fahamu. alichomaanisha ni kuwa serikari ya ccm inaendelea kuwatumia wananchi wajinga kama mtaji wake kwa kuwatisha kuwa wakichagua upinzani amani itatoweka. na wanaleta magari kipindi hiki cha mwisho kana kwamba uchaguzi ni maamndaliza ya vita.
 
Wewe siku hizi lazima utakuwa unapiga bange tuu, unachanganya mambo mpaka unatia mashaka.

Hata wanaovuta bange hawachanganyi mambo kama huyu bibi ,ana macho lakini haoni pia anayo masikio lakini hasikii kutwa kuchwa kakaa kitako kuitetea Serikali na Jakaaya hata kwa mambo yanayovunja katiba ya nchi...
 
Hizi ni hoja zinazojengwa na fikra za kihalifu.

Kama vipi, hata jeshi la polisi livunjwe kwa sababu linatishia amani nchini.

Kuna umuhimu gani wa kuwa na polisi bila nyenzo zao za kazi.

Mapenzi yakizidi kila kitu unakiona kutokana na mtazamo wa mapenzi hayo,hata ukweli unaweza usiuone kwa kuwa tu unapenda.Tatizo sio kuwa na nyenzo bali ni kwa muda gani,kwa aina gani kwa dhamira ipi,nini kilisemwa wakati wa utoaji na mtoaji wa nyenzo hizo.
 
Serikali yenye viongozi wengi wanaotumia nguvu za giza ni tatizo
 
Swali la kipimajoto
Je ccm inaponunua gari za polisi 777 bila kununua ambulance hata moja au kuboresha huduma za afya kwa namna yoyoye, je ni ishara kwamba nchi ina wakorofi wengi kuliko wagonjwa?

Jibu Ndio
Hapana
Sijui

Tunatakiwa kufahamu kwamba kila jambo lina umuhimu wake, mimi sioni tatizo la serikali kununua magari ya polisi. Wanaochukia hilo ni wale waarifu na wafanya fujo tu, kama ww ni raia mwema utapenda hata kuliona gari la polisi kwa sababu ya uhakika kuwa upo mahala salama.

Pia, Tanzania ina polisi chini ya 40000 na vituo vya kupiga kura vipo zaidi ya 70000 kwa maana hiyo tuna uhaba hata wa hao polisi, mimi simaanishi afya isipewe kipaumbele bali usalama kwanza maana amani ikitibuka ni vita, mkiangalia hata mataifa ya jirani kuna vurugu kutokana na uchaguz tu. Tumejua kwamba Kenya, Rwanda, Burundi, nk kuna ukabila kutokana na uchaguzi tu na si vinginevyo, usalama wetu ni muhimu na afya ni muhimu.

Zile machine za voters' ID ziligharimu 85mn dollars, equivalent to 185.47595bn za kitanzania, mbona hawakusema Serikali imepoteza hela? Si tunahitaji hyo huduma. UKAWA waambieni waache upumbavu.

Huyu anayeandika hii kusema CCM imenunua gari la polisi na sio gari la kubeba wagonjwa ni mchochez wa vurugu tu, na kama ningekuwa askari ningemkamata upesi. Tuache siasa za kuharibu amani ya nchi. Ina maana waliotoa hilo agizo ni wajinga? kila kitu kina muda wake na wala serikali haijakosea kufanya hvyo.

#CCM haijanunua ni Serikali ndo imenunua

..............................MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YAKO BINAFSI NA TANZANIA KWA UJUMLA.................................................

Wewe ng'ombe nini!!! Unawaitaje watu wa ukawa wapumbavu? Mbona hivyo vifaa visinunuliwe kipindi hicho kabla ya uchaguzi leo hii kipindi cha uchaguzi ndio imefikia muda wa kuvinunua? Acha kampeni uchwara, umeongea kwasababu wewe ni fisiem, Hamna point ya maana hapo wewe ni pointless na msengenyaji
 
Lakini serikali iko radhi kuona raia wake wanakufa kwa kukosa madawa hospital, iko radhi kuona wanafunzi wanasomea chini, iko radhi kupandisha twiga ndege, ipo radhi kuona wamama wajawazito wanalala na kujifungulia chini, ipo radhi kuipiga chini katiba ya maoni ya wananchi ?? We should put this to an end for God sake
Haki ya mama mwaka huu tutaheshimiana

na uwe mstari wa mbele sio unaongea tu
 
Mbona bado hawajatutisha? Watafute vitisho vingine ila kuiondoa CCM ni jambo lisiloepukika.

Kama kuikataa CCM ni dhambi basi mimi niwe wa kwanza kuhukumiwa kwakuwa siamini kama CCM ina uwezo wa kuongoza Tanzania ya karne ya 21. Tatizo lao kubwa ni kuwa mtaji wao ni ujinga bahati mbaya kwao Watanzania tumepata uelewa wa haki zetu sasa watatuongozaje?

#CCMOUT
 
amani ipo na wavunjifu wa amani wapo na dawa yao ipo jikoni! maji ya washa washa na kuvunjwa miguu kunawasubiri
 
Samahani sana wana jf kwa kuquote haya maelezo marefu, na yangu sio kuwachosha lakini kuonyesha kuwa jf imeingiliwa. Pia kuwaonyesha kuwa unahitaji kuwa na akili za kushikiwa ili kuwa fisiemu!
Swali la kipimajoto
Je ccm inaponunua gari za polisi 777 bila kununua ambulance hata moja au kuboresha huduma za afya kwa namna yoyoye, je ni ishara kwamba nchi ina wakorofi wengi kuliko wagonjwa?

Jibu Ndio
Hapana
Sijui

Tunatakiwa kufahamu kwamba kila jambo lina umuhimu wake, mimi sioni tatizo la serikali kununua magari ya polisi. Wanaochukia hilo ni wale waarifu na wafanya fujo tu, kama ww ni raia mwema utapenda hata kuliona gari la polisi kwa sababu ya uhakika kuwa upo mahala salama.

Pia, Tanzania ina polisi chini ya 40000 na vituo vya kupiga kura vipo zaidi ya 70000 kwa maana hiyo tuna uhaba hata wa hao polisi, mimi simaanishi afya isipewe kipaumbele bali usalama kwanza maana amani ikitibuka ni vita, mkiangalia hata mataifa ya jirani kuna vurugu kutokana na uchaguz tu. Tumejua kwamba Kenya, Rwanda, Burundi, nk kuna ukabila kutokana na uchaguzi tu na si vinginevyo, usalama wetu ni muhimu na afya ni muhimu.

Zile machine za voters' ID ziligharimu 85mn dollars, equivalent to 185.47595bn za kitanzania, mbona hawakusema Serikali imepoteza hela? Si tunahitaji hyo huduma. UKAWA waambieni waache upumbavu.

Huyu anayeandika hii kusema CCM imenunua gari la polisi na sio gari la kubeba wagonjwa ni mchochez wa vurugu tu, na kama ningekuwa askari ningemkamata upesi. Tuache siasa za kuharibu amani ya nchi. Ina maana waliotoa hilo agizo ni wajinga? kila kitu kina muda wake na wala serikali haijakosea kufanya hvyo.

#CCM haijanunua ni Serikali ndo imenunua

..............................MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YAKO BINAFSI NA TANZANIA KWA UJUMLA.................................................
 
Hiyo ndiyo serikali ya CCM.

Kuongoza imeshindwa imebaki na vitisho tu.
NN,
Jenerali Ulimwengu aliwahi kuandika makala huko nyuma kuwa hata mambo ya kipuuzi sasa yametushinda!!
CCM wamewekeza katika hujuma, vitisho na uchakachuaji illihali eti wanahubiri amani.....ipi? kivipi?

Haki haiombwi bali hudaiwa - hivyo tutaidai na itapatikana tu. Safari hii wakikataa maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura historia itamhukumu Kikwete, Kinana na CCM sasa na hata milele kwa kosa hilo ovu kabisa.

Rai yangu ni hii: Hata kama CCM wameshindwa kuheshimu katiba na taratibu za chama chao ni budi wasipewe nafasi kufanya hivyo katika ngazi ya Taifa. Lazima tuweke mpaka unaoonekana ya kuwa uhuni huo ni huko kwenye ngazi ya vyama.

Tanzania ni ya kila raia wa Tanzania mwenye na asiye na chama, na ni muhimu kuliko chama chochote cha siasa ikiwemo CCM.
 
Reality unaijuwa au unakisia tu?

Mkileta mchezo, mjuwe vijana wamejipanga! Mtaisoma namba!
Kwa CCM hiyo ndiyo mnayoiita mikakati ya ushindi. Nimekuwa nashangaa sana CCM ilipokuwa inashangilia "ushindi wa kishindo" kwenye chaguzi zote toka 1995.
1) Mnaiba kura na kukanyaga demokrasia nchini
2) Mnahujumu wapiga kura na matokeo
3) Mnatumia taasisi za serikali kwa faida ya chama chenu na hasara ya Taifa
4) Rushwa (ya wazi wazi)
5) Kusigina mamlaka ya mihimili mingine halali ya Kikatiba.
6) Mauaji na uhalifu mwingine

Hivi mlipokuwa mnashangilia huko nyuma mlikuwa mnajua kilicho nyuma ya pazia kweli? Au ndo hivyo mkuki kwa nguruwe....

Nitapenda kusoma maoni yako dada yangu Faiza baada ya CCM kushindwa wiki ijayo. Naamini wakati huo tutazungumza na kutazama mambo katika level inayofanana na uhalisia.
 
Back
Top Bottom