Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,718
Wow.. Mkuu ni wewe kweli??
This is absolutely rubbish
Dah, yaani me nilikuaga namuheshimu sana huyu Mkuu, ila kwa alivyocomment ndani ya miezi hii miwili, Acha nifunge mdomo wangu!!
Wow.. Mkuu ni wewe kweli??
This is absolutely rubbish
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Dada FF najua mahaba yako na ccm pia najua unatokwa povu tu hapa lakini yaliyo elezwa yanagusa mtima wako.... ni mjinga pekee atakae puuzia uzi huu kwamba hamna hoja... lakini wewe najua unaatetea mkate wako.... watawala hukosa busara na hekima, humweka Mungu pembeni japo wanasali na vibaraka wao kama wewe huwapigia makofi... ila wakati ukifika utakuwa umeisha umiza wengi ila uhuru kamili utapatikana... pole dada angu.
Kawadanganye kunguru wenzako huko lumumba.Wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa. Watanzania laleni amkeni nendeni kwenye shughuli zenu lakin hamjui wapo watu hawalali wanakesha kuhakikisha ulinzi wa taifa hili. Kuna watu hawana muda wakuka na wake za na waume zao na familia zao yote ni kuhakikisha amani ya nchi hii. Kiweni na huruma watanzania laiti mngetaka kila linalojiri tz litangazwe basi ndo mngejua tz ni nchi isiyokuwa na amani. Matukio mengi yamezuia yasitoke na vyombo vya ulinzi na usalama kimya kimya. Jamani hali ni tete upande wa pili hao ukawa wana mikakati ambayo ukiijua leo unaweza kimbia nchi. Lakin vyombo hivi vimekesha kuzuia mikakati hiyo. Narudia usilolijua ni sawa na ucku wa giza. Acheni serikali ijiandae kulinda amani ya watz kutoka kwa wale wanaotaka kuichafua. Watz kuweni na hata shukurani chembe kwa vyombo vya ulinzi na usalama
Huyo jamaa wenu huyo mrithi wa kumlindia maslahi hampati. Endeleeni kujitekenya.
msukule wa ccm at work,
poor you,
wana kura yako moja tu humu,
ccm ni ileile men!!
hambadiliki!!; keh!!!!
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.
Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?
Bora kujifungulia chini hospitali kuliko kujifungulia chini vichakani, thanks wazazi wamepata awereness na wanaitikia kujifungulia kwenye vituo vya afya,Bado kuna watu wamezibwa masiko watu wanajifungulia chini hakuna vitanda lakini pesa za magari zimepatikana...na baada ya miaka 5 hayo magari yako hoi kwa kukosa service..
Hakuna hoja kuna ushabiki wa kijinga.
Dunia hii uliona wapi mtu anaponda jeshi kupata vitendea kazi?