dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Why now....
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Very analytical, extremely readable. Watanzania wamebanwa kote kote hawana pa kupumulia. Lakini hata Shah aliyekuwa na majeshi maradufu, hatimaye aling'olewa. Siku walio wengi watakapochoshwa na hali iliyopo, hapo chochote kinaweza kutokea.
Jamani mbona tuna wasiwasi hivyo? Hamkumbuki uzinduzi wa bomba la gesi juzijuzi na sasa Dar makali ya Mgao wa Umemenyamepungua sana??? (Sijui mikoa mingine), hamkumbuki malipo ya madeni ya walimu, maboresho ya vyombo vya ulinzi na usalama, n.k. Inawezekana kwenye hizi siku chache kuna mambo mengine yanakuja kabla ya tarehe 25 october kwani jinsi kasi ya maendeleo inavyotokea ndani ya wiki mbili hizi ni kubwa sana......tuendelee kufunga na kuomba!
Dada FF najua mahaba yako na ccm pia najua unatokwa povu tu hapa lakini yaliyo elezwa yanagusa mtima wako.... ni mjinga pekee atakae puuzia uzi huu kwamba hamna hoja... lakini wewe najua unaatetea mkate wako.... watawala hukosa busara na hekima, humweka Mungu pembeni japo wanasali na vibaraka wao kama wewe huwapigia makofi... ila wakati ukifika utakuwa umeisha umiza wengi ila uhuru kamili utapatikana... pole dada angu.
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha "kiulinzi" kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu.
Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari mmapya zaidi ya 700 leo na yanasambazwa nchi nzima.
Najiuliza, hatua hizi za kuonyesha ukakamavu na uimara wa ulinzi leo hii ambapo tunakaribia kutimiza haki yetu ya kidemokrasia na kikatiba inatokana na nini?
Iweje ghafla kuwe na umuhimu wa kuhakikisha ulinzi na usalama uko imara zaidi kwa tendo la kuaminiana na linalohitaji amani, busara na hekima kuhakikisha katiba yetu na demkorasia tunayo ihubiri na kujisifia kuwa na amani, utulivu na mshikamano ni kitu cha kweli na si ulaghai na kiini macho?
Ni kitu gani hasa ambacho si sahihi na kina walakini kufikia hatua wananchi wanaweza kukosa imani na utiifu kuanzisha fujo na Serikali kuonelea ulazima wa kutunisha misuli "kudhibiti" amani?
Najiuliza ni wapi tumekosea kwamba Serikali na hasa Chama Tawala kukosa kuaminika kwa wale ambao si wafuasi wa Chama Tawala?
Je ni nchi ya namna gani tunaijenga inapofikia Serikali iliyoko madarakani inaonekana imejenga mazingira yasiyo ya haki, demokrasia na utu kwa manufaa ya Taifa na kuwa na upendeleo au kulazimisha Chama kilichoko madarakani kitumie dola kujihakikishia muendelezo wa utawala wake?
Hisia za hujuma zilizoonyeshwa katika chaguzi zilizopita zimepuuziwa. Mazingira ya rushwa yameendela. Vitisho vya kidola na nguvu za dola na hata kauli kuashiria mwananchi akitumia haki yake kikatiba na kuchagua anachokipenda kwa utashi wake, kuna hatari ya nchi kuingia machafuko na hata kumwaga damu.
Hii imetokea hata wagombea wa urasi, Ubunge na Udiwani kutoa kauli za vitisho kwa wananchi kuwa wakiacha kupigia chama fulani (hasa chama Tawala), nchi itaingiwa matatizo au hata wananchi kutishiwa kunyimwa kusikilizwa au huduma za maendeleo.
Mwaka huu pekee, Mgombea wa Chama Tawala John Magufuli na mgombea mwenza Salma Suluhu wametoa kauli za kuonyesha kuwa wananchi wakiamua kupigia vyama vingine ambavyo si CCM, basi nchi itageuka na kuwa na taswira ya nchi zilioingia vita (libya, Misri) na kuwa chama tawala-CCM kikishinda, basi waliopigia kura upinzani wawakilishi wao hawatasikilizwa wala kukaribishwa ikulu.
Hali hii ilifanyika pia wakati wa Urais wa Mkapa wakati aliyekuwa Waziri Mkuu Sumaye, alipotoa kauli mkoani Kilimanjaro kuwa wakichagua upinzani, watapoteza huduma za maendeleo na mgawanyo wa fungu la fedha kutoka Serikali kuu.
Hata Waziri Mkuu anayeondoka Mizengo Pinda alipotoa kauli yake kuwa "Wapinzani Wapigwe tuu" au Spika wa Bunge (Makinda na Ndungai) kutumia wingi wa kura za Kibunge kuzima hoja, tulikuwa tunajengewa demokrasia ya namna gani?
Je ni kwa nini ulazima huu wa kutumia vitisho kuhakikisha Chama Tawala na Ssrikali zake zinaendela kuwa madarakani?
Ukitafakari hata sheria ya Mtandao (Cyber Crime) au ya Takwimu (Statistics), zimelenga kuleta udhibiti wa nini Serikali inakitaka na kuonelea ni sawa na si uhakiki wa mambo yanayosemwa au usimamizi wa sheria na kanuni.
Leo hii, Serikali imeipa jeshi la Polisi magari zaidi ya 700 kufanya doria na ulinzi wakati wa uchaguzi, kwa nini hatushituki na kuhoji kulikoni?
Serikali hii ambayo imeendelea kusema haina fedha, imetaka kukopa benk za biashara, imeangusha shilingi kwa kukosa thamani, haina fedha za kuzalisha umeme na kupoteza mapato ya uzalishaji kutokana na umeme haba, ilipata wapi fedha kujitutumua kuhakikisha Jeshi liko tayari na Polisi?
Je kulikuwa na ulazima wa kujiimarisha kijeshi kuhakikisha demokrasia na haki ya kikatiba ya kupiga kura inafanyika kwa usalama?
Je "usalama" huu ni kulinda maslahi wa Taifa au kulinda maslahi na ustawi wa mamlaka ya Chama Tawala?
Mwaka 2000-2001 tuliona vurugu za hali ya juu Zanzibar mpaka watu walitolewa kafara walipokuwa anapigania haki yao na kuhoji kudhulumiwa haki hii.
Tumeona kwa miaka 20 sasa, CCM ikituhumiwa kutima dola na kutoa mifano ya nchi zilioingia mifarakano na umwagaji damu kuhakikisha kinaendelea kuhodhi madaraka na dhamana ya kutawala nchi (si kuongoza, bali ni kutawala na hivyo kujiita Chama Tawala)!
Tumeshuhudia malalamiko ya ukiukwaji wa haki na kukosekana na mfumo usio na upendeleo kuendesha siasa na chaguzi zetu: Tume ya uchaguzi, msajili wa vyama, mahakama, polisi, sheria za uchaguzi, serikali za mitaa, usalama wa taifa na hata katiba, vikiegemea kuipa CCM upendeleo na kuihakikishia ushindi.
Je kuna maana gani basi kuwa na uchaguzi mkuu na kuhubiri demokrasia ikiwa mfumo mzima wa uendeshaji siasa, vyama na uchaguzi unategemea ridhaa ya CCM kama chama tawala?
Leo hii Wafadhili na waangalizi wa Uchaguzi wanakuja kufanya nini cha unafiki? kuhakikisha haki inatendeka au kuhakikisha usalama wa maslahi yao unatunzwa?
Leo watendaji wa CCM wanapotoa kauli na kufanya vitendo vya kusema hata kwa goli la mkono ikiwa ni kuashiria hata kwa dhuluma na si uhalali lazima CCM ishinde kunatupa Watanzania hisia gani?
Najiuliza, je kama katiba yetu ingekuwa thabiti na isiyo ya upendeleo, kama tume yta uchaguzi ingekuwa huru, kama Polisi, Mahakama, Usalama wa Taifa na Jeshi vingekuwa vyombo huru na si vijakazi wa Chama Tawala (urithi wa mfumo wa chama kimoja), leo tungekuwa na kutokuaminiana na hata kuwa na haja ya kutenga fungu la fedha kudumisha dola ya CCM na si kuzitumia fedha hizi kwa shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi kama maji safi, zahanati na elimu?
Je magari haya 700 ya polisi yangeweza kujenga visima vingapi katika vijiji vyetu vyote?
Je magari haya 700 na ushee ya polisi kutishia watu yangeweza kutupatia magari mangapi ya kubebea wagonjwa au zimamoto?
Je magari haya 700 gharama yake ingeweza kutujengea vituo vingapi vya afya vidogo vidogo pamoja na zana kutoa huduma za msingi na kwanza za kiafya kuhakikisha kinga na si tiba?
Najiuliza zawadi hii kwa polisi kama ni takrima ya shukrani na kuwakumbusha Polisi kuwa CCM ni baba na mama yao na wajibu wao wa utiifu ni kwa CCM na si katiba ya nchi?
Jeshi letu lilipozawadiwa vifaa vipya vya kijeshi na hata leo kuzinduliwa ujenzi wa kuboresha kituo cha kijeshi Ngerengere ni kurubuni utii wa Jeshi kwa chama Tawala?
Je Katiba yetu, ingekuwa ni yenye demokrasia ya kweli kama wananchi walivyopendekeza (Rasimu ya Katiba ya Warioba), tume ya uchaguzi ingekuwa huru na mchakato mzima wa uchaguzi ungefanyika kwa umakini na haki, kungekuwa na ulazima wa wananchi kuambiwa wahakikishe wanalinda kura na kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura kulinda haki zao?
Je tume ya uchaguzi ingejiendesha bila utata wa Daftari la kupiga kura, uandikishaji wa upiga kura, uhgakiki, usalama na usimamizi wa kupiga kura, haki na usawa wa kutangaza matokeo ya kupiga kura je tungekuwa tunaitilia mashaka ya kuweka kambi ya mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura?
je leo hii tunapoona wagombea wa Chama Tawala wakitoa kauli chafu bila kukemewa lakini vyama vya upinzani wakikemewa na tume ya uchaguzi kwa kauli, aina ya kampeni au vipeperushi tunajiuliza upendeleo huu ni wa nini?
Tulipoona Red brigade ya Chadema au Vikosi vya ulinzi CUF, wakijijenga ilikuwa ni kwa ajili ya nini? ikiwa wao wanashurtishwa kufuta "vikosi" lakini Green Guard wa CCM wana nguvu kuliko hata polisi na wakuu wa Wilaya, hatuoni kuwa tuna tatizo la msingi?
Leo kauli za uchochezi mpaka kufikia Jeshi kuwa mguu sawa na batalioni kusambazwa kila kona ya nchi, je tunajilidna dhidi ya adui gani? Adui demokrasia?
Leo halaiki za ukakamavu na ubora wa vyombo vya ulinzi na usalama ni kuhitimisha na kukamilisha mbegu chafu iliyopandwa kwenye vichwa vya Watanzania kuwa wakichagua Upinzani badala ya Chama Tawala CCM nchi itachafuka?
Leo wagombea wa CCM waliokuwa na madaraka ya Kiserikali wanapotumia madaraka hayo kuabudiwa majimboni mpaka kuitwa Nkurunzinza (Mwakyembe Kyela, na wenginewe), kunatupa picha gani?
Ni taswira gani tunaipanda kwenye vichwa na mawazo ya watoto na vijana wetu watakaopiga kura siku za baadae? Tunajenga taifa la namna gani lenye kujaa vitisho na kuhalalisha utawala wa mabavu?
Je ni kwa miaka na chaguzi ngapi vyama vya upinzani viendelee kuishi kwa woga au kujilinda kishari na kueneza imani ya kutoiamini Serikali na Chama Tawala CCM?
Je ni gharama gani tumetumia mpaka sasa kulihujumu Taifa na Watanzania haki yao ya kidemokrasia kudumisha mfumo dume na dola wa Chama tawala CCM?
Je ni gharama gani za kibajeti na kifedha Serikali imeingina na itaingia na kuminya kodi zetu kujihakikishia ushindi na utawala wa kudumu badala ya kuunda mazingira safi na mfumo bora wa kusimamia haki ya kidemokrasia kwa mujibu wa katiba?
Ni damu nyingi kiasi gani na roho ngapi zipotee kutetea haki hii ya kuzaliwa?
Acha hofu mkuu, rais JK ni mtu wa demokrasia sana sema kuna majitu yanayomzunguka ndiyo yanamuharibia na kumpa presha; rejea issue ya Katiba mpya. Jana kaongea kauli ya kidemokrasia, kwamba yuko tayari kukabidhi nchi kwa rais yeyote yule atakayeshinda. Penye kusifia tusifie, penye kukosoa tukosoe.
Kumbuka ni huyu JK aliwaambia CCM wenzake kule Dodoma kuwa, "Wajiandae kisaikolojia kwani wanaweza kung'oka." Kwa hiyo yeye amekwisha jiandaa kisaikolojia tyr, wito wangu ni kwa ccm wengine waige mfano wa rais wetu.
Binafsi, naamini JK hatatuangusha kwa kukataa kuruhusu upinzani kuingia ikulu. Hiki ni kipimo chake cha mwisho kidemokrasia ili atwae tuzo ya Mo. Ibrahim.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Ukawa.

CCM ni ya KISHETANI na tumeongozwa na mashetani kwa muda mrefu leo hii polisi haijitambui kama vilevile CCM isivyojitambua tarehe 25 ni siku ya ukombozi kwa watanzania.
Huwa naheshimu sana mawazo yako hapa JF, lakini naona leo umekwenda nje ya msitari. Vipaumbele vya nchii hii pendwa ni vipi? Leo tunadhindwa kudhibiti kipindupindu Dar, still pesa tunaongeza magari ya maji ya kuwasha! Mwananyamala na Amana hospitalini akina mama hawana hata gloves za kuwasaidia kujifungua, tuonaongeza landruiser za kubebea FFU na mabomu. Serious? Polisi wenyewe hawana nyumba za kutosha, hata hizi wanazoishi (hasa UKONGA) zimechakaa ile mbaya. Kwa nini hizo pesa zisingeboresha nyumba zao kwanza?
Tukiachilia mbali ushabiki wa kisiasa, hebu turudi kwenye basics, kweli polisi wana upungufu wa magari?
Wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa. Watanzania laleni amkeni nendeni kwenye shughuli zenu lakin hamjui wapo watu hawalali wanakesha kuhakikisha ulinzi wa taifa hili. Kuna watu hawana muda wakuka na wake za na waume zao na familia zao yote ni kuhakikisha amani ya nchi hii. Kiweni na huruma watanzania laiti mngetaka kila linalojiri tz litangazwe basi ndo mngejua tz ni nchi isiyokuwa na amani. Matukio mengi yamezuia yasitoke na vyombo vya ulinzi na usalama kimya kimya. Jamani hali ni tete upande wa pili hao ukawa wana mikakati ambayo ukiijua leo unaweza kimbia nchi. Lakin vyombo hivi vimekesha kuzuia mikakati hiyo. Narudia usilolijua ni sawa na ucku wa giza. Acheni serikali ijiandae kulinda amani ya watz kutoka kwa wale wanaotaka kuichafua. Watz kuweni na hata shukurani chembe kwa vyombo vya ulinzi na usalama
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!
Bado kuna watu wamezibwa masiko watu wanajifungulia chini hakuna vitanda lakini pesa za magari zimepatikana...na baada ya miaka 5 hayo magari yako hoi kwa kukosa service..