Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Sijui unaishi wapi mwenzetu,,, labda masaki au msasani kule kwa wazungu,, huku uswazi hakufai, hivi unajua uchaguzi kule tarime inakuwaje?? Pale mwanza, musoma,mbeya wale vijana wasiojitambua baada ya kupiga kura hufanyeje?? Wenzio hata wakikuona tu nakigari chako unaenda kupiga kura wanataka wakusachi au wanajua wewe CCM!!! huu uchaguzi kazi ipo sio masihara haya unayofikiria na hakuna wakati vyombo vya usalama vinatakiwa kuwa makini kama huu..wakizembea tu basi wengi wasio na hatia wataumizwa au kufa...
 
Watanzania tumekuwa jamii ya kulalamikia kila kitu. Hakuna jema.

Wasingeletewa vifaa mngelalamika kuwa jeshi halina vitendea kazi. Wameletewa bado unalalamika.

Jamii inayolalamika kila siku bila kipimo ni ngumu sana kupiga hatua za haraka za maendeleo.
 
ulinzi unaimarishwa kutokana na kauli zenu wenyewe,tatizo lenu huwa mnaibeep serikali majukwaani halafu ikiwapigia hampokei.

serikali haiwezi kuona raia wake wanashindwa kulala usingizi na kufanya shughuli zao za kimaendeleo kwa sababu ya tamaa zenu za uongozi wakati hamna sifa ya kua hata madiwani.

mi nasema atakaekiuka utaratibu na apigwe tu mana hakuna namna nyingine
 
faiza foxy Unajifanya unaenjoy matunda ya system Kumbe uko hoi tu Kama wengine.
 
Siku zote serikali dhalimu hutumia nguvu kupita kiasi kuhakikisha inapindisha haki kwa maslahi ya wachache na si ya taifa. Dili ni kuwaondoa madarakani kupitia sanduku la kura ifikapo october 25,2015. Chagua Chadema, chagua Lowassa.
 
Basi wangewaagiza na hao polisi watufuate nyumbani watusindikize tukapige kura! wewe ni kubafu kweli!

Uliiona budget ya wizara husika??!!
Hayo yalikuwepo au la??!!
Malalamiko wakati wa kujifungua hayasaidii kama hatujali mimba zinaingiaje. . . . .
 
Wow.. Mkuu ni wewe kweli??

This is absolutely rubbish
It depends na unachotaka kuona na kusikia katika kipindi hiki. . . . .
Ukisema hayakuwepo kwenye budget ntakuelewa ila yamenunuliwa ndio ulalamike sababu tu hukupenda yanunuliwe kipindi hiki??!!!

Kwani by the way kukiwa na amani na utulivu wanafaidika nani kama sio mimi na wewe???!!!
 
Badala ya kusikiliza maelekezo ya TUME YA UCHAGUZI WEWE UNAMSIKILIZA MBOWE AMBAYE HANA MAMLAKA YA KUKUELEKEZA JINSI YAKUPIGA KURA TUME YA UCHAGUZI IPO KIKATIBA NA KAMA MNAONA KATIBA NI MBAYA MNGEACHA KUINGIA KWENYE UCHAGUZI MPAKA KATIBA YENU IPATIKANE LAKINI SIYO KULAZIMISHA MNAYOYATAKA NDIYO YAWE UTARATIBU WA NCHI MTAPIGWA NA MBOWE NA MKE WAKE WATAWACHEKA KWA UPUMBAVU WENU NA KUKUHAKIKISHIA HILO LOWASA WALA MBOWE HAKUNA ATAKAYEKWENDA KULINDA KURA KWAKUWA WAO NI SEHEMU YA SERIKALI NA WANAIJUA INAVYOFANYA KAZI.

Hebu rejea matukio ya Arusha kama kuna mtu amesaidiwa matibabu baada ya kipigo ndiyo utajua kuwa wenzenu wanawafanya kuwa mbuzi wa kafara mkipatwa na matatizo hawahangaiki na nyie na juu ya hili wewe wasikilize lakini uwe umeacha pesa ya kutosha kutumia familia yako na ikibidi andika rithi na uwaage wazazi wako kwamba unakwenda kupambana na dola.


Toka lini Polisi akakufuata nyumbani bila kosa ingekuwa ulichoandika ni sahihi sasa hivi wote tungekuwa gerezani maana unataka kuiaminisha jamii kuwa polisi wapo kwa ajili ya kuonea raia wakati wewe mwenyewe unapata nafasi ya kuandika upumbavu wako ukiwa salama ni kutokana na ulinzi wa polisi tofauti na hivyo wala usingepata muda wa kuandika ujinga wako pengine ungekuwa umeshanyang'anywa kisimu chako au Laptop yako.
 
ulinzi unaimarishwa kutokana na kauli zenu wenyewe,tatizo lenu huwa mnaibeep serikali majukwaani halafu ikiwapigia hampokei.

serikali haiwezi kuona raia wake wanashindwa kulala usingizi na kufanya shughuli zao za kimaendeleo kwa sababu ya tamaa zenu za uongozi wakati hamna sifa ya kua hata madiwani.

mi nasema atakaekiuka utaratibu na apigwe tu mana hakuna namna nyingine

Ingekua serikali ni sikivu kiasi hicho hivi kwamba kila kauli za wananchi inafanyia kazi, basi leo tusingekua na shida ya madawati, nyumba za walimu, madawa hospitali za umma, magari ya wagonjwa, usimamizi wa maafa, ulipaji fidia kwa waathirika wa bomoabomoa, n.k. Orodha ya kero ambazo hazijafanyiwa kazi ni ndefu mno.

Maana yake ni nini? Serikali ya CCMscrow haisikilizi watu wala kusoma alama za nyakati kwa usahihi. Wanadhani wananchi wanaposema lazima itoke ni stori tu. So wanatumia mbinu za kutishia labda na kuua kidogo kama italazimu ili watu warudi nyuma.

Mwaka huu imelala doro. Hawawezi kuzuia kushindwa. Hayo magari watasomba wangapi? Hayo mabomu/mabunduki wataua wangapi? Hayo mahakama watafunga wangapi? Na wakishafanya hivyo watatawala ng'ombe?

MABADILIKO nje ya CCMscrow ni LAZIMA na hayakwepeki.
 
we hakuna utakayemtoa akili na mawazo hapa, labda ni hao wanaUKIWA wenzio. ukitaka serikali ikae kimya na kuzubaa tu wakati tayari kuna watu wameshatangaza vita! hivi kuwaamrisha watu walinde kura unajua ina maana gani?!!!....ni kupiga makelele, kutisha watu wanaokuja kupiga kura na kuzomea (ikumbukwe maeneo yetu haya wengi tunajuana kivyama), kupiga kampeni na kulazimisha ushindi. haya yote yana maana moja tu,..FUJO!

sasa wewe (unayeitwa msomi na wanaukawa) unataka serikali izubae tu....ah wapi, utaizubaisha hiyo serikali yenu itakapoingia madarakani 2060.
 
eti kikwete hawaamini wananchi wake!
 
Wewe acha hadith ndeeefu. Ni hivi kazi ya kwanza ya rais ni kulinda amani kabla ya yooote. Amani kwanza. Hata wewe unaye wayawaya humu na hoja za hovyo hovyo ni kwa sababu rais ametekeleza kazi namba moja kwa usahihi.

Wewe mwenzangu namimi ambaye vyanzo vyako vya taarifa ni jf unawezaje kunusa hali ya kiusalama na mwenendo wake? Rais anavyo vyanzo lukuki vya kumpa signals hivyo ni sahihi kabisa kuyaweka majeshi yake sawa hasa kipindi hiki ambapo uuzwaji wa viroba pengine umeongezeka kwa ajili ya wanaojipa kazi ya kulinda kura.

Wewe na mimi tusubiri 25 Okt tukamchague JPM turudi tulale. Habari ya kuimarishwa kwa majeshi kwa upeo wa akili yako hutaelewa. Wewe kalale tu.
 
Porojo ndeeeeefu, haina kichwa wala miguu.

Ulitaka wingu za mvua ya kununuwa Thailand?


bora tungepata maji ya kyzalisha umeme kidatu...magari ni matumizi yatahitaji mafuta madereva na matengenezi


Nchi ikiwa na amani police watakuwa na kazi ndogo na maendeleo yatakuwepo
 
[
Thread ya kijinga.



QUOTE=Sijali;14406864]Very analytical, extremely readable. Watanzania wamebanwa kote kote hawana pa kupumulia. Lakini hata Shah aliyekuwa na majeshi maradufu, hatimaye aling'olewa. Siku walio wengi watakapochoshwa na hali iliyopo, hapo chochote kinaweza kutokea.[/QUOTE]
 
Akili bhana utakuta kuna mtu atasema ajira za madereva kwa magari ya washawasha zimeongezeka, japo inabidi kulipa kodi zaidi kuendesha magari hayo. Wanaomwagiwa washawasha watazalisha zaidi au itabidi tuwanunulie na panado?
 
Back
Top Bottom