Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Mhh! kwangu inaonekana kama pirating tu na sababu ni kuwa unatumia funguo ya mtengenezaji isvyo ili kuepuka kulipia...kitu kile kile umeelezea ktk herufi nzito
basi ngoja nibadilishe
NI kutumia software ya
mtu bila ya kuilipia au kupewa utumie bure na mwenye mali.. Naamini umenipata vizuri
 
Wakuu nimefanikiwa kutumiwa hizo key na microsoft ishu inakuja ku update inanigomea au mpaka niondoe activator nilizo install
 
wakuu nilikua natumia window 8...nikaletelewa taarifa kua naweza install new version window 8.1....bt baada ya ku install ,ku activate inatakiwa product key.....nazipataje hizo?
 
wakuu nilikua natumia window 8...nikaletelewa taarifa kua naweza install new version window 8.1....bt baada ya ku install ,ku activate inatakiwa product key.....nazipataje hizo?
  • Njia pekee ya ku_activate win 8 ni kutumia phone call via skype - hapa jukwaani kuna ambao wamefanikiwa.
  • Mpaka sasa ni activetor moja tu imeshatoka nayo ni kwa win 8.1 VL pekee, Na hii activator bado ipo beta.
  • Confirm kam umiestall Win 8.1 VL nikupe activetor.
Karibu
 
Mkuu mimi nime install win 8.1 32bit naomba msaada huo kaka
 
  • njia pekee ya ku_activate win 8 ni kutumia phone call via skype - hapa jukwaani kuna ambao wamefanikiwa.
  • mpaka sasa ni activetor moja tu imeshatoka nayo ni kwa win 8.1 vl pekee, na hii activator bado ipo beta.
  • confirm kam umiestall win 8.1 vl nikupe activetor.
karibu
mkuu naomba hiyo activator
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    12.5 KB · Views: 93
wakuu nilikua natumia window 8...nikaletelewa taarifa kua naweza install new version window 8.1....bt baada ya ku install ,ku activate inatakiwa product key.....nazipataje hizo?

Vp mkuu umefanikiwa kuactivate ..... please inform me kama utafanikiwa kuactivate
 
Kwa wale ambao hatuja-activate kwa ile njia ya kiboya ya Skype ni mda muafaka sasa naona activator kibao nimepakua moja imegoma niko hii ya Pili nikifanikiwa ntatoa feedback hapa hapa
Pia wadau tuingie Chimbo tuone kama hii kitu tutafanikiwa kui-activate sana sana sisi tulio-install ile iliyo leak
 
mm pia nme activate ila kwa njia ya kufuta tokens flan hv
 
Wakuu naomb mnisaidie activator mm n win8.1 pro Build 9600
 
Kwa wale ambao hatuja-activate kwa ile njia ya kiboya ya Skype ni mda muafaka sasa naona activator kibao nimepakua moja imegoma niko hii ya Pili nikifanikiwa ntatoa feedback hapa hapa
Pia wadau tuingie Chimbo tuone kama hii kitu tutafanikiwa kui-activate sana sana sisi tulio-install ile iliyo leak
Weka link
 
daaaah me nimeistall zaidi ya mara tatu hii window 8.1 coz ilinishinda kuactivtes
 
build 9600 pia ndio yangu nimefata tokens sio ngumu kama hutotumia comand. ye akiandika comand ya kudisconect modem wewe disconect kawaida na zile path unapaste kwenye windows explorer faster inakupeleka token ilipo.

kuna file lina mb nyingi kidogo lina kila kitu kinachohitajika
1. tutorial ya video
2. tokens
3. app ya kutoa water mark
4. app ya kugenerate key
5. maelekezo mengine

Download Windows 8.1 Activator Torrent - KickassTorrents

njunwa wewe install water mark remover sababu umesha activate
 
Back
Top Bottom