Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

build 9600 pia ndio yangu nimefata tokens sio ngumu kama hutotumia comand. ye akiandika comand ya kudisconect modem wewe disconect kawaida na zile path unapaste kwenye windows explorer faster inakupeleka token ilipo.

kuna file lina mb nyingi kidogo lina kila kitu kinachohitajika
1. tutorial ya video
2. tokens
3. app ya kutoa water mark
4. app ya kugenerate key
5. maelekezo mengine

Download Windows 8.1 Activator Torrent - KickassTorrents

njunwa wewe install water mark remover sababu umesha activate

Asante sana Chief Mkwawa maana mm jana nili-activate lkn Water Marks(ambazo nilikuwa sizijui jina) zilibaki
Lkn nimepakua hii Ya hapo juu nikafuata tu water mark removal japo waliomba ni Donate kwa PayPal ila nikachuna tu
Kitu iko activated
Activator niliyotumia niya KMSpico sawa na ya Mr.Kicheko aliyo attach hapo juu
nishafanikiwa mkubwa chukua hiyo ufuate maelekezo


Water_mark.png


Water_mark_no.png
 
ile sikuitumia maana ilikua 32 bit... so nkaipotezea maana huwa napendelea 64 bit.. nlitafta nyngne kwenye torrent na yenyewe n build 9600 pia..... ile njia ya ku activate mm nlidownload na vdeo yake so japo ni ndefu haikunipa shida maana nlikua naangalia then nafanyaaaa...... tena nli update na media centre... yale maneno kama hayatoki unaweza kuyatoa kwa kiprogram knaitwa watermark remover .... kilikuwemo kwenye folder nlilo download activator kule kat . ph
 
Jamani mnisaidie mi ku activate window 8.1 pro Build 9600 imenishinda nimejaribu vyote hapo juu nimekwama cjui nafanyeje na wajanja night offer ndo iyo inaelekea mwishoni
 
jamani mi pc yangu majanga, haitaki kuzima! kila niki log off hai respond, tatizo nini wadau? samahnini kwa kwenda nje ya topic!
 
Lakini mbona njia ya Skype ni rahisi sana halafu naomba kuuliza niupgrade hiyo 8.1 toka windows 8 iliyokuwa activated vp itahitaji tena activation?
 
Jaman wadau natafuta product key ya window vista home premium

Natangulza shukran!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakuu natanguliza salaam! naombeni kujuzwa jinsi ya ku-activate windows 8 pro kwa kutumia activation keys!

shukrani
 
Wakuu natanguliza salaam! naombeni kujuzwa jinsi ya ku-activate windows 8 pro kwa kutumia activation keys!

shukrani

.
wapo sensitive sana kwa keys fake
.
kwanin uhangaike wakati KMS ACTIVATOR ipo
.
 
Computer yangu inaonesha notification ya WINDOWS NOT GENUINE. Mwenye software ya kutatua tatizzo hili anisaidie plzzz. Natumia Windows 7 Proffessional.
 
Back
Top Bottom