Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Ingia google download kitu kinaitwa window 7 activator au windows 7 loader, ni kafupi tu ukimaliza kainstall kanaweza kuomba urestart mashine, basi ukirestart you're done, ikiwaka mpya hiyo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama ya zamani ila nime upgrade kwa cd ya pc mpya window7?key sina
 
Mwl.RCT, Chief mkwawa, C6, C..., (hizi c sina uhakika sana), TechWiz etc.. asanteni sana, mnatusaidia sana katika maswala ya teknolojia.. big up sana!
 
Habari ndugu!
naomba mnisaidie keys za windows 8 pamoja na clack soft link.
 
zamuu hii hamna activator hata moja inafanya kazi
nimebadili window ya zamani maana ilikuwa ina lags kibao lkn nimeshindwa activator naona wameleta mpya ambayo ni for both win 8-8.1 lkn ni bila bila sijafanikiwa
any working trick
 

baada ya ku-download kama mafile/activator tano hivi
nimeweza kuinasa hii happa chini naimefanya kazi
http://kickass.to/kmsauto-easy-1-06-v6-activator-for-windows-7-8-8-1-and-office-10-13-t8162118.html
Njunwa nadhan ungecheki na mwl R.c.t a convert kabisa afu atupie direct link maana kule wanaweza litoa any time
 
Habari zenu wanajamvi.
Naombeni mwenye activation keys za Windows 8 anisaidie.

Nimeinstall hii window ktk laptop yangu sasa inadai activation key na sinazo.

natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
XKY4K-2NRWR-8F6P2-448RF-CRYQH-NG4HW
Ila mda mwingine huwa zinasumbua tafuta appliation ya kuactivate window kama unaweza kucheki kwenye torent tafuta application inaitwa window8 final activator
 
Back
Top Bottom