Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,869
- 18,147
3..Rais wa Zanzibar anaruhusiwa kuingia ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kama nani pale ambapo rais wa Jamhuri ya Muungano anahutubia bunge.
Anaingia kama waziri wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Kumbuka alikwisha apa kama waziri wa JMT!