Hajaongelea uhuru wa Zenj..kaongelea serikali Mbili au Moja..concern ya ke hapa ni usalama na haki kwa mainority..Zenj haijaweza kabisa ktk hilo eneo.
Umekamilika halafu leo hamuewezi soma kitabu kimoja kikawatosha...?Kwa taarifa yako vitabu vyote vya waislam havitoshi msaidia muislam...Ila Biblia moja ian mtosha Mkristu.
haha....sioni ulihchojibu zaidi ya kuomba huruma hapa...mna maadili gani ya kuringia nyie.kutwa nzima mnalambana ktk mapori yenu...kutwa nzima mnaongea hila dhidi ya wenzenu, miaka yote hamjajifunza shukrani....mna laana ya Okello na Sadaka za Wakristu zilizowanunua na kuwaweka huru halafu mkarudi kwa aliyewatumikisha bila hata kutoa shukrani kwa Mungu.
Padri kwenye siasa hana makosa,lakini mashekhe wa uamsho wakitaka mamlaka ya kujitawala zanzibar ni wachochezi,bado tu hutaki kuamini mfumo kristo ndio muungano?
Mi sijazungumzia kitabu kwa sababu naelewa bibilia yenu imechakachuliwa na wale mabwana zenu wa kulee vaticann
Asiejuiwa neno haambiwi maana na aliye na dini na anaejidai ni vitu viwili tofauti. Alienacho hajilabu na mwenye kitu original hahitaji kujitangaza. Hivyo una hiari kununua kama kilivyo dukani au ngoja cha mchina ulichonacho halafu pita ukijitangaza!
kwani nani kakuambia ninapoteza muda hapa kukimbizana na dini?Ukristu si dini ni Injili..ni habari Njema..ni Neno la Mungu..na wakristu ni wafuasi wa hilo Neno.....nyie ndio mpo ktk mnachokiita kila kitu,utamaduni,siasa, etc....
Hilo ni tatizo lako! Nikukumbushe tu kuwa mada ni bendera na wimbo wa Taifa, hayo mengine wewe baki nayo mwenyewe!
Mwenyewe umerudi ktk mada...mnataka tulazimisha tuone dini ambayo haijaweza hata kuwaondoa ktk miseries ,zaidi y akuwaongezea tuione kuwa ndio best na ya ukweli.
Kuna watu hawataki ijulikane kuwa Zanzbar inao wimbo wake wa taifa mbali na ule wa Muungano! Wimbo wa Tanganyika upo wapi?Hivi kuna wimbo wa taifa wa Tanganyika?
Mgeni rasmi atakuwa RAIS WA ZANZIBAR.5..Endapo sherehe za muungano zitafanyika Zanzibar mgeni rasmi atakuwa nani?
Kuna watu hawataki ijulikane kuwa Zanzbar inao wimbo wake wa taifa mbali na ule wa Muungano! Wimbo wa Tanganyika upo wapi?
Unapoteza muda na vulnerable group!Mwenyewe umerudi ktk mada...mnataka tulazimisha tuone dini ambayo haijaweza hata kuwaondoa ktk miseries ,zaidi y akuwaongezea tuione kuwa ndio best na ya ukweli.
Nimesikitika sana kuona wimbo wa Taifa la Zanzibar wakati unapigwa leo kwenye kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar TBC wameweka Taarabu ili tusiujue? Au wamefanya hivyo kwa Manufaa ya nani? Naomba msaada wenu
unajua ukiongea sana busra huonekana ni tusi, mi nadhani kabla ya kutengana ni bora kila mtu arudi kwao yaani wazanzibari waende kwao na watanganyika warudi kwao, halafu ndo zoezi la vitambulisho vya uraia vingetolewa ili wakija bara kununua mahindi waje kwa passport na visa, kifupi hii ndoa imekuwa taiti sana kiasi kwamba mpaka wivu wa upendo umetoweka kabisa zanzibar haina mapendo na tanganyika na tanganyika haina mapendo na zanzibar, kama vipi tumwite mshenga ili taraka itoke tumwagikane kila mtu kivyake. wazanzibar wanajifanya majeuri sana, hawataki kuelewa kabisa. wimbo wa taifa wamepata mwaka 2000 pamoja na bendera, jeshi wanalo linaitwa KU ama jeshi la kujenga uchumi bara linaitwa JKT. Tuwaachie kipande chao nasi tubaki na mafya, na kijisiwa kingine cha mwanza kulee. kama mpango mzima serikali moja tu...