stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,445
- 3,614
"una viashiria vya UKOMBOZI" nawe hautaki kukombolewa!!!!. Unatamani ubakie kuwa mateka. Ajabu sana.
Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Kuna vitu vingine vinachekesha sanaHuu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
hata kinachoimbwa humo ndani hukijui 😅😅Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Mkuu wewe mtoto wa Kikwete?Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Embu uweke hapa tuusikieHuu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Nyokoooo! Na bado utausikiliza mpaka masikio yako yapasuke.Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa:
https//bekaboy.com/2025/12/worship-house-africa-for-jesus-makomborero/