Wewe mbung'o usilete malale hapaPumbavu. Huu wimbo ndo uliikomboa Zimbabwe. Zama zile hata radio Tanzania iliupiga
Inaongozwa na watu wajinga kuliko wale wanawaongoza!! Hawajui kuwa unapokataza kitu ndio unachochea watu watafute kwanini unawakataza? Haya hiyo BASATA ifungie UTUBE isiupige huo wimbo!!!Nchi ya kifala sana hii
WE kupe usituletee uchawa. Siongelei huu wa kuigiza bali ule original ulioimbwa Zimabwe kwa lugha ya Kishona ukimaanisha baraka ambao ulitumika wakati ule wa vita ya Chimulenga iliyoongozwa na akina Robert Mugabe. Mie sijazaliwa jana kama wewe Unapata wapi jeuri ya kunitukana?Wewe mbung'o usilete malale hapa
huo wimbo mara ya kwanza kuimbwa ni 2015, hio Redio Tanzania ilikuwa ya mbao?
Huu huu wa juzi juzi ama kuna original version yakeHuu wimbo ndo uliikomboa Zimbabwe. Zama zile hata radio Tanzania iliupiga
No Country for Old Men......WE kupe usituletee uchawa. Siongelei huu wa kuigiza bali ule original ulioimbwa Zimabwe kwa lugha ya Kishona ukimaanisha baraka ambao ulitumika wakati ule wa vita ya Chimulenga iliyoongozwa na akina Robert Mugabe. Unapata wapi jeuri ya kunitukana ?
Ishe komborera Africa
Ngaisimudzirwe zita rayo
Inzwai miteuro yedu
Ishe komborera,
Isu, mhuri yayo.
Huya mweya
Huya mweya komborera
(repeat previous two lines)
Huya mweya
Huya mweya mutsvene
Uti komborere
Isu mhuri yayo.
Nenda Utube utaukuta waache Basata waufungie bongo kama vile ni wimbo wa mateja wao!!Nko nyuma sana sijui ni umri🤔sijawahi kuusikia
Who a uHuu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Kwani wewe wenzako hampendi ukombozi ? Hata wa fiikra ? Hiki kizazi sio kile.....kazi ipo sana .....Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Achana na maneno. Weka hapa huo wimbo ili watu wausikilize. Au huo ukombozi ni kosa la jinai?Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
"utangamano" kwenye nchi ambayo haijakombolewa utapatikana vipi. Huoni kuwa unajichanganya mwenyewe?utangamano wa kitaifa
Utengemano unaletwa na haki tu!Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Kwa hiyo ukombozi dhidi ya mkoloni ni kosa?Ama wewe ndiye mkoloni mwenyewe unajilindia ugali wako?Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
Foolish Africans Never Take AlcoholHuu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa