Ukombo Mongi
Member
- May 21, 2013
- 72
- 14
Wasani wetu na wengine wengi wanatafuta deal wakati wa ujio huo...unafikiri maandalizi ya ujio huo utaigharimu Tz sh. ngapi? najua barabara zitaoshwa..shughuli za kiuchumi kwa 90% zitazimama kwa muda...
Wampeleke Dodoma na Singida akaone nchi ilivyochakaa
Ni nchi ya matahira tu ndi huwa wanafanya huo userukamba