Wimbo Mzuri sana wa Kumsifu Rais Obama naangalia TBC1..

Ukombo Mongi

Member
May 21, 2013
72
14
Wasani wetu na wengine wengi wanatafuta deal wakati wa ujio huo...unafikiri maandalizi ya ujio huo utaigharimu Tz sh. ngapi? najua barabara zitaoshwa..shughuli za kiuchumi kwa 90% zitazimama kwa muda...
 
Serikali imetuambia ujio wa rais Obama unamanufaa makubwa kwetu. tusubiri tuone! Tukumbuke mkutano wa Sullivan.
 
Walisema wenye madisko ndo watapata fursa nzuri na wenye mabaa eti wamarekani wanapenda ku party sana. Sijui.
ila naona wanasiasa uchwara wameishiwa hoja za msingi. Kuomba omba kubaya sana
 
Nchi hii maajabu hayaishi jamani yaani
nyimbo nzuri nzuri zimeanza kuwekwa
hewani ili watu wale pesa kwa ujanja ujanja.
 
Back
Top Bottom