Wimbo huu............!!

hii haswa ndio pointi dada yangu......... unafikiri wanawake tu walafi kiasi cha kuwa wachoyo kiasi hiki?? Hapana tunapohofia ni hapo tu!! Ingekuwa mtu akitoka kwenda kwenye Infii zake basi condomization inatake place outomatically yaani ghafla tu gamba linatokea wala tusingejali kabisa!!

:ranger::ranger::ranger:
 
Mhhhhhh!!!!!!!!!!!!
 
Mwanajamii wapo pia wanaume amabao ni wazito kufikia mmauzi ya 20% kwenye wimbo wake.......................kama mimi hapa!:biggrin1:
 
Maty watatuua hawa akiwa nao saba watano wanatumia kinga mbili wanaaminiana baada ya kukaa katika mahusiano kwa muda wa mwezi au miwili mungu saidia

Hapo ndio umenena mungu asaidie mwanamke unatakiwa upige goti na umuombee mumeo asitoke nje na hilo linawezekana kabisa ukiomba kwa kumaanisha na ukiwa na imani kwamba itakuwa muombe mungu mume wako awe unavyotaka wewe. Hii ndio njia inayoweza kusaidia lakini tukisema tuendelee kukemea tu kwa maneno hawasikii na hawaelewi na inakuwa mwanzo wa migogoro isiyoisha. so unachotakiwa ni kuomba tu mungu huku ukimuacha aendelee na mizunguko yake mungu akisharidhika na maombi yako atatulia.
 
Aisee hii appeal ya cheaman imeniweka bize sana......nimerudi sasa....finest umeamkaje?
 
Askofu unataka BAN halafu jana kwanini kwenye kitabu cha wageni pale MTAKAYOTE GUEST HOUSE niliona jina lako kwani guest huwa panafanyika maombi pia

Umechanganya Finest.....ni CHAPCHAP Guest house sio mtaka yote....si pale ulipoenda kuhakikisha kama nimepewa risiti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom