Wimbo huu............!!

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Chorus: Ya nini malumbano, ya nini maneno
najiweka pembeni naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie
X2

Washkaji walinambia kwamba demu ni kiruka njia
Nilidhani wamenikamia kunipania nikapuzia
Chezo lilipoanza, nilidanganya naenda Mwanza
Kurudi ndani nilipoanza , nakuta njemba imejilaza gheto

Nenda, nenda, nenda hata kama zamani nilipenda.

Chorus
: Ya nini malumbano, ya nini maneno
najiweka pembeni naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie
X2

By 20 Percent.

Ninapousikiliza huu wimbo najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu. Lakini kubwa ni hili.
Haya yakiongewa/amuliwa na mwanaume INAELEWEKA katika jamii yetu ila si yakitoka mdomoni/moyoni mwa Mwanamke.... Si kwamba wanaume wao hawana tabia za ajabu kama zilizoelezwa kwa demu huyu wa 20 % lakini wanawake ni wazito kufikia maamuzi ya msimamo huu. Sijui kwa nini? Naombeni msaada.....
 
Usiniambia unataka usawa katika hili.
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!

Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??
 
MJ1 sijui kuna sehemu ulikuwa unatulenga ngoja niipotezee ila umemaliza kabisa
 
MJ1 sijui kuna sehemu ulikuwa unatulenga ngoja niipotezee ila umemaliza kabisa

Hebu muulize mjukuu ilikuwaje jana alitutelekeza mazima?

Afu Askofu akiamka umuulize kama huu wimbo una hadhi ya kuimbwa kanisani.

Kama unaruhusiwa kanisani, umpigiea Kaizer aanze mazoezi ya kupiga organ.

Teamo akitoka Lupango umwambie namtegemea kwenye ku-conduct.

Babu yenu niko pembeni natafakari kwa kina. Mtafute Acid, mwambie anipigie simu eti. OK?
 
Mjukuu umenimaliza! Umeua mazima!

Anyway, Thanks!
Usinambie Babu nimekuwa mkoloni nineja kwako.. nimekushika pabaya? mbona unakimbia ebu nijibu kwanza : Why? Maana hii inanipa picha kuwa Bila wanawake hakuna ndoa maana wao ndio wanaozifanya zisimame!!
 
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!

Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??
mtu utavumilia vp kitu kama hicho, mtu anasema kabisa alirudi akakuta mtu anachakachua kwenye gheto lake hiyo haivumiliki
 
imagine ungekuwa wa kisiasa, kama wewe ni wa CCM hebu weka ka-verse ka CCM kama wewe ni CHADEMA weka ka-CHADEMA...yaani mfano mgombea mmoja atakapokubali kushindwa. Naona kana pendeza
 
We The Finest hebu rudi hapa upesi..... unapotezea nini si useme tu ukweli?? Hahahaha

Unajua hata sheria za nchi zinasema sio vizuri kutelekeza watu sasa hapo ndio niliaanza kuimba ule wimbo unaoenda hivi......Sina raha sina eheee naumia na mawazoX2....kama unipendi......and it continues.....
 
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!

Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??

Kwasababu ya maumbile.
Sisi tunatoa nyie mnapokea. Unataka mi 'nitwage' juu ya uchafu wa mwanaume mwingine?
 
Kwasababu ya maumbile.
Sisi tunatoa nyie mnapokea. Unataka mi 'nitwage' juu ya uchafu wa mwanaume mwingine?
Duh kwa hiyo ni sawa sie tukubali nyie muingize mlichoingiza kwa wengine eh? Kaazi kweli kweli

ikiwa ndivyo basi hakuna haja ya kuwa na maneno ya Fidelity wala faithfulness katika mahusiano au nakosea?
 
mtu utavumilia vp kitu kama hicho, mtu anasema kabisa alirudi akakuta mtu anachakachua kwenye gheto lake hiyo haivumiliki
Ni kweli haivumiliki kaka but wapo pia kina mama wanaoshukudia matrimonial beds zao zikitumika kama uwanja wa rough je nao washindwe kuvumilia? Ninawaza tu kaka si kwamba ninataka kubishana !
 
si wazito kufanaya maamuzi its just thy tryng to make rational decision..
wanafikiria we unawatoto nae sa utoke uende wap na ukicheki huna uwezo labda wa kulea watoto pk ako +sapot ya wazaz huna
unachek muda uliopoteza na ukiangalia mbelen unawaza utakutana na vmbwanga km ivo
au wengne wamelishwa kasa that wanaume wooooooote ndugu moja tabia the same same......kuna picha moja ivi sjui aliiigiza julia robert ahh yan theme ni wanawake inabidi muwavumilie wanaume ata akikunyaga ni sign anakupenda.......ohh yan uruma
bt si wanawake wooooote wanaweza kuvumilia ujinga u its just like men papo kwa papo anachosema ndo anamanisha..yan kweli umfumanie km mara kadhaa ivi+dharau+madudu mengne stl utatumia formula ya 22/7 ya tafuta mzunguko wa mapenzi haya times muda gawanya kwa watoto mliowazaa..APANA.kwanza yatakuwa si mapenzi ni utumwa.matatizo au magonjwa poa yanavumilika lakin kushndwa kutoa maamuzi kwenye mateso km hayo juu ni uvivu wa kufikiri au stuation imekubana lakin moyon unasema yan ningekuwa na uwezo nisingeish na janaume ili....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom