MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #81
Aksante Funza hapa nimepata sababu mojawapounajua nadhani uwezo wa kusamehe wa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume na pia wanawake wameumbwa na roho ya uvumilivu kuliko wanaume ndio maana wanaweza kubeba mimba mpaka kuzaa na kumlea mtoto kwa moyo wa upendo na kujinyima chochote ili mtoto akue ile ni roho ya kipekee sana
Wanawake ni wavumilivu na wenye mioyo ya msamaha ya aina ya pekee....... ni viumbe vya aina yake (nahisi kama some men are taking advantages kwa hizi blessed characters)