🤣🤣🤣🤣 Maagizo tunafuata ila nashangaa mtoa mada bado hajaridhika.Mnaoga na kupasi nguo lakini? Tangazo si mmelisikia?
Nakazia[emoji419][emoji419]Inasikitisha sana mwanaume kuanza kukaa na kumfuatilia mwanamke na hadi kufikia kumjadili personal life yake.
Ni dhahiri shairi una tabia za kike kike
Nauli tunawapatia sisi.🤫🤫🤫Tukikaa majumbani tunaambiwa wavivu hatujui kutafuta,tukitoka bado mnatusimanga jomoniii sasa tufanyaje???em tupeni pumzi kidogo looh😢!!!!
Japo nimewaza hizo nauli za kwenda kila siku mijini na huna cha kufanya wanazipata wapi,..mmh!!! Au chuma ulete??🤓
Kwahio hao wadada ni mbwaRidhiki ya mbwa iko.mguuni kwake.
Mbona namm hunipi niwe naenda mjini??🙄🙄Nauli tunawapatia sisi.🤫🤫🤫
Kwanini usifikiri wapo kutafuta ajira? na kwenye pochi zao wameweka CV au wana Flash Disk zina CV zao wanapita ofisi kwa Ofisi kutafuta kazi? maana maofisi mengi yapo mjini.Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Jamani [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] mpaka kwenda mjini imekuwa shida sasa???[emoji57][emoji57]
Embu mtuache bana.
Wanakunyima oxygen? Wakikaa vibarazani napo mtasema.Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Huku wakiugulia maumivu ya michubuko midogo midogo ya papa baada ya kusahau kutembea na kilainishoHuku kwetu wanaondoka jioni wanarudi asubuhi