Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

Duniani sikuhz kazi sio lazima uwe na sanduku la posta watu wanakaduka gheto na kastoo leo anatafuta Oda jion anafanya delivery mwingine anafanya connection between buyer and seller yeye anakula commission siku inaenda Kaz sio lazima uajiriwa Kuna kitu kinaitwa FREELANCE
 
Wahenga walishasema kuwa:

"Mtmbea bure si sawa na mkaa bure"
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Nadhani ni stress. Kwa binti ambae amemaliza elimu na hana shughuli ya kufanya na hayupo katika mahusiano ya kueleweka huwa inakuwa changamoto sana kukaa sehemu moja maana akili inakuwa inamuenda speed kushinda uwezo wake.
 
Unafauatilia watu unaowaita hawana kazi? Wewe ndo bogus unaacha kazi yako unafuatilia wasio na kazi. Nani mjinga kati ya wao na wewe?
Mtu amewaletea situation inayoendelea kwenye jamii akiwa na matarajio kuwa tutaijadili kama jamii na kutafuta suluhu wewe unamwita bogus.... Au kwako wewe ni sawa ukiwa na mdogo wako wa kike anazurula bila ratiba maalumu kwenda na kurudi mjini?!

Hebu jifunze kuwa na staha na adabu kwa wenzako. Kwani ukimpa mtu heshima yake unapungikiwa nini kwenye mwili na akili yako?!
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
mtembea bure sio mkaa bure riziki ya mbwa iko miguuni mwake
 
Acheni watembee ili tuwaone jamani. Sasa wakikaa homes kwao tutakutania wapi?

Ndiyo maana siku hizi napenda mitongozo ya live kuliko ya mitandaoni.
Kwa mabaharia wabobezi wataungana nami.
Hivi mmesahau kuwa Wanaume tumekuwa fursa kwa warembo!
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Kuna msemo unaosema mkaa bure si sawa na mtembea bure. Waache watembee tembee huko mjini wanaweza bahatisha hata mchumba au hata wakapata kazi. By the way mambo yote mazuri yapo mjini sasa kwanini wasiende?Au unataka waje kule kwenu majimatitu hahahaha
 
Inasikitisha sana mwanaume kuanza kukaa na kumfuatilia mwanamke na hadi kufikia kumjadili personal life yake.
Ni dhahiri shairi una tabia za kike kike
Huyu ni Wa-KIUME sio Mwanaume
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
una ijua maana ya ku mind your busines?
 
Acha watafute sehemu salama Mungu atawaona kuliko kukaa nyumbani tu
 
Kuja mjini sio tatizo je wanaoga kabla ya kuja mjini na kuvaa nguo safi
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Sasa hao wawili tu ndo "wimbi la wadada" mkuu?
Ok tuseme sawa hoja yako ina ukweli sasa kwa nini unateseka wakati ni maisha yao wameyachagua we unaumia nini
 
Back
Top Bottom