Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

Jifunze kutongoza mkuu!!! Hutojuta wala hutogundua upuuzi km huo...
 
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.
Mi wananikera ikifika mida ya kurudi wanavyojazana kwenye vituo vya mwendokasi kusababisha ugumu wa kupata gari.
 
Tukikaa majumbani tunaambiwa wavivu hatujui kutafuta,tukitoka bado mnatusimanga jomoniii sasa tufanyaje???em tupeni pumzi kidogo looh[emoji22]!!!!

Japo nimewaza hizo nauli za kwenda kila siku mijini na huna cha kufanya wanazipata wapi,..mmh!!! Au chuma ulete??[emoji851]
Wanapiga mizinga
 
Ndio maana waganga wamekua wengi mjini,tofauti na zamani walipatikana nje ya mji ama kijijini kabisa
Na siku hizi vijijini kuna uhaba zahanati hadi waganga kienyeji
 
It's too general
Anyway mtembea bure ni zaidi ya mkaa bure
So long as hawakuombi nauli na fedha ya kula ...kausha baharia.
 
Mtu amewaletea situation inayoendelea kwenye jamii akiwa na matarajio kuwa tutaijadili kama jamii na kutafuta suluhu wewe unamwita bogus.... Au kwako wewe ni sawa ukiwa na mdogo wako wa kike anazurula bila ratiba maalumu kwenda na kurudi mjini?!

Hebu jifunze kuwa na staha na adabu kwa wenzako. Kwani ukimpa mtu heshima yake unapungikiwa nini kwenye mwili na akili yako?!

Huyo unayemuombea aheshimiwe yeye nina wasiwasi na kujiheshimu kwake, yaani hao mabinti kuzunguka anaona wanawinda wanaume, hajajiuliza hayo maduka wanayoingia na kutoka huenda wanaenda kuomba kazi? Kwahiyo kila anayezurura anawinda wanaume eenhe.. mshauri rafikiyo ajifunze kuheshimu mabinti za watu.
 
Huyo unayemuombea aheshimiwe yeye nina wasiwasi na kujiheshimu kwake, yaani hao mabinti kuzunguka anaona wanawinda wanaume, hajajiuliza hayo maduka wanayoingia na kutoka huenda wanaenda kuomba kazi? Kwahiyo kila anayezurura anawinda wanaume eenhe.. mshauri rafikiyo ajifunze kuheshimu mabinti za watu.
Nakazia
 
Fanya shuhhuli zako acha kufuatilia shughuli za watu
 
Back
Top Bottom