Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,348
- 144,910
This young Makamba guy must be doing something good! :love:
Haishangazi kwa surrogate kama wewe kutafsiri hivyo....
This young Makamba guy must be doing something good! :love:
Kama hawakuwa na ajenda ya Katiba Mpya sasa wakaichukua
Na kuwa hawakuwa wanajua mafisadi ndani ya CCM hadi walipotajwa na Chadema na sasa imewachukulia hatua
Haishangazi kwa surrogate kama wewe kutafsiri hivyo....
Hakuna njia nyingine zaidi ya kukebehi such an irrational analysis!
In all honesty I admire January for one thing and one thing only. His 'new media' savvy! He doesn't shy away from engaging folks in this forum. If he can't do it himself then he'll sic his surrogates to do the job for him.
Ahsante.QUOTE=Rugemeleza;1844373]Sijashangaa kuona hata CCM haina hata aibu na hata kumweka Dr. Hussein Mwinyi kwenye Kamati Kuu (KK) yake licha ya kuwa miezi miwili iliyopita alishindwa kuwajibika kutokana na mauaji ya Gongo la Mboto. Ni kweli mtu kama Nape alifichua ufisadi wa Jengo la UVCCM licha ya ukweli wake kufahamika mafisadi waliokuwa vinara wako CCM na wana kauli kubwa.
CCM na Kikwete wanafahamu ufisadi wa Meremeta, Kagoda, EPA, Richmond, na wizi wa noti mpya-bandia. Je kuna kuwajibishwa kwa maana kumefanyika? Je, suala la rada nani kawajibishwa kikweli. Je si ndio chama ambacho kimewakumbatia,kuwafumbata, kuwabusu, kulala na kula na hao mafisadi? Sasa hapo mtu hayo matumaini-hewa unayapata wapi? Gamba gani limevuliwa wakati sehemu ya watu ambao ni tatizo bado wamo katika Kamati yake kuu na wamejikita katika Halmashauri Kuu(HK) na wametawala bunge?
Washabiki wangapi wa humu JF wanaponda ufisadi kila siku wakati wenyewe katika level yao wanapokea rushwa ndogo ndogo ama la basi wanatoa ata kwa ma traffic... Tanzania hakuna innovation, hakuna striving for excellence in research and development, business and original enterprise.Tatizo sio ufisadi pekee... Na wapiga kelele asilimia 80% humu mnahonga ma traffic police au TRA magari yenu yatoke fasta....ndio system tunayoishinayo... Infact ata Katiba mpya haiwezi kutusaidia. Leo JK ndio aje kusolve yote haya. Ukweli ni kwamba sio ufisadi wa watu wa 3 ambao eti wakifukuzwa CCM na bungeni basi ghafla Tanzania itakuwa middle income country. That is utter nonsense.
Hahaha...Nice try 🙂
Yet another irrational and selective comment in attempt to create a notion or myth, completely unsubstantiated, that January Makamba is the only politician who engages folks in this forum, or puts surrogates here for that matter. How many others do the same you don't raise even a finger? Au huoni?
Who cares whether the mud thrown at him sticks or not? I've never accused or attacked him for anything and I don't give a sh*t anyway. So if it annoys others or not, that's none of my business. For all I care, at the end of the day your boy is no deus ex machina. Take that!Truth is, many of allegations that are leveled against him go answered. To me, this shows his political tolerance and maturity. I'm sure it must be annoying to throw mud and have very little of it actually sticking! 🙂
Wakuu wote heshima sana, naomba kusema kidogo hapa on mabadiliko ya CCM huko Dodoma:-
1. Ninakipongeza chama changu Kwa finally, kuweza kusikia sauti ya wanachama wake wengi ambao tumekua tukilia kwa muda mrefu sana sasa kwamba kilihitaji mabadiliko makubwa sana ya kuwaondoa baadhi ya viongozi wabovu, na they did exactly that, SALUTE!
2. Ninataka kuamini kwamba Mwenyekiti wa CCM anaridhia 100% na mabadiliko haya na kwamba yuko tayari kushirikiana na viongozi wapya kwa karibu sana katika special serious political operations za kukiokoa chama chetu, ni lazima watafute njia za kisiasa za kuwaondoa uanachama mafisadi na kuwavua nafasi zao za uongozi wa taifa, na pia kutengeneza mazingara ambayo yataishia kuweka njia ya kuwafikisha mafisadi wote kwenye mkondo wa SHERIA!
3. Kwa muda sasa CCM imekuwa ikipigana against itself, meaning Wapiganaji Vs Mafisadi, now kama kweli CCM imeamua kwa kauli moja kwamba ufisadi basi, I mean hii ni simple picture you get kwa kuangalia the new faces za uongozi, basi nyoka huwezi kummaliza bila kumpiga kichwani, so! now unakimaliza kichwa cha ufisadi kwa kuwafukuza chama mafisadi wote na vilembwe vyao ndani ya chama na sio siri wote wanafahamika. Mafisadi are very good on working ku-undermine the system, they know the law, they know everything concerning uhuni wao kwa taifa, sometimes they even use Wapinzani, we know that mifano ipo mingi sana sasa wasipewe nafasi tena na waambiwe wazi kama walivyoambiwa jana kwenye kikao kwamba ni mafisadi na we don't need them, wakaanzishe chama chao au wajiunge huko kwenye vyama vingine.
4. Viongozi wapya waanze mara moja kazi ya kusafisha mafisadi ndani ya chama na kuangalia upya matekelezo ya Ilani ya chama, waseme wazi yapi yanaweza kutekelezeka on a short term period na yapi yanahitaji a long term period, na weseme wazi kwa wanachama na taifa wapi walio ondolewa walipokosea na watakavyorekebisha hasa kero za wananchi, ukianza na umeme!
5. Mukama, ninamuamini sana kwa sababu I know him personally tena kwa muda mrefu sana kwamba ni a serious man with integrity, sio mtu wa kutafuta umaarufu bila sababu, amekua behind the scene of CCM kwa muda mrefu sana, amekua Kivukoni kwa muda mrefu, amefanya kazi na Mwalimu, ingawa hapa anapoingia sasa panahitaji sana siasa kuliko elimu, nikiwa na maaana kwamba hapa kuna Compromise, Accomodation, Inclusion lakini still at the end of the day binadam tunasimama mbele ya Mungu kujibu kuhusu our integrity na our respect to other humankind who cannot repay our good, kwa hilo sina wasi wasi na Mukama, kwamba ni mtu anayeheshimu sana utu na haki na atakisadia sana chama chetu, isipokuwa tu ni lazima afanye utafiti wa kisayansi on why aliyetoka ameshindwa na alishindwa wapi?
- Kwa kumaliza ninasema kwamba hatimaye the Good has prevailed against Evil, and that is the way it is supposed to be, Chadema wanatudai CCM heshima kubwa sana kwa kuweza kutusaidia kufanikisha haya mabadiliko, maana sio siri ni kelele zao ndio zimeweza kutoa nafasi kwa Wapiganaji kuingia na nguvu ya ajabu sana kwenye hiki kikao hasa cha jana, ambako nasikia kidogo hata ngumi zilike huko ndani na kuweza kuwa na nguvu ya kudai mabadiliko.
- Sasa the next step iwe kuyafikisha mafisadi kwenye SHERIA, baada ya kuyafukuza uanachama, na pia UV-CCM ni muda mrefu sana sasa hawa wamekuwa mzigo mzito sana kwetu CCM, na wao pia ikibidi wafukuzwe wote na ivunjwe ili tuanze upya!
- I want to congratulate ndugu yangu wa siku nyingi sana in this game Mkulu Nape, much respect maan I mean looking back tulikotoka hapa your elevation means one thing kwamba Good always prevails over evil, wengi tunakuaminia sana bro, so don't let us down. Na pia ndugu yangu Januari you know the deal bro, sasa fanyeni kazi na wasikilizeni wanachi hasa wanachama, mkifanya yanayotakiwa tutakuwa nyuma yenu, maana ni taifa mbele! Mkiharibu mtasikia from us kwanza kabla ya wengine!, SALUTE!
Mungu Aibariki Tanzania!
William @ New York City, USA.
teh teh teh yaani umefanya asubuhi hii iwe full kichekohawa wote nasikia kichefuchefu
WAMECHUKUA MAVI WAKAPULIZIA PERFUME
Watanzania tuna moyo sana... alipotokea Babu na Kikombe chake macho yetu yote yalielekezwa kule. Tuliamini na bado tunaamini katika uponyajio wa ajabu kule. Imani kumbe ni kitu cha ajabu sana. Tunaweza kuamini mambo mengi hata bila sababu ya msingi ya kuamini. Wakati mwingine muda ndio kitu pekee kinachohitajika kuweza kupima imani yetu. Nilikuwa naamini hivi zamani; CCM wakifanya kitu moyo wangu unashtuka kwa matamanio kuwa labda "this is it".
Sasa hivi nimejifunza kuamini tofauti; naamini kuwa bado kanuni za mabadiliko ya kimaumbile zinafanya kazi. Lakini bado kanuni hizo bado hazijaweza kutuonesha kwa uhakika kuwa kama kweli binadamu alitoka kwa sokwe kwanini sokwe bado wapo na binadamu bado wapo? Na hazijatudokeza ni vitu gani vinahitajika kwa kinyonga kugeuzwa na kuwa kambale?
Sijui kama mzee mwenzangu umeona ulichosema; ulichosema ni kuwa Kamati Kuu ya CCM haikufanya utafiti wake yenyewe wala kujiridhisha pasipo shaka kuona kama hao "watatu" ni kweli wanahusika na ufisadi. Kwamba, CCM Taifa wamekaa chini na kuyachukua maneno ya Chadema na "wapiganaji" na kuyachukulia maamuzi ya kuwatimua watu ili kuridhisha walalamikaji. Yaani Kikwete na kundi lake wamewaondoa madarakani kina Lowassa, Chenge na RA miongoni mwa wanachama wake waaminifu na watiifu sana kwa maneno ya "wapiganaji" basi naweza kusema pasipo shaka kuwa yumkini CCM ina matatizo makubwa zaidi kuliko tunavyofikiria.
Kama hawakuwa na ajenda ya Katiba Mpya sasa wakaichukua
Na kuwa hawakuwa wanajua mafisadi ndani ya CCM hadi walipotajwa na Chadema na sasa imewachukulia hatua
Ni wazi kuwa CCM inahitaji kuwasikiliza sana Chadema! Lakini vyovyote vile ilivyo kama hatua zilizochukuliwa Dodoma zinatokana na maneno ya Chadema basi kilichotokea kwa kina EL, RA, na AC ni travesty of justice ambayo ukilinganisha na kamati ya mwakyembe hii ya Halmashauri Kuu ya Taifa haina mfano. Maana angalau Mwakyembe alijaribu kuonesha uhusiano wa ofisi ya waziri mkuu na Richmond! Ndio maana toka mwanzo wa sakata hli binafi nimekuwa nikiuliza ni "charges" gani zilimeletwa dhidi ya hao trio? Haiwezekani kusema kuwa "wanatajwa na Chadema au wananchi wanataja taja sana majina yao". I hope the burden of proof was higher than that.
Naona wameshindwa kubalance udini,jinsia.
Kaka una kazi mwaka huu!
Ushauri wangu ni kuwa badala ya kuendelea kung'ang'ana na kuwa haya ni matunda ya kazi yako AMA ya "wapiganaji" wenzako ni bora kurudi nyuma kujihakiki na kujioanga upya maana mashambulizi ya hii timu hayatakuwa lelemama.