Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Inabidi tufundishe taifa lijalo 2050 huko mambo ndio kidogo yanaweza kuwa mazuri... Tuamkeni jamani.. Kama mimi muongo wangapi hapa hamkutafuta ma 'feki' ya form 4 au form 6??? Leo JK ndio aje kusolve yote haya, na sio namtetea wala nini.. Ukweli ni kwamba tunamatatizo mengi... Tungekaa ata tukayajadili kwa undani na uhasilia wake basi...sio ufisadi wa watu wa 3 ambao eti wakifukuzwa CCM na bungeni basi ghafla Tanzania itakuwa middle income country. That is utter nonsense.

Huku ni kukata tamaa kuliko pita kiasi. Tuache basi watawale wapendavyo; tusiwahoji, tusitake wawajibike na tusijaribu kusahihisha matatizo tuliyonayo. Hata tusijaribu kuandika Katiba tunayoitaka ili tuweze kutengeneza mfumo bora wa utawala kuliko uliojengwa na CCM kwa miaka hii hamsini. Tusubiri miaka hamsini ijayo au tuwaachie watoto wetu haya madudu yetu ili wao waje kuhangaika nayo kama Nigeria! Kweli tumefika mahali pa kukata tamaa hivi?
 
Mbegu you better slow your roll fool. I was only talking about your boy and I wasn't talking about others, get it? If I wanted to talk about others I would have done it. Simple as that. Watch your step.

Who cares whether the mud thrown at him sticks or not? I've never accused or attacked him for anything and I don't give a sh*t anyway. So if it annoys others or not, that's none of my business. For all I care, at the end of the day your boy is no deus ex machina. Take that!

Relax bro! No need to be a bully here...

Precisely my observation was how come in nearly 15 out of 17 pages in this thread people, including yourself, have managed to talk more about JM than anybody else combined. I find that curious. Maybe you don't, and thats fine but please don't feel an obligation to like him.
 
Relax bro! No need to be a bully here...

Precisely my observation was how come in nearly 15 out of 17 pages in this thread people, including yourself, have managed to talk more about JM than anybody else combined. I find that curious. Maybe you don't, and thats fine but please don't feel an obligation to like him.

How many times in those 15 out of 17 pages did I mention his name as compared to others?
 
..how about Ben Mkapa?

..kwanini hawamtimui?

..hivi ufisadi alioufanya hauipunguzii CCM umaarufu?

..kwanini hawashughulikii mafisadi wote waliopo ndani ya CCM?

..kwa mtizamo wangu mabadiliko haya ni ulaghai mwingine wa CCM, they have nothing to do na matatizo yetu wa-Tanzania.
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya mabadiliko ya uongozi CCM ni hawa hapa:

(VIONGOZI WA TAIFA)
1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein


(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi


(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye
 
wapi maswahiba wa ****** akina ben membe na edwards. Au changa la macho watu wasahau waibuke 2014
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya mabadiliko ya uongozi CCM ni hawa hapa:

(VIONGOZI WA TAIFA)
1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein


(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi


(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye

Thanks but designations would be shown please, especially for the Secretariat
 
Hivi Ali Mohamed Shein ameshakuwa makamu mwenyekiti wa CCM Zenji?

Aman Abeid Karume alishaachia madaraka?..........Kana ni kweli basi siasa mi siziwezagi!
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya mabadiliko ya uongozi CCM ni hawa hapa:

(VIONGOZI WA TAIFA)
1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein


(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi


(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye

Ingewasajiri Washambuliaji wenye uchu wa magori kama vile Torres,messi,Ronaldo,etoo,Tegete,ngasa,okwi,samata sasa timu hiyo itatumia nguvu nyingi bila plan
 
Thanks but designations would be shown please, especially for the Secretariat


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama - Katibu Mkuu
17. Capt. John Chiligati - Naibu Katibu Mkuu (bara)
18. Vuai Ali Vuai - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
19. January Makamba - Mambo ya Nje
20. Mwigulu Nchemba - Hazina
21. Asha Abdallah Juma - Organisation
22. Nape Nnauye - Uenezi
 
Jamani Huu ni mtazamo wangu tu najaribu kuangalia hapa je huu sio udini au wanaangalia CDM tu mbona naona waislam 16 na wakristo 7 katika safu hii ya uongozi wa ccm au macho yangu jamani. wanajamvi nisaidieni hapa
 
Habari zinazoletwa na ka-nzi kutoka Dodoma baada ya kutulia na kufuatilia toka ndani kabisa zinadokeza kwa uhakika mkubwa ...

Katibu Mkuu mpya wa CCM ni W. Mukama kama ilivyoripotiwa awali
Naibu Katibu Mkuu (bara) - John Chiligati (mwanzoni ilitajwa ni Kinana)
Mambo ya Nje (kamati ya CCM) - January Makamba (akichukua nafasi ya Ben Membe)
Itikadi na Uenezi - Nape (kama ilivyoripotiwa)
Uchumi na Fedha - Mwigulu Mchemba (nadhani hii iliripotiwa kuwa ni Zakia Meghji).

... stay tuned... (I'll be updating as ka-nzi kanafanya kazi yake)..Press Conference itakuwa underway muda si mrefu... we are monitoring..

Haya kumekucha CCM!

Huu ni mwanzo wa kumalizana kwa Chama Cha Mafisadi. Hii listi haina lolote la kuifanya CCM ibadilike kutoka NYOKA WA KIJANI MWENYE SUMU KALI na kuwa NYOKA MWEUPE au MWEKUNDU asiye na SUMU kali. Hii ni sawa na MTU kubadilisha koti au kanzu. Vazi haliwezi kubadilisha TABIA ya mtu,atabakia ni mtu yuleyule kama yeye ana roho mbaya,mchoyo,mwizi,fisadi,jambazi hakika vazi halitamwondolea hiyo TABIA. That's what CCM is doing now!

Lakini pia huu ni mwanzo wa VITA vya ndani kwa ndani within CCM. Hivi unafikiri/mnafikiri vigogo walioachwa kina RA(Rostam),EL(Lowassa),AC(Chenge),BM(Membe) watakaa kimya na kuridhika na maamuzi haya??? Lowassa na Membe ni ma-Rais watarajiwa 2015 yaani one of them! Bado kuna VIJANA wao-UVCCM na makundi yao!

Hapa CCM wameshatangaza VITA ndani ya Chama chao. Mwisho wake ni ANGUKO LA KARNE. Aidha chama kinaenda kumeguka vipande vipande kwa wale wote wanaoona hawakutendewa haki kuanzisha vyama vyao au KUJIUNGA NA UPINZANI!
Tusubiri tuone mwisho wake.
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya mabadiliko ya uongozi CCM ni hawa hapa:

(VIONGOZI WA TAIFA)
1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein


(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi


(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye

Kwa hiyo ina maana watu wangu RA, EL na 6 wameachwa. Mnaweza kunijuza utaratibu unaotumika kuwapata wajumbe wa cc. wanagombea au wanapendekezwa na wajumbe au m/kiti. msaada please.
 
ukiangalia idadi ya wajumbe bara na visiwani unaona wako sawa kwa idadi. Ina maana kijiografia bara na visiwani vinalingana? au idadai ya watu au wanachama wa ccm bara na visiwani ni sawa?
 
CCM ni chama cha kiislamu.. kati ya wajumbe 22 wa NEC 15 (68.18%) ni waislamu wakati waislamu hawazi 30% kwenye population ya Tanzania...

Nipegeni mawe lakini ukweli ndio huo.... CCM ni chama cha Kiislamu!
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya mabadiliko ya uongozi CCM ni hawa hapa:

(VIONGOZI WA TAIFA)
1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein


(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana
4. Zakia Meghji
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi


(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib


(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba
20. Mwigulu Nchemba
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye

OOh my gudness me hivi CHADEMA hamjafanya party tu? Mungu awape nini jamani? You know what mmesha jenga safini na mko ndani mvua bado inanyesha na pindi mafuriko yakikosa pa kwenda basi maji yataanza kuja na hapo hayo maji yatainua safina lenu juu huku maji hayo yakileta maangamizi kwa wote walio nje ya safina. Ole wenu mfungue mlango eti kuwaonea hruma wale waliowacheka the time mna jenga safina hakika mlango mkiufungua maji yataingia ndani ya safina na nyote mtaangamia!
 
- Kwa kumaliza ninasema kwamba hatimaye the Good has prevailed against Evil, and that is the way it is supposed to be, ....!
ni lini ulikiri kuwa ccm kuna evils? au unakurupuka sasa hivi?
In addition to the people who are evils in ccm, the ccm system tself is evil. Ebu angalia nguvu kubwa aliyo nayo mwenyekiti - is that not evil by itself?
 
Back
Top Bottom