Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Huu ni uongo wa dhahiri,kipindi hiki sio live program ni cha kurekodi na Dr slaa ameishafanya mahojiano na tido,sasa azam wasene tu kwanini hawajakirusha kipindi CA kama Dr kakacha wangetoka hadharani kysema
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Tido ana maswali magumu hata ningekuwa mimi nisingeenda ukizingatia alichozungumza padri mzinifu ni uwongo mtupu
 
walinzi wake TISS wamekataa kumsindikiza au mwakyembe ajampatia mambo ya kusema leo
 
Ile kauli kwamba ' Magufuli kamhonga nyumba ya serikali hawara yake' itamcost na ataendelea kuwa mkimbizi siku zote, hela ya ccm ni tamu lakini siyo nzuri, atajuta!!
 
Tido siyo wakuchezea vinginevyo unaweza ukaumbuka,mwaka 2010 kipindi kama hikihiki cha uchaguzi Makamba na CCM yake yote waliokolewa na mbio ili kukwepa aibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom