William Malecela na Ajali za Kisiasa

Hahhahahha he did it again kajibu Le Metuz, cna mbavu mie! Kwa mbwembwe zote kamalizia "Le Mutuz" hahahahahah
 
Yaani huyu baba anasikitisha Maskini ya Mungu,anavyojibu yaani naionea huruma familia yake,eti kuna watoto wanamuita baba huyu Jamaniii!! Eeeh Mungu weee!!

Ana mke na watoto aliowatelekeza huko kwa Obama kwani mambo kama afanyayo mwanamke gani atayaelewa katika maisha ya pamoja? Nisije lipua jipu kabla halijavunda.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

quote_icon.png
By W. J. Malecela

- Pole sana labda aliyeumia ni wewe sio mimi!

Le Mutuz!!

Kwa anayefahamu jiji la New York na state za kando kando yake za New Jersey & Connectcut kuna zile bar zinazojulikana sana na wapenda dogodogo, bar hizo huitwa Go Go Bar. Wasichana huwa actually naked kwani wanachokuwa nacho ni chupi na sidiria ambayo ni kambakamba tu ili kuachia mungo wazi. Na pengine huzivua hizo ili kutia hamasa zaidi wateja ili kujaza tip $$$.

Hao wasichana wanafanya hivyo ni kazi yao au ni biashara yao na wako official hapo na wanalipia. Wanaume wenye moyo mchache kama wangu hivi ni kujituma kwa speed zote kwa vile umeanikiwa vya bure na kiingilio ni kununua kinywaji tu. Hapo dodosa na mishiko ni kwa tip, kwa dakika ujue unamfutika kwenye kamba ya ambayo ndio cupi yake $$$.

Vijana wengi wa kiafrika baada ya kufika huko huchanganyikiwa na kuona wameukosa ulimwengu huo ambao ni maraha tupu. Wanaoendekeza huwa vigumu kuachana na tabia hiyo, kwani raha nazo ukiziendekeza nyumbani hapakaliki. Kutakuwa na visingizio vingi tu vya kujenga utetezi lakini ujue ukweli ndio huo kaudhaifu kameota mizizi vigumu kuanchana nako.

Nilipofika mara ya kwanza huko vijana wanaonifahamu wakataka kunitoa tongo ili nichangamkie, walichokishangaa nilisinyaa na kuona niko kusiko kwangu, kwa vile ilikuwa siku za awali na sikuba bado na private car, ilibidi nijisikie kwamba naumbwa nahitaji kwenda kupumzika na nikachukua cab. Kwa kweli nilijikia kichefuchefu sana, lakini kwa wengine nafasi ile ni chanda cha dhahabu kwenye kisani.
 
Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg. Adriano Richard Haonga na Zulfikar ali Mzige.

Tafadhali ndugu yangu William Usikate tamaa. Kama vipi JK akupe hata ukuu wa wilaya ukisubiria Mtera 2015. umekuwa mtetezi mkubwa sana wa Chama, hata NEPI akupe kazi ya ushauri wake kwenye maswala ya mtandaoni na siasa kwa ujumla. Kumbuka hata shyrose Bhanji naye alipitia haya haya. USHAURI. Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana


MBABY WA UKWEE 2.jpg 574468_3767176537185_1209820481_33744045_327030572_n.jpg

Kwa akili hizi lazima ashindwe.
 
He is so creepy, sick and crazy! Zee zima na miaka 50 linacheza cheza na kuhemea milo! Ati kinje na watoto yatima! Muulizeni kinje limechangia sh ngapi! IQ so low, hata kujifunza its a bit late for him.creepy!
 
W. J. Malecela

Kuingalia JF na Facebook ki-rahisi kama unavyo fanya ndo vinazidi kukuweka pabaya...ebu angalia vijana wanasiasa makini wenzako ni vip wan-behave in social networking, mathalani linganisha J Makamba, Zitto Kabwe comments in social networking na madudu unayopost wewe. kweli sikio la kufa halisikii dawa

Hii nimeipenda. Kuna mtu wa kumpa ushauri akaelewa na kuna mwingine wa kumhurumia tu! Huyu anastahili huruma! Big body akili ya tongwa.
 
Usitoe sana povu bwn wm nafikiri wanakutania,inaelekea ww huko kichwani ni box ndo maana unaanika mambo yako.Think b4 u react.Ushauri tu.
 



- Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

REPECT MUCH!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!
Bill, Hongera kwa ushindi wa kishindo kwenye nafasi zote ulizogombea, kama tulivyoongea, endelea kujipanga...jenga profile yako. Hayo mengine ya wewe na warembo na clubbing ni yako binafsi, yasikutishe sana...
 
Bill, Hongera kwa ushindi wa kishindo kwenye nafasi zote ulizogombea, kama tulivyoongea, endelea kujipanga...jenga profile yako. Hayo mengine ya wewe na warembo na clubbing ni yako binafsi, yasikutishe sana...
"Success in almost any field depends more on energy and drive than it does on intelligence. This explains why we have so many stupid leaders."
-Sloan Wilson
 
Bill, Hongera kwa ushindi wa kishindo kwenye nafasi zote ulizogombea, kama tulivyoongea, endelea kujipanga...jenga profile yako. Hayo mengine ya wewe na warembo na clubbing ni yako binafsi, yasikutishe sana...

- Heshima yako Mheshimiwa, sawa sawa ndugu yangu nimekusikia sana bro na ubarikiwe sana ndugu yangu, nitakutafuta kesho!!

William.
 
Mhhh yako mambo yanahitaji kufanyiwa kazi hapa hata kama yanasound kama majungu,naamini tutaona mabadiliko soon. kuandikwa na magazeti ya udaku hakutusaidii kama viongozi wala hakutufanyi tuwe role models wazuri. william wewe unapaswa kuwa role model na kama role model utachagua ni nini ungependa vijana wachukue toka kwako! je ni kuacha kifua wazi kuonyesha cheni? Ama kupiga picha na warembo waliochafuka katika jamii na kuzitundika kwenye blog? ama kuandikwa kwenye magazeti ya udaku? the choice is yours!
 
Last edited by a moderator:
Wiliam Malecela kielelezo cha Ujinga katika Taifa !

Hana Akili hata moja , Mvuta Baghi tu
 
Ngozi imemtepeta kuonyesha umri unamtupa mkono!muonekano wa kimjini hana,miziwa kama mwanamama anyonyeshaye!lakini anapenda asiyofanana nayo!
 
Watu mbona mnashambulia sana Le mutuz as if ameua mtu????hii ni nchi huru bana na kila mtu ana haki yakufanya kitu anachokipenda sawa...Sasa Le mutuz yeye ameamua kutoka kivyake nyie kinawauma nn???huku ughaibuni watu wanapata utajiri na kujulikana kwa vitu kama anavyofanya huyu broda...kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka ni maisha aliyojichagulia au sio...kama watu hawatamchagua sababu ya hizo picha ni sawa....lakini mie sioni kosa lake kwa sababu hajaua au kutembea na mke wa mtu...people leave this guy alone and mind your own business ....poleni...Le mutuz keep it up..tupo tunaokusupport banaaa...take five kwa kupata umaarufu katika kipindi kifupi...at the end of day thats your life hujawahi kwenda kwa mtu kumuomba chumvi ...teehteeh..mtu unafanya kitu roho inapenda bana maisha yenyewe mafupi haya...Le mutuz kaza uzi baelezee tu...papaaa mukulukulu!!!
 
..... da sijui ni wivu, ama chuki binafsi. maanake malumbano haya sioni baya katika utendaji wa mtu! tanzania nzuri tunayo itegemea hawezi kuja kwa staili hii
 
Yani hili jamaa kubwa jinga kishenzi, cjui lina miaka mingapi????kweli ticha wa biology hakukosea , watu mabonge ubongo wao unakuwa mdogo kufikiria na kufanya maamuzi...ndo maana wanaweza kuachia ushuzi hata mbele ya kadamnasi.
 
Mhhh yako mambo yanahitaji kufanyiwa kazi hapa hata kama yanasound kama majungu,naamini tutaona mabadiliko soon. kuandikwa na magazeti ya udaku hakutusaidii kama viongozi wala hakutufanyi tuwe role models wazuri. william wewe unapaswa kuwa role model na kama role model utachagua ni nini ungependa vijana wachukue toka kwako! je ni kuacha kifua wazi kuonyesha cheni? Ama kupiga picha na warembo waliochafuka katika jamii na kuzitundika kwenye blog? ama kuandikwa kwenye magazeti ya udaku? the choice is yours!

- Mkuu nasikia siku hizi na wewe umeanza kujiingiza kwenye hilo tawi la CCM, pole pole usivuruge tawi, hayo mengine huku mjini bongo wanaita swaggazzzz!! keep it up by the way mbona huu ushauri wako haujkusaidia mwenyewe ukawa kiongozi mkubwa bongo? ha ha! ha!

Wilie!!
 
..... da sijui ni wivu, ama chuki binafsi. maanake malumbano haya sioni baya katika utendaji wa mtu! tanzania nzuri tunayo itegemea hawezi kuja kwa staili hii

- Brother hawa watu wengi nimewa-delete kule Facebook ndio maana wanalia lia kama watoto, ha! ha! hwanikseshi usingizi maana hawapigi kura hawa ni filimbi tu!!

Willie!
 
Back
Top Bottom