William Malecela na Ajali za Kisiasa

Wajameni nisaidieni,maana nashangaa haswaaa,hivi huyu anayejibu yote haya kwajina la W.J.Malecela ni Yeye mwenyewe kweliiii au mtu tu kaamua kumchafulia Zaidi? Kama ni Yeye kweli Mmmh, No comment! Sijui km kichwani kuna Brain au Kumejaa mikojo!!
 
Wajameni nisaidieni,maana nashangaa haswaaa,hivi huyu anayejibu yote haya kwajina la W.J.Malecela ni Yeye mwenyewe kweliiii au mtu tu kaamua kumchafulia Zaidi? Kama ni Yeye kweli Mmmh, No comment! Sijui km kichwani kuna Brain au Kumejaa mikojo!!
Ni yeye mwenyewe, le Mutuz, the Big show, Le baharia, Bongo Celeb na mengine yote. Nyie mwacheni tu, uchaguzi 2015 mtu anakuja kuzifufua hizi threads zote tuone ataficha uso wake wapi! Na hizi picha zote si zinaingia database ya upinzani?
 
Mi nahisi baba yako inabidi akuite akufunde. Pia kama vile ulikosa mapenzi ya mama? coz hiyo kujishika sana na akina dada sio kawaid. Perhaps kuna stage in puberty uliiruka and its taking place while your almost aging. Au ndio kudhani utawakomoa hao vimwana na wake zako uliowaacha Lemutuz LeBaharia?
 
Ulichopewa na wadau wengi ni USHAURI
Ukiona ushauri wao haufai basi usiuchukue ama ukiona unafaa uchukue hata baada ya kuwaponda na kudhani kuwa wanakuandama! Hata kwa majibu yako tu ni udhaifu na umeendelea kujichafua.

USHAURI WANGU:
Unaonekana umezoea maisha flani ya NY.. Ni bora urudi kule ukaendelee na kazi yako ya kufunga box kwa sababu maisha ya u gangster hapo Tanzania hakuna! Kumbuka kikubwa kilichokurudisha kilikuwa ni kugombea ubunge wa EALA ambapo ulibuzura mkia vibaya! Sasa nasikia unataka Mtera. Kwa bahati mbaya sana hilo jimbo unajua alivyonyukwa mzee wako kwenye kura ya maoni.. Usidhani fimbo aliyochapiwa na wapigakura itakuwa imeliwa na mchwa.. La! Utakuta imekauka kwa kuwa kipindi kile ilikuwa mbichi ya kunesa! Jiulize kitakachokukuta.......

 
W. J. Malecela hebu nyoosha maelezo acha kutupiga fix hapa mchana kweupe, nimeangalia katiba ya CCM hakuna nafasi inayoitwa mjumbe wa CCM wilaya bali nadhani wewe umechaguliwa kutoka kwenye kata yako kuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya ukiwakilisha kata yako ya Kivukoni. Prove me wrong please.
 
Last edited by a moderator:
- Kwanza Mungu alitakiwa kukuepusha na balaa lako mwenyewe, miaka 50 Ughaibuni unaogopa nini kurudi bongo, wanaume wanarudi unaanza kulia lia njoo huku kama mwanaume kweli, wewe tulia huko kula hizo za huyo fisadi mlizoachiwa, sisi huku bongo tunajenga taifa letu, na pia tunakula bata za kibongo bongo kama mwanaume kweli njoo huku uone kama hukuchekesha, kaa huko tengeneza majungu maana unafahamika sana kwa kutengenezea watu majungu!!

- Huku bongo tuachie wanaume wa kazi, tuliokaa baharini tukaishi Ughaibuni na sasa tumerudi kujenga taifa, tumeingia EAC, tukarudi Kata, Wilaya na Mkoa na sasa tunaangalia Taifa, wewe endelea na majungu majungu huko Ughaibuni ya mwanaume mzima kwenda kuchunguza Rais kaja na ujumbe wa watu wangapi, na wamekula nini na wapi na walikuwa na masanduku mangapi, mwanaume mzima, badala ya kuja bongo kusaidia kujenga taifa lako!! ha! ha! ha! ha!

- kazi kujiiingiza na yasiyokuhusu na ubalozi wetu huko na kuleta majungu na hao watu wa huo ubalozi nawaonea huruma sana maana habari zako na hao wapuuuzi zipo sana huku, mnafikiri mna akili sana kuihujumu CCM, lakini za kwenu zipo jikoni zinaiva!!

- sO MUOMBE mUNGU AKUEPUSHE NA BALAA LAKO MWENYEWE SI UNAJUA WEWE MWENYEWE NI BALAAA!!

BIIG SHOOW!!
hahahahahahaaaaaa taifa umekuja kujenga na vimwana? kwi kwi kwi kwi
 


Duh wewe unanitetea? Toka lini na ile kazi yako ya kuchukua post zangu Facebook na kuja kuzitungia majungu hapa ndio unaita kunitetea? Halafu bahati mbaya sana uliyonayo hujui kudanganya tukikutana unajisema mwenye kwamba ni nani, mimi huwa ninakuangalia tu na kukucheka kimoyo moyo!! Sijawahi kuomba kutetewa na anybody kwenye maisha yangu so sihitaji anyhting from you bro, I am a big boy can handle my self!!

Biig Shoow!!

Nina hakika umewahi kutetewa na John Samwel Malecela na mama yako wa Kambo. Kataa!
 
It is much easier to be a Phd holder than to be wise, the reason is because there is no any known college of excellence which has excelled in offering that than U.O.L. But it is even easier to be wise than to be a Phd, because UOL (University of Life) the only one which has so far excelled in offering classes on wisdom, is free and open to all.
 
Yaani huyu baba anasikitisha Maskini ya Mungu,anavyojibu yaani naionea huruma familia yake,eti kuna watoto wanamuita baba huyu Jamaniii!! Eeeh Mungu weee!!
 
Mkubwa naona Leo Yuko front page kwenye magazeti ya udaku Na picha za warembo! Litamfurahisha sana hili kwa akili zake nyingi!!
 
William Malecela,
Ndugu yangu, sikia ushauri unaopewa. Wewe ni mtu mzima. miaka 50 siyo kidogo. Tafakari hatima yako, haya mambo ya kuzunguka na wakina Wema, sintah, miss tanzania hayana tija katika harakati zako. Kila mtu anakuona kama vile haujakomaa siyo tu kisiasa bali hata kisaikolojia kiasi cha kupewa uongozi.

Nina imani, Rais Kikwete angeshakupa hata ukuu wa wilaya, lakini ww kila siku hupo kwenye klabu na mademu lukuki. Nakushauri ufunge blog lako, punguzi kujianika kwenye mitandao na pia utafakari mbele. Tabia unazoonyesha kwa sasa hazina toauti na za Mange (mtoto wa dadako). Kwa mtu msomi mweye upeo, nadhani haya yote ungeshayaona. Kumbuka una familia, watoto na mke. Hata kama mmeachana lakini bado ni mama watoto wako. Usijishushie heshima katika jamii

Come on William. Unawezaje kuzunguka na Mange, Sintah na Wema? seriously!

Kiongozi ni kioo cha jamii. Pale vijana wadogo ambao wengi wao ndio wapiga kura watakapokuona wa maana kwa kufanya vitu vya maana badala ya kujiita majin aya ajabu kama mvuta bangi wa kijiweni, mara LeBaharia, LeMutuz, bigshow, etc.. watakupigia kura, zaidi ya hayo, nadhani utaendea kuwa msindikizaji.

Mwone vicky Kamata, Catherine magige ambao hata kusoma sijui kama wanajua wako bungeni, wewe ni zaidi yao mara kumi, il akwa mwendendo huu ndugu yangu, safari itakuwa ndefu sana. Ushauri tu. Ila ukweli ni dawa, naomba uimeze utapona. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiongozi mambo yenu ni mswano. Ni kiasi cha simu au note, lakini wewe kwao hata hao viongozi utaonekana mtu asiye bebeka.

Watoto wa Mwinyi, Makamba, Nchimbi, Nnauye, Kawawa,Sokoine, ec..wote wanabebwa kwa nini wewe usibebwe? Pengine kwa sababu wewe ni mzito sana na hii inatokana na zigo la wakina Wema na Mange ulilojitwika mwenyewe. Mtoto wa mkulima anasota miaka karibia 15 kufikia hapo ulipo, wewe tu kushuka majuzi toka NY, umeshakutuna na viongozi karibia wote. Kwa nini wasikulazimishie hata ka cheo?

Jibu mwenyewe kwani wanao wanakuwa na wanakusubiria kule Mt. Vernon. Kadhalika wapo katika umri wa kusoma mitandao na kuona picha zako na Vimwana

Shemeji yangu william. uliingia mjini kwa pupa huyu mwenzetu alikuwa wosia mzuri sana lakini ukapuuzia. Leo wamekutundika kwenye magazeti ya udaku mkuu. aibu gani?..... heshima imeanza kushuka kwa kasi, jinsi ulivyoingia mjini kwa pupa. jaribu kuwa msikivu william
 
Shemeji yangu william. uliingia mjini kwa pupa huyu mwenzetu alikuwa wosia mzuri sana lakini ukapuuzia. Leo wamekutundika kwenye magazeti ya udaku mkuu. aibu gani?..... heshima imeanza kushuka kwa kasi, jinsi ulivyoingia mjini kwa pupa. jaribu kuwa msikivu william

- Pole sana labda aliyeumia ni wewe sio mimi!

Le Mutuz!!
 
- Pole sana labda aliyeumia ni wewe sio mimi!

Le Mutuz!!
Kuna watu niliwaambia ile story ilitoka kwenye hivi vigazeti uchwara vya Udaku inawezekana kabisa ni ushauri wa kina Wema Sepetu kwa William ili aweze kumake headline kwenye vigazeti, lakini watu walinibishia, lakini kwa statement hii bila shaka nilikuwa sahihi maana ndege wafananao huruka pamoja, huu ndio upuuzi wanaoufanya kina Wema kila siku ili waandikwe kwenye vigazeti uchwara.
 
Back
Top Bottom