Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Eti ni kweli jamaa ni goli la mkono, a.k.a mtoto wa mashtuzi ?talking of a son being 'an embarrassment to his father'
this is it....
Eti ni kweli jamaa ni goli la mkono, a.k.a mtoto wa mashtuzi ?talking of a son being 'an embarrassment to his father'
this is it....
Unaonekana u have a lots of time in your handsNarudia tena "Huwezi simama na mimi jukwaani" pia siwezi badilishana maneno na wewe maana hutamaliza kusikiliza ukijisifu yamekuboa khaaaa!!! Umetembea sijui nchi 30, sijatoka hata nje ya Dar na umesoma shule tofauti na zenye majina mwenzio nimeanzia st. Kayumba nimemalizia UDSM una umri wa baba yangu na nina umri wa mjukuu wako lakini unizidi kwa exposure na ufahamu.
Siwezi ingia fb yako hata siku moja huo muda sina na kwenye blog ulituletea mwenyewe hapa nasisi watu wakuthaminisha tumepitia ndo tunakuletea tathmini mara umetuona ndo mashabiki wa blog yako. Aisee nakuheshimu sana tafazali vaa nguo haraka maana wajukuu zako wengine wanaingia wasijeona hizo mvi za huko pia
Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.
Haya mambo yapo kwenye mtandao ni suala la kujishughulisha tu. Historia ya Angola inaonyesha kwamba Savimbi aliliwa timing tu pale Luanda kwa Wareno kuwaachia MPLA mji mkuu wakati huo UNITA wamekamata maeneo mengi katika harakati za kuikomboa nchi. Baada tu ya kuachiwa Luanda MPLA ikawakaribisha Cuba na Russia kuwasaidia kutawala. Cuba ikasheheneza majeshi yake Angola kwa kusaidiwa kilojistic na USSR.
Kwa upande mwingine, Savimbi alikuwa na usaidizi wa Waamerika/washirika wake na Makaburu wa Afrika kusini. Savimbi alikuwa anatawala maeneo mengi mno huko Angola wakati MPLA wamejikita maeneo ya Luanda.
Vita ya Angola ilikuwa ikiwakilisha block za magharibi na mashariki.
Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.
Kwa kuwa Tanzania tulikuwa na mrengo wa Mashariki basi ilikuwa tunapeana propaganda za kumuona Savimbi ni muuaji na alipokataa matokeao ya uchaguzi ya 1992 na kurudi msituni basi akaonekana ni mbishi. Kukazuka propaganda za kuhusisha mtu yeyote anayekataa matokeo ya uchaguzi (hata kama umekuwa si huru na haki) aitwe Savimbi! Angalieni wenyewe kwamba usipokubali matokeo ya uchaguzi unaitwa Savimbi. Huo ndio ubaya wa Savimbi!! Kataa tu matokeo basi wewe ni Savimbi!
| ||||||||||||||||||||||||||||
|
Kimbunga, Hitler hakuingia madarakani kwa kupindua serikali, chama chake cha Nazi kilikuwa kikishinda uchaguzi na hatimaye kuchukua nchi. Hitler alijiita pia mkombozi wa Wajerumani.
Basi leo tutakubaliana na William Malecela akimweka Hitler katika kundi la wapigania ukombozi?