Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
- Dada yako alinipokea wapi? Nenda utafute FCATS kwanza maana huna ukweli, I love this cause inanipa free media attention na pia defining who I am through matusi yenu kwa sababu matusi maana yake ni simply huna hoja na huna FACTS, sasa nakuuliza Dada yako alinipokea wapi? ha! ha! ha! ha!
- Tizama sasa unasema Waarabu wamenilisha for 18 kabla sijakutana na Dada yako, ha! ha! ha1 ha! yaani mpaka raha! ha! ha! ha!, unajua ni hoja kama hizi ndio zinafafanua who we are wewe unarusha majungu mimi unanipa nafasi ya kujieleza kwa the public who I am, inahitaji kichwa sana kuweza kuelewa hivyo, ndio maana ninasema bring it on, I love it!
- One thing Wazungu wamenifundisha sana ni Politics of engagement, as modern and smart politics, so sitagusa ya Savimbi ambayo tayari yameshawashinda so keep on coming! ha1 ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
William.
Huna tofauti na wasanii wa bongo wanaojisifia kuandikwa kwenye magazeti ya udaku na kashfa chafu wakijisifu wanatangazwa, poor you, naomba leo nikueleze sio kila mwenye cheti ni kwamba kaelimika na wewe ni mmoja wao.
Na hili unalolisema wazungu wamekufunza "Politics of engagement, as modern and smart politics" where did you practice it and what was the outcome, imekusaidia kuongeza wanachama wangapi hapo CCM? Au umejitahidi kuleta mada gani hapa JF ambayo ni constructive hata wale wenye mlengwa wa kushoto kwako wakakukubali?
Ukiniambia umejifunza siasa za kipropaganda nitakukubalia maana unajifanyaga kujikomba na wakina Mbowe ukiwaona alafu upige nao picha utuletee mitandaoni tukuone uko pamoja nao.Mwisho wako unahesabika unafiki kwishney.
Unaposema Siasa za Savimbi zimetushinda umetuacha aliyekwambia mfumo wa ukombozi aliyoutumia Savimbi ndio huo CDM wanataka kuutumia nani? Savimbi alikuwa mnafiki kwa watu wake pia hizo zilikuwa mbinu za kivita maana yeye alifanya ukombozi wa mtutu. Kingine elewa muonekano wa nyumba nje haumaanishi ndani ndivyo kulivyo, je unapicha ya ndani mwa hiyo nyumba?
Kwakukusaidia Savimbi misaada ya kivita aliyokuwa anapata laiti angewaambia waliokuwa wanamletea waache wamletee misaada kwa jamii ningemuona anafaa. Unamtetea mtu ambaye ameacha maelfu bila elimu, afya duni, roho ya chuki kuanzia utotoni maana kumshikisha mtoto silaha ni kumjengea chuki milele. Ndo maana sikutaka kujibu mada yako nikaanza kukuchambua wewe ili ujijue hustahili kuongea hapa na watu kama siye.
Tangu nilipoona unapiga picha na kina Jokate, Sinta, Jestina na wengine wakiwa watupu na nikama mabinti zako alafu unawasifia eti watoto hot! nilikutoaga thamani, kama unaweza fatilia post zangu kuhusu wewe huwa sinaga lakuongea sababu siwezi ongea na asiyejijua ila leo nimeongea sababu nimewiwa kuongea na wala sio kama umenishika. Endeleza siasa zako za mtaroni mimi na wewe tumekutana JF na tutaachaniana JF. What you need is basic education Willy, na inaelekea ilikushinda ukaenda Ulaya kurukia juu sasa unashindwa ku-concile na hili ni tatizo kubwa la elimu za ulaya kwani wanaangalia where you fit bila kukutengenezea foundation. Nina wasiwasi na matokeo yako ya std seven na form four maana ndo basic hapa kwetu
Kusoma na kutembea kumemsaidia nini huyo William kama hawezi kumpanua mitazamo ya Castro, Che Guevara, etc. na ya Jonas Savimbi. Ni ignoramus tu.Huyo ni wa kumuacha kama alivyo.Najua Wengi wenu mnafahamu mzee Job Lusinde na John Malecela ni ndugu.Hivyobasi Livingstone na William nao ni ndugu. Kinachowatofautisha ni kuwa Willy kasoma na kutembea ila Kibajaji hana shule na hajatembea.
Jamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na Mzee J? mbona wakina Mwele, Mwendwa Seche hawapigi makeleke humu? shule hana, experience, hana, si mchapa kazi, kula kulala aliyelishwa na mkewe Neema Ngwilulupi for years, humu hata hujui anasema nini anatapika nini, he is not grounded anywhere hivi wa nini asijipe muda kwanza akasoma mazingira? hata sense ofhumour ni kaputi[/QUOT]
- Maneno yako yanajisema ni nani na umetumwa na nani, kabla ya kuoa nilikuwa nimeishi miaka 6 baharini, miaka 7 New York City, nilipooa mke wangu aliishi miaka 5 bila kazi!, sasa hiyo miaka 18 kabla ya kumuoa na baada ya kumuoa nilikuwa ninalishwa na nani? ha! ha! ha! ha! ha!
- Waliokutuma hawana FACTS!!, wana chuki tupu maana na wao wanajichukia; NENDA TENA!! ha! ha! ha!
View attachment 55020
1
- Hii picha nikiwa melini Saudi Arabia, 1980s, vipi nilikuwa ninalishwa na nani hapa mkuu? Ha! ha! ha! ha!, I love JF! ha! ha!
William.
Mwana wa Mkubwa,
Mbona naona ukuta wa matofali? Je hii meli ilijengwa kwa matofali?
Ulikuwa unalishwa na huyo mwenye ushungi kwenye hiyo picha.Jamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na Mzee J? mbona wakina Mwele, Mwendwa Seche hawapigi makeleke humu? shule hana, experience, hana, si mchapa kazi, kula kulala aliyelishwa na mkewe Neema Ngwilulupi for years, humu hata hujui anasema nini anatapika nini, he is not grounded anywhere hivi wa nini asijipe muda kwanza akasoma mazingira? hata sense ofhumour ni kaputi[/QUOT]
- Maneno yako yanajisema ni nani na umetumwa na nani, kabla ya kuoa nilikuwa nimeishi miaka 6 baharini, miaka 7 New York City, nilipooa mke wangu aliishi miaka 5 bila kazi!, sasa hiyo miaka 18 kabla ya kumuoa na baada ya kumuoa nilikuwa ninalishwa na nani? ha! ha! ha! ha! ha!
- Waliokutuma hawana FACTS!!, wana chuki tupu maana na wao wanajichukia; NENDA TENA!! ha! ha! ha!
View attachment 55020
1
- Hii picha nikiwa melini Saudi Arabia, 1980s, vipi nilikuwa ninalishwa na nani hapa mkuu? Ha! ha! ha! ha!, I love JF! ha! ha!
William.
Haya ndio maneno ya bwana William Malecela
Hivi huyu anadai kasoma Tanzania na kaenda National Service utadhani kuwa angeweza kujua jinsi gani mtu kama Jonasa Savimbi na waasi wake wa UNITA walivyo ua watu wengi INCLUDING comrades wetu toka hapa Tanzania ambao walienda kusaida wenzetu wa Angola
This is a basic primary school history text book kama kweli alisoma kwenye shule zetu na kujua mchango wetu kama taifa kwa Angola na watu wetu waliopoteza maisha
Kweli William Malecela tunakutegemea kuwa unawakilisha GREAT THINKERS wa JAMII FORUM lakini kama unafikia stage ya kumwona JONAS SAVIMBI as a hero then nashindwa kuelewa what exactly he stands for.
Is it arrogance au ndio maisha ya kuishi kwenye Ivory tower na kuwa detached from the real world out there?
thread hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270008-mwenyekiti-wa-ukombozi-na-ufahari.html
![]()
Huna tofauti na wasanii wa bongo wanaojisifia kuandikwa kwenye magazeti ya udaku na kashfa chafu wakijisifu wanatangazwa, poor you, naomba leo nikueleze sio kila mwenye cheti ni kwamba kaelimika na wewe ni mmoja wao.
Na hili unalolisema wazungu wamekufunza "Politics of engagement, as modern and smart politics" where did you practice it and what was the outcome, imekusaidia kuongeza wanachama wangapi hapo CCM? Au umejitahidi kuleta mada gani hapa JF ambayo ni constructive hata wale wenye mlengwa wa kushoto kwako wakakukubali?
Ukiniambia umejifunza siasa za kipropaganda nitakukubalia maana unajifanyaga kujikomba na wakina Mbowe ukiwaona alafu upige nao picha utuletee mitandaoni tukuone uko pamoja nao.Mwisho wako unahesabika unafiki kwishney.
Unaposema Siasa za Savimbi zimetushinda umetuacha aliyekwambia mfumo wa ukombozi aliyoutumia Savimbi ndio huo CDM wanataka kuutumia nani? Savimbi alikuwa mnafiki kwa watu wake pia hizo zilikuwa mbinu za kivita maana yeye alifanya ukombozi wa mtutu. Kingine elewa muonekano wa nyumba nje haumaanishi ndani ndivyo kulivyo, je unapicha ya ndani mwa hiyo nyumba?
Kwakukusaidia Savimbi misaada ya kivita aliyokuwa anapata laiti angewaambia waliokuwa wanamletea waache wamletee misaada kwa jamii ningemuona anafaa. Unamtetea mtu ambaye ameacha maelfu bila elimu, afya duni, roho ya chuki kuanzia utotoni maana kumshikisha mtoto silaha ni kumjengea chuki milele. Ndo maana sikutaka kujibu mada yako nikaanza kukuchambua wewe ili ujijue hustahili kuongea hapa na watu kama siye.
Tangu nilipoona unapiga picha na kina Jokate, Sinta, Jestina na wengine wakiwa watupu na nikama mabinti zako alafu unawasifia eti watoto hot! nilikutoaga thamani, kama unaweza fatilia post zangu kuhusu wewe huwa sinaga lakuongea sababu siwezi ongea na asiyejijua ila leo nimeongea sababu nimewiwa kuongea na wala sio kama umenishika. Endeleza siasa zako za mtaroni mimi na wewe tumekutana JF na tutaachaniana JF. What you need is basic education Willy, na inaelekea ilikushinda ukaenda Ulaya kurukia juu sasa unashindwa ku-concile na hili ni tatizo kubwa la elimu za ulaya kwani wanaangalia where you fit bila kukutengenezea foundation. Nina wasiwasi na matokeo yako ya std seven na form four maana ndo basic hapa kwetu
- Ok enough, maana nimeshindwa kuimaliza nimeishia hapo kwenye red, ha! ha! ha! ha! post ndefu kama katiba ndani yake nonsense, ha1 ha! ha! ha! unazunguka zunguka kama kiwavi hoja hamna, I mean sitahili kuongea na watu kama wewe hiyo ndio imenivunja mbavu maana ingekwua kweli uinacha pale pale, lakini post lote hili kwa mtu ambaye sitahili kuongea na wewe are serious? ha! ha! ha! ha!
- Ngoja niende mbele kidogo, sistahili kuongea na wewe, lakini unaenda mpaka kwenye Facebook, yangu mpaka kwenye Super Blog! kutafuta nini? ha1 ha! ha! ha! yaani ndugu yangu afadhali wengine wanaoandika mstari mmoja tu, ha1 ha! ha! yaani umenivunja mbavu sana! ha! ha1 ha! mapovu yote haya ya nini kwa mtu asiyestahili kuongea ana wewe mkuu wa Dunia? ah! ha!
- KWELI UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA MENGINE KABISAA!, MUCH RESPECT BRO NA TUPO ONE PAGE!!
William.
Haya ndio maneno ya bwana William Malecela
Hivi huyu anadai kasoma Tanzania na kaenda National Service utadhani kuwa angeweza kujua jinsi gani mtu kama Jonasa Savimbi na waasi wake wa UNITA walivyo ua watu wengi INCLUDING comrades wetu toka hapa Tanzania ambao walienda kusaida wenzetu wa Angola
This is a basic primary school history text book kama kweli alisoma kwenye shule zetu na kujua mchango wetu kama taifa kwa Angola na watu wetu waliopoteza maisha
Kweli William Malecela tunakutegemea kuwa unawakilisha GREAT THINKERS wa JAMII FORUM lakini kama unafikia stage ya kumwona JONAS SAVIMBI as a hero then nashindwa kuelewa what exactly he stands for.
Is it arrogance au ndio maisha ya kuishi kwenye Ivory tower na kuwa detached from the real world out there?
thread hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270008-mwenyekiti-wa-ukombozi-na-ufahari.html
![]()
Someni historia ya Angola, Jonas Savimbi na E. Dos Santos. Usisome vitabu ya somo la historia vilivyohaririwa na j. K. Nyerere na CCM yake. J. Savimbi na E Dos Santos hawana tofauti sana na Oginga Odinga na J. Kenyata wa Kenya. Yaani waliopigania uhuru ni wengine na walioongoza nchi ni wengine.
Ulikuwa unalishwa na huyo mwenye ushungi kwenye hiyo picha.
- Yaani huyo ndiye dada yako au wasap? ha! ha! ha! ha! jamani nakufa na mbavu zangu sasa! ha! ha!
William.
Mwana wa Mkubwa,
Mbona naona ukuta wa matofali? Je hii meli ilijengwa kwa matofali?
Meli inajengwa kama nyumba, ha hahaha hahaha:iamwithstupid: , matofali ya choma
Wakuu suala la kiongozi kuonekana mkombozi inategemea umekaa upande gani hasa unapoongelea wapigani wa msituni. Kuna watu wanamuona Alfonso Dhlakama wa RENAMO kama mkombozi wao huku wakisema Smora Moises Machel hakuwa mkombozi bali kibaraka. Wanasema Samora alimuua Eduardo Mondlane. Lakini kwa Watanzania ukisema Dhlakama ni mkombozi unaweza kutolewa mamcho!
Savimbi alikuwa ni mkombozi kabisa. Someni historia.
Katika uchaguzi wa mwaka 1992 Savimbi alipata 40.07% dhidi ya 49.57 za Jose Edwardo dos Santos. Hii inaonyesha kwamba Savimbi alikuwa akikubalika miongoni mwa Waaangola.
Angalieni hii:
In the first round President Jose Eduardo dos Santos officially received 49.57% of the vote and Jonas Savimbi of UNITA won 40.6%. Savimbi said the election had neither been free nor fair and refused to participate in the second round.[SUP][5][/SUP]
Results
Angolan general election, 1992 - Wikipedia, the free encyclopedia
Votes
%
1,953,335
49.57
1,579,298
40.07
85,249
2.16
83,135
2.11
75.789
1.92
58,121
1.47
38,243
0.97
26,385
0.67
20,845
0.52
11,475
0.29
9,208
0.23
460,455
4,401,339
100
[TH="align: left"]Candidate
[/TH]
[TH="align: left"]Party
[/TH]
[TD="align: left"] José Eduardo dos Santos
[/TD]
[TD="align: left"] MPLA
[/TD]
[TD="align: left"] Jonas Malheiro Savimbi
[/TD]
[TD="align: left"] UNITA
[/TD]
[TD="align: left"] Antonio Alberto Neto
[/TD]
[TD="align: left"] Angolan Democratic Party
[/TD]
[TD="align: left"] Holden Roberto
[/TD]
[TD="align: left"] National Front for the Liberation of Angola
[/TD]
[TD="align: left"] Honorato Lando
[/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party of Angola
[/TD]
[TD="align: left"] Luis dos Pasos
[/TD]
[TD="align: left"] Democratic Renewal Party
[/TD]
[TD="align: left"] Bengui Pedro João
[/TD]
[TD="align: left"] Social Democratic Party
[/TD]
[TD="align: left"] Simão Cacete
[/TD]
[TD="align: left"] Front for Democracy
[/TD]
[TD="align: left"] Daniel Chipenda
[/TD]
[TD="align: left"]Independent
[/TD]
[TD="align: left"] Analia Pereira
[/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party
[/TD]
[TD="align: left"] Rui Pereira
[/TD]
[TD="align: left"] Social Renewal Party
[/TD]
[TD="colspan: 2, align: left"]Invalid/blank votes
[/TD]
[TD="colspan: 2, align: left"] Total
[/TD]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Candidates
[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Nominating parties
[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]Votes
[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]% of valid votes
[/TH]
[TD="align: left"] Jakaya Mrisho Kikwete
[/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Mapinduzi ( Party of the Revolution )
[/TD]
[TD="align: right"]5,276,827
[/TD]
[TD="align: right"]62.83
[/TD]
[TD="align: left"] Willibrod Peter Slaa
[/TD]
[TD="align: left"] Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ( Party for Democracy and Progress )
[/TD]
[TD="align: right"]2,271,941
[/TD]
[TD="align: right"]27.05
[/TD]
[TD="align: left"] Ibrahim Haruna Lipumba
[/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Wananchi ( Civic United Front )
[/TD]
[TD="align: right"]695,667
[/TD]
[TD="align: right"]8.28
[/TD]
[TD="align: left"] Peter Mziray Kuga
[/TD]
[TD="align: left"] Progressive Party of Tanzania Maendeleo
[/TD]
[TD="align: right"]96,933
[/TD]
[TD="align: right"]1.15
[/TD]
[TD="align: left"] Hashim Spunda Rungwe
[/TD]
[TD="align: left"] National Convention for Construction and Reform Mageuzi
[/TD]
[TD="align: right"]26,388
[/TD]
[TD="align: right"]0.31
[/TD]
[TD="align: left"] Muttamwega Bhatt Mgaywa
[/TD]
[TD="align: left"] Tanzania Labour Party
[/TD]
[TD="align: right"]17,462
[/TD]
[TD="align: right"]0.21
[/TD]
[TD="align: left"] Yahmi Nassoro Dovutwa
[/TD]
[TD="align: left"] United People's Democratic Party
[/TD]
[TD="align: right"]13,176
[/TD]
[TD="align: right"]0.16
[/TD]
[TD="colspan: 2, align: left"] Total Valid Votes
[/TD]
[TD="align: right"]8,398,394
[/TD]
[TD="align: right"]100.00
[/TD]
william uchekeshaji unamfaa na sio kitu kingine! Au anavuta bangi huyu jamaa!
- Mimi sina nguo na wewe umekuja kujivua, sasa wenye akili wafanye nini mkuu? ha1 ha! ha!
ok sasa napumzika kidogo! ha! ha! ha!
William!
- Ok enough, maana nimeshindwa kuimaliza nimeishia hapo kwenye red, ha! ha! ha! ha! post ndefu kama katiba ndani yake nonsense, ha1 ha! ha! ha! unazunguka zunguka kama kiwavi hoja hamna, I mean sitahili kuongea na watu kama wewe hiyo ndio imenivunja mbavu maana ingekwua kweli uinacha pale pale, lakini post lote hili kwa mtu ambaye sitahili kuongea na wewe are serious? ha! ha! ha! ha!
- Ngoja niende mbele kidogo, sistahili kuongea na wewe, lakini unaenda mpaka kwenye Facebook, yangu mpaka kwenye Super Blog! kutafuta nini? ha1 ha! ha! ha! yaani ndugu yangu afadhali wengine wanaoandika mstari mmoja tu, ha1 ha! ha! yaani umenivunja mbavu sana! ha! ha1 ha! mapovu yote haya ya nini kwa mtu asiyestahili kuongea ana wewe mkuu wa Dunia? ah! ha!
- KWELI UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA MENGINE KABISAA!, MUCH RESPECT BRO NA TUPO ONE PAGE!!
William.
Narudia tena "Huwezi simama na mimi jukwaani" pia siwezi badilishana maneno na wewe maana hutamaliza kusikiliza ukijisifu yamekuboa khaaaa!!! Umetembea sijui nchi 30, sijatoka hata nje ya Dar na umesoma shule tofauti na zenye majina mwenzio nimeanzia st. Kayumba nimemalizia UDSM una umri wa baba yangu na nina umri wa mjukuu wako lakini unizidi kwa exposure na ufahamu.
Siwezi ingia fb yako hata siku moja huo muda sina na kwenye blog ulituletea mwenyewe hapa nasisi watu wakuthaminisha tumepitia ndo tunakuletea tathmini mara umetuona ndo mashabiki wa blog yako. Aisee nakuheshimu sana tafazali vaa nguo haraka maana wajukuu zako wengine wanaingia wasijeona hizo mvi za huko pia
Hapo penye red ndio hekima inatakiwa itumike. Unamaana niyupi kati ya hao kwenye picha ulimpelekea MZIGO Saudi Arabia ndio alikuwa anakulisha? ha! ha!ha! Funguka Le MutuuzJamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na