William Malecela: ''Jonas Savimbi was a hero''

Haya ndio maneno ya bwana William Malecela

Hivi huyu anadai kasoma Tanzania na kaenda National Service utadhani kuwa angeweza kujua jinsi gani mtu kama Jonasa Savimbi na waasi wake wa UNITA walivyo ua watu wengi INCLUDING comrades wetu toka hapa Tanzania ambao walienda kusaida wenzetu wa Angola

This is a basic primary school history text book kama kweli alisoma kwenye shule zetu na kujua mchango wetu kama taifa kwa Angola na watu wetu waliopoteza maisha

Kweli William Malecela tunakutegemea kuwa unawakilisha GREAT THINKERS wa JAMII FORUM lakini kama unafikia stage ya kumwona JONAS SAVIMBI as a hero then nashindwa kuelewa what exactly he stands for.

Is it arrogance au ndio maisha ya kuishi kwenye Ivory tower na kuwa detached from the real world out there?

thread hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270008-mwenyekiti-wa-ukombozi-na-ufahari.html

attachment.php

- Ha! ha! ha! ha! Well, sikujua kwamba nimewashika pabaya kihivi mpaka leo bado mnaweweseka hivi, kumbe somo lilieleweka saafi sana, sina mpango wowote wa ku-engage my self na this debate maana ni simply too low kwa level yangu, kuanza kujadili maneno ambayo sikusema maana nitakuwa nimetumbukia kwenye mtego wako, wa mimi kuwa sawa na wewe kwenye level ya kufikiria na kuchambua siasa. ha! ha! ha!

- Uzuri ni kwamba maneno yangu ya bluu yanajisema wazi kwamba nimeongelea UKOMBOZI as a common factor between Mbowe na Savimbi, FULL STOP!
ha! ha! ha!

- At least sasa mmeelewa maana ya KUMKOMA NYANI GILADI! HA! HA! HA! HA!, HUWA HATUMUANGALII USONI!!

- KIDUMU CCM!!

William!
 
Naona huko CCM mnafundishwa "ha ha ha ha ha!" na "kuwashika watu pabaya".

The bottom line is, ulikosea kumuweka Savimbi kwenye kundi la wakombozi. Alikuwa anapigania nini, kwa ajili ya nani na alikuwa anapigana na nani?

You're either ignorant or dont understand.
 
- Kasome tena historia ya Angola kabla ya kupata uhuru, halafu urudi hapa useme kama Tanzania hatukuwahi kumsaidia! ha! ha! ha! sasa historia yenyewe ndio hivi, halafu mnafungua li-thread la majungu majungu tu! ha! ha! ha!

William.
 
Jamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na Mzee J? mbona wakina Mwele, Mwendwa Seche hawapigi makeleke humu? shule hana, experience, hana, si mchapa kazi, kula kulala aliyelishwa na mkewe Neema Ngwilulupi for years, humu hata hujui anasema nini anatapika nini, he is not grounded anywhere hivi wa nini asijipe muda kwanza akasoma mazingira? hata sense ofhumour ni kaputi
 
Jamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na Mzee J? mbona wakina Mwele, Mwendwa Seche hawapigi makeleke humu? shule hana, experience, hana, si mchapa kazi, kula kulala aliyelishwa na mkewe Neema Ngwilulupi for years, humu hata hujui anasema nini anatapika nini, he is not grounded anywhere hivi wa nini asijipe muda kwanza akasoma mazingira? hata sense ofhumour ni kaputi[/QUOT]

- Maneno yako yanajisema ni nani na umetumwa na nani, kabla ya kuoa nilikuwa nimeishi miaka 6 baharini, miaka 7 New York City, nilipooa mke wangu aliishi miaka 5 bila kazi!, sasa hiyo miaka 18 kabla ya kumuoa na baada ya kumuoa nilikuwa ninalishwa na nani? ha! ha! ha! ha! ha!

- Waliokutuma hawana FACTS!!, wana chuki tupu maana na wao wanajichukia; NENDA TENA!! ha! ha! ha!

william.jpg
1
- Hii picha nikiwa melini Saudi Arabia, 1980s, vipi nilikuwa ninalishwa na nani hapa mkuu? Ha! ha! ha! ha!, I love JF! ha! ha!

William.
 
Wakuu suala la kiongozi kuonekana mkombozi inategemea umekaa upande gani hasa unapoongelea wapigani wa msituni. Kuna watu wanamuona Alfonso Dhlakama wa RENAMO kama mkombozi wao huku wakisema Smora Moises Machel hakuwa mkombozi bali kibaraka. Wanasema Samora alimuua Eduardo Mondlane. Lakini kwa Watanzania ukisema Dhlakama ni mkombozi unaweza kutolewa mamcho!

Savimbi alikuwa ni mkombozi kabisa. Someni historia.

Katika uchaguzi wa mwaka 1992 Savimbi alipata 40.07% dhidi ya 49.57 za Jose Edwardo dos Santos. Hii inaonyesha kwamba Savimbi alikuwa akikubalika miongoni mwa Waaangola.

Angalieni hii:

In the first round President Jose Eduardo dos Santos officially received 49.57% of the vote and Jonas Savimbi of UNITA won 40.6%. Savimbi said the election had neither been free nor fair and refused to participate in the second round.[SUP][5][/SUP]
[h=3]Results[/h]
Votes%
1,953,33549.57
1,579,29840.07
85,2492.16
83,1352.11
75.7891.92
58,1211.47
38,2430.97
26,3850.67
20,8450.52
11,4750.29
9,2080.23
460,455
4,401,339100
e • d Summary of the 29 and 30 September 1992 Angola presidential election results
[TH="align: left"]Candidate[/TH]
[TH="align: left"]Party[/TH]

[TD="align: left"] José Eduardo dos Santos [/TD]
[TD="align: left"] MPLA [/TD]

[TD="align: left"] Jonas Malheiro Savimbi [/TD]
[TD="align: left"] UNITA [/TD]

[TD="align: left"] Antonio Alberto Neto [/TD]
[TD="align: left"] Angolan Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Holden Roberto [/TD]
[TD="align: left"] National Front for the Liberation of Angola [/TD]

[TD="align: left"] Honorato Lando [/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party of Angola [/TD]

[TD="align: left"] Luis dos Pasos [/TD]
[TD="align: left"] Democratic Renewal Party [/TD]

[TD="align: left"] Bengui Pedro João [/TD]
[TD="align: left"] Social Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Simão Cacete [/TD]
[TD="align: left"] Front for Democracy [/TD]

[TD="align: left"] Daniel Chipenda [/TD]
[TD="align: left"]Independent[/TD]

[TD="align: left"] Analia Pereira [/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Rui Pereira [/TD]
[TD="align: left"] Social Renewal Party [/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"]Invalid/blank votes[/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"] Total [/TD]
Angolan general election, 1992 - Wikipedia, the free encyclopedia

Summary of the 31 October 2010 Tanzanian presidential election results
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Candidates[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Nominating parties[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]Votes[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]% of valid votes[/TH]

[TD="align: left"] Jakaya Mrisho Kikwete [/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Mapinduzi ( Party of the Revolution )[/TD]
[TD="align: right"]5,276,827[/TD]
[TD="align: right"]62.83[/TD]

[TD="align: left"] Willibrod Peter Slaa [/TD]
[TD="align: left"] Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ( Party for Democracy and Progress )[/TD]
[TD="align: right"]2,271,941[/TD]
[TD="align: right"]27.05[/TD]

[TD="align: left"] Ibrahim Haruna Lipumba [/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Wananchi ( Civic United Front )[/TD]
[TD="align: right"]695,667[/TD]
[TD="align: right"]8.28[/TD]

[TD="align: left"] Peter Mziray Kuga [/TD]
[TD="align: left"] Progressive Party of Tanzania – Maendeleo [/TD]
[TD="align: right"]96,933[/TD]
[TD="align: right"]1.15[/TD]

[TD="align: left"] Hashim Spunda Rungwe [/TD]
[TD="align: left"] National Convention for Construction and Reform – Mageuzi [/TD]
[TD="align: right"]26,388[/TD]
[TD="align: right"]0.31[/TD]

[TD="align: left"] Muttamwega Bhatt Mgaywa [/TD]
[TD="align: left"] Tanzania Labour Party [/TD]
[TD="align: right"]17,462[/TD]
[TD="align: right"]0.21[/TD]

[TD="align: left"] Yahmi Nassoro Dovutwa [/TD]
[TD="align: left"] United People's Democratic Party [/TD]
[TD="align: right"]13,176[/TD]
[TD="align: right"]0.16[/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"] Total Valid Votes [/TD]
[TD="align: right"]8,398,394[/TD]
[TD="align: right"]100.00[/TD]
 
tabia yako ya kucheka hata sehemu ya kuwa serious ndio maana tunaona una nazi badala ya kichwa kama vasco da gama..grow up
 
- Ha! ha! ha! ha! Well, sikujua kwamba nimewashika pabaya kihivi mpaka leo bado mnaweweseka hivi, kumbe somo lilieleweka saafi sana, sina mpango wowote wa ku-engage my self na this debate maana ni simply too low kwa level yangu, kuanza kujadili maneno ambayo sikusema maana nitakuwa nimetumbukia kwenye mtego wako, wa mimi kuwa sawa na wewe kwenye level ya kufikiria na kuchambua siasa. ha! ha! ha!

- Uzuri ni kwamba maneno yangu ya bluu yanajisema wazi kwamba nimeongelea UKOMBOZI as a common factor between Mbowe na Savimbi, FULL STOP!
ha! ha! ha!

- At least sasa mmeelewa maana ya KUMKOMA NYANI GILADI! HA! HA! HA! HA!, HUWA HATUMUANGALII USONI!!

- KIDUMU CCM!!

William!

hivi wewe kwa mawazo haya ndo ulitaka kuwa mbunge??
 
Wakuu suala la kiongozi kuonekana mkombozi inategemea umekaa upande gani hasa unapoongelea wapigani wa msituni. Kuna watu wanamuona Alfonso Dhlakama wa RENAMO kama mkombozi wao huku wakisema Smora Moises Machel hakuwa mkombozi bali kibaraka. Wanasema Samora alimuua Eduardo Mondlane. Lakini kwa Watanzania ukisema Dhlakama ni mkombozi unaweza kutolewa mamcho!

Savimbi alikuwa ni mkombozi kabisa. Someni historia.

Katika uchaguzi wa mwaka 1992 Savimbi alipata 40.07% dhidi ya 49.57 za Jose Edwardo dos Santos. Hii inaonyesha kwamba Savimbi alikuwa akikubalika miongoni mwa Waaangola.

Angalieni hii:

In the first round President Jose Eduardo dos Santos officially received 49.57% of the vote and Jonas Savimbi of UNITA won 40.6%. Savimbi said the election had neither been free nor fair and refused to participate in the second round.[SUP][5][/SUP]
Results

Votes%
1,953,33549.57
1,579,29840.07
85,2492.16
83,1352.11
75.7891.92
58,1211.47
38,2430.97
26,3850.67
20,8450.52
11,4750.29
9,2080.23
460,455
4,401,339100

[TH="align: left"]Candidate[/TH]
[TH="align: left"]Party[/TH]

[TD="align: left"] José Eduardo dos Santos [/TD]
[TD="align: left"] MPLA [/TD]

[TD="align: left"] Jonas Malheiro Savimbi [/TD]
[TD="align: left"] UNITA [/TD]

[TD="align: left"] Antonio Alberto Neto [/TD]
[TD="align: left"] Angolan Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Holden Roberto [/TD]
[TD="align: left"] National Front for the Liberation of Angola [/TD]

[TD="align: left"] Honorato Lando [/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party of Angola [/TD]

[TD="align: left"] Luis dos Pasos [/TD]
[TD="align: left"] Democratic Renewal Party [/TD]

[TD="align: left"] Bengui Pedro João [/TD]
[TD="align: left"] Social Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Simão Cacete [/TD]
[TD="align: left"] Front for Democracy [/TD]

[TD="align: left"] Daniel Chipenda [/TD]
[TD="align: left"]Independent[/TD]

[TD="align: left"] Analia Pereira [/TD]
[TD="align: left"] Liberal Democratic Party [/TD]

[TD="align: left"] Rui Pereira [/TD]
[TD="align: left"] Social Renewal Party [/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"]Invalid/blank votes[/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"] Total [/TD]
Angolan general election, 1992 - Wikipedia, the free encyclopedia

[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Candidates[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: left"]Nominating parties[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]Votes[/TH]
[TH="bgcolor: #E9E9E9, align: right"]% of valid votes[/TH]

[TD="align: left"] Jakaya Mrisho Kikwete [/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Mapinduzi ( Party of the Revolution )[/TD]
[TD="align: right"]5,276,827[/TD]
[TD="align: right"]62.83[/TD]

[TD="align: left"] Willibrod Peter Slaa [/TD]
[TD="align: left"] Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ( Party for Democracy and Progress )[/TD]
[TD="align: right"]2,271,941[/TD]
[TD="align: right"]27.05[/TD]

[TD="align: left"] Ibrahim Haruna Lipumba [/TD]
[TD="align: left"] Chama Cha Wananchi ( Civic United Front )[/TD]
[TD="align: right"]695,667[/TD]
[TD="align: right"]8.28[/TD]

[TD="align: left"] Peter Mziray Kuga [/TD]
[TD="align: left"] Progressive Party of Tanzania – Maendeleo [/TD]
[TD="align: right"]96,933[/TD]
[TD="align: right"]1.15[/TD]

[TD="align: left"] Hashim Spunda Rungwe [/TD]
[TD="align: left"] National Convention for Construction and Reform – Mageuzi [/TD]
[TD="align: right"]26,388[/TD]
[TD="align: right"]0.31[/TD]

[TD="align: left"] Muttamwega Bhatt Mgaywa [/TD]
[TD="align: left"] Tanzania Labour Party [/TD]
[TD="align: right"]17,462[/TD]
[TD="align: right"]0.21[/TD]

[TD="align: left"] Yahmi Nassoro Dovutwa [/TD]
[TD="align: left"] United People's Democratic Party [/TD]
[TD="align: right"]13,176[/TD]
[TD="align: right"]0.16[/TD]

[TD="colspan: 2, align: left"] Total Valid Votes [/TD]
[TD="align: right"]8,398,394[/TD]
[TD="align: right"]100.00[/TD]

- Kimbunga unajua pamoja na uhusiano wetu wa karibu sna Zambia, lakini walikataa kata kata kuacha kumsaidia Savimbi, mpaka anakufa walikuwa wanamebeba, weka darasa hapa!

- Kimbunga unajua pamoja na uhusiano wetu wa karibu sna Zambia, lakini walikataa kata kata kuacha kumsaidia Savimbi, mpaka anakufa walikuwa wanambeba, weka darasa hapa!

William.
 
Jamani,..

Tatizo kubwa la huyu bwana ni kutojitambua.

Kwa jinsi alivyo mfinyu kimawazo na naamini anajijua, alitakiwa awe mwangalifu sana jinsi ya kuchangia na asichangie

mara kwa mara....kwa sababu pia anataka/penda ukubwa.

Hata kina Zitto na tamaa zao zote za ukubwa huwa hawakurupuki mara kwa mara!

Mwacheni bwana labda bila makombora haya hanenepi!

..........
 
- Mimi sina nguo na wewe umekuja kujivua, sasa wenye akili wafanye nini mkuu? ha1 ha! ha!

ok sasa napumzika kidogo! ha! ha! ha!

William!
 
Jamani kumjadili Wiliam Malecela hapa ni kumpa prominence asiyostahili, hivi huyu ni nani kati yetu? ni kwa vile tu ma yake aliwahi kuzaa na Mzee J? mbona wakina Mwele, Mwendwa Seche hawapigi makeleke humu? shule hana, experience, hana, si mchapa kazi, kula kulala aliyelishwa na mkewe Neema Ngwilulupi for years, humu hata hujui anasema nini anatapika nini, he is not grounded anywhere hivi wa nini asijipe muda kwanza akasoma mazingira? hata sense ofhumour ni kaputi[/QUOT]

- Maneno yako yanajisema ni nani na umetumwa na nani, kabla ya kuoa nilikuwa nimeishi miaka 6 baharini, miaka 7 New York City, nilipooa mke wangu aliishi miaka 5 bila kazi!, sasa hiyo miaka 18 kabla ya kumuoa na baada ya kumuoa nilikuwa ninalishwa na nani? ha! ha! ha! ha! ha!

View attachment 55020
1
- Hii picha nikiwa melini Saudi Arabia, 1980s, vipi nilikuwa ninalishwa na nani hapa mkuu? Ha! ha! ha! ha!, I love JF! ha! ha!

William.

Kwa hiyo unataka kutuambia kabla huyo sijui Neema Ngwilumbi hajakupokea ulikuwa unalishwa na hawa waarabu wa Saudia........Teh teh te teh kweli ndo maana napendaga macho yako maana ukiniangalia unanizidi kwa kusinzia bwahahahaha. sorry for my language Willy you don't deserve any discussion from us and I wounder why are they giving you this kind of promo!!!!!!!!!!
 
- Kimbunga unajua pamoja na uhusiano wetu wa karibu sna Zambia, lakini walikataa kata kata kuacha kumsaidia Savimbi, mpaka anakufa walikuwa wanambeba, weka darasa hapa!

William.
Haya mambo yapo kwenye mtandao ni suala la kujishughulisha tu. Historia ya Angola inaonyesha kwamba Savimbi aliliwa timing tu pale Luanda kwa Wareno kuwaachia MPLA mji mkuu wakati huo UNITA wamekamata maeneo mengi katika harakati za kuikomboa nchi. Baada tu ya kuachiwa Luanda MPLA ikawakaribisha Cuba na Russia kuwasaidia kutawala. Cuba ikasheheneza majeshi yake Angola kwa kusaidiwa kilojistic na USSR.

Kwa upande mwingine, Savimbi alikuwa na usaidizi wa Waamerika/washirika wake na Makaburu wa Afrika kusini. Savimbi alikuwa anatawala maeneo mengi mno huko Angola wakati MPLA wamejikita maeneo ya Luanda.

Vita ya Angola ilikuwa ikiwakilisha block za magharibi na mashariki.

Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.

Kwa kuwa Tanzania tulikuwa na mrengo wa Mashariki basi ilikuwa tunapeana propaganda za kumuona Savimbi ni muuaji na alipokataa matokeao ya uchaguzi ya 1992 na kurudi msituni basi akaonekana ni mbishi. Kukazuka propaganda za kuhusisha mtu yeyote anayekataa matokeo ya uchaguzi (hata kama umekuwa si huru na haki) aitwe Savimbi! Angalieni wenyewe kwamba usipokubali matokeo ya uchaguzi unaitwa Savimbi. Huo ndio ubaya wa Savimbi!! Kataa tu matokeo basi wewe ni Savimbi!
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kabla huyo sijui Neema Ngwilumbi hajakupokea ulikuwa unalishwa na hawa waarabu wa Saudia........Teh teh te teh kweli ndo maana napendaga macho yako maana ukiniangalia unanizidi kwa kusinzia bwahahahaha. sorry for my language Willy you don't deserve any discussion from us and I wounder why are they giving you this kind of promo!!!!!!!!!!

- Dada yako alinipokea wapi? Nenda utafute FCATS kwanza maana huna ukweli, I love this cause inanipa free media attention na pia defining who I am through matusi yenu kwa sababu matusi maana yake ni simply huna hoja na huna FACTS, sasa nakuuliza Dada yako alinipokea wapi? ha! ha! ha! ha!

- Tizama sasa unasema Waarabu wamenilisha for 18 kabla sijakutana na Dada yako, ha! ha! ha1 ha! yaani mpaka raha! ha! ha! ha!, unajua ni hoja kama hizi ndio zinafafanua who we are wewe unarusha majungu mimi unanipa nafasi ya kujieleza kwa the public who I am, inahitaji kichwa sana kuweza kuelewa hivyo, ndio maana ninasema bring it on, I love it!

- One thing Wazungu wamenifundisha sana ni Politics of engagement, as modern and smart politics, so sitagusa ya Savimbi ambayo tayari yameshawashinda so keep on coming! ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

William.
 
Haya mambo yapo kwenye mtandao ni suala la kujishughulisha tu. Historia ya Angola inaonyesha kwamba Savimbi aliliwa timing tu pale Luanda kwa Wareno kuwaachia MPLA mji mkuu wakati huo UNITA wamekamata maeneo mengi katika harakati za kuikomboa nchi. Baada tu ya kuachiwa Luanda MPLA ikawakaribisha Cuba na Russia kuwasaidia kutawala. Cuba ikasheheneza majeshi yake Angola kwa kusaidiwa kilojistic na USSR.

Kwa upande mwingine, Savimbi alikuwa na usaidizi wa Waamerika/washirika wake na Makaburu wa Afrika kusini. Savimbi alikuwa anatawala maeneo mengi mno huko Angola wakati MPLA wamejikita maeneo ya Luanda.

Vita ya Angola ilikuwa ikiwakilisha block za magharibi na mashariki.

Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini
ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.

Kwa kuwa Tanzania tulikuwa na mrengo wa Mashariki basi ilikuwa tunapeana propaganda za kumuona Savimbi ni muuaji na alipokataa matokeao ya uchaguzi ya 1992 na kurudi msituni basi akaonekana ni mbishi. Kukazuka propaganda za kuhusisha mtu yeyote anayekataa matokeo ya uchaguzi (hata kama umekuwa si huru na haki) aitwe Savimbi! Angalieni wenyewe kwamba usipokubali matokeo ya uchaguzi unaitwa Savimbi. Huo ndio ubaya wa Savimbi!! Kataa tu matokeo basi wewe ni Savimbi!

- Kimbunga kwani Mwenyekiti Mao our National hero, aliua wangapi? Na kipenzi chetu Obote aliua wangapi? ha1 ha! ha! NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!!!

William.
 
True The Boss.

Pamoja na Shukrani zangu kwa Waheshimiwa Wabunge,Mawaziri,na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana nami leo katika msiba ya marehemu Mama yangu... Nimeshitishwa sana na Uzushi uliosambazwa kwenye mtandao wa Jamii Forums kuwa Mke wangu na Baba yangu Mzazi nao wamefariki!... Kiukweli huu mtandao si tu unapoteza maana ya THE GREAT THINKERS bali unakuwa wa kihuni!..... Ni mtandao gani huu ambao hauwezi kuth

ibitisha taarifa kabla ya kuziandika public?...

Mtandao unaoandika uzushi wa kuzulia wengine vifo visivyokuwepo ni Mtandao wa ajabu!... Binafsi naomba kuwapa pole waliopata taarifa hizi (Wengine wameniandikia Inbox).. Naomba kuwajulisha kuwa Mke wangu na Baba yangu bado wanaendelea na Matibabu... Tuendelee kuwaombea wapone warejee kwenye majukumu yao kama kawaida!...

Nawatakia Usiku Mwema Ndugu zangu, Mungu awabariki.

Joseph Selasini
Mb. Rombo
Chadema.
 
Back
Top Bottom