Wakuu naomba mwenye kusema Taizo la Willium Malecela ni nini hasa? Tujenge tabia ya kum-judge mtu kutokana na hoja/mtazamo wake towards Tanzania's Position in EAC.Haya mambo mengine madogo madogo yanaweza kuwa majungu na chuki tu unnecessarily!
- Mkuu Ben heshima mbele sana bro, maneno mazito angalau una-prove kwamba sio wananchi wote humu JF wanafikirishwa kama bendera, yaani kuna uhuru wa kufikiri hapa sio watu wanaendeshwa kama upepo wa bendera,
-HOWEVER: Talking about EAC, ni muhimu sana tukapeleka Mbunge ambaye atawaamsha wananchi wa Tanzania kwamba kuna hili bunge kwani wengi inaonekana hawajui kuwepo kwa bunge hilo, na ishu muhimu zinazolikabili bunge hilo kama Ardhi, Ajira, Sarafu Moja na Uchumi kwa ujumla!
- Tunataka Mbunge atakayesimamia haki za Taifa letu ndani ya EAC kwa nguvu zote, na pia awe mjasiri anayeweza kusimama kidete na kusema wazi kwamba Wa-Kenya wengi mno hapa kwenye Ajira zetu hapa Tanzania je na huko Kenya sisi tunazo ajira kama wao walivyo hapa kwetu? Kama sio why? wakati mkataba wa EAC unaruhusu kuwepo na balance on the ishu?
- Tunataka Mbunge atakayeweka wazi kwa wananchi wetu ni kwa nini Jumuiya ya kwanza ilivunjika? Je zile sabab u hazipo sasa ambapo mojawapo ilikuwa Uchumi wa Taifa ambao ulikuwa haufanani between members states, je sasa unafanana?
- Tunataka Mbunge atakayetuam sha wananchi wa Tanzania on hatari za kuwa na sarafu moja huku tukiwa hatufanani kiuchumi kwam,ba ndio maana Greece ipo matatizoni, lakini Switzerland haipo matatizoni ni kwa sababu uchumi wa Greece haukuwa strong enough ku merge na uchumi wa matatifa mengine ya EU, sasa ni matatizo ya Greece na EU kwa ujumla, je Tanzania kwa kuingia kwenye sarafu moja EAC hatutajikuta tumekuwa kama Greece?
I mean Tanzania tunahitaji kuwa makini sana na huu umoja kwa sababu ulipovunjika ule wa kwanza sisi ndio tulioumia sana kuliko wengine wote, this time around tuwe makini na ndio maana tunahitaji kuepeleka wabunge wenye uwezo na wenye ujasiri wa kusimamia ukweli na hasa interest ya taifa letu! Facebook ni Social Network mahali pa members wake ku-share picha zao na maisha yao ya kila siku Vion gozi wakuu wa Dunia kama Obama na Putin wapo kule wakisema maisha yao ya kila siku na bado ni Viongozi wa Dunia, kwamba Facebook ndio inaweza kwua kipimo cha uwezo wa uongozi wa taifa letu! nafikiri ni overeaching na kutokwenda na wakati, Mungu anasema kuna wakati wa kila kitu, yaani wa kucheka na kulia, wakati wa Mvua na Kiangazi na kwenye maisha ni hivyo hivyo kuna wakati wa kila kitu, kuna wakati wa Social Life kule Facebook na kuna wakati wa Hoja wka Taifa na wananchi yaani huku JF, mtu akija huku JF akaleta mambo ya Ngwasumaa huyo hafai kuwa kiongozi ay kukosoa anything kwenye uongozi, tujifunze kuweka mambo yanapotakiwa!
- Maisha ya binafsi hayana anything to do na uwezo wa binadam kuongoza ndio maana Clinton ni the best ever President wa USA, ndio maana Edgar Hooover ni the best FBI Director US ever had, lakini ukitizama maisha yao ya binafsi hayafanani kabisa na uwezo wa juu sana wa kuongoza, JF tufike mahali turudie zile zama zetu za kukata ishu kiroho mbaya na kwa facts pamoja na Dataz, what happenend sasa tumeanza kuwa na maneno mengi empty bila hoja? Ungetegema hili taifa tumejifunza matatizo ya kuwa na Viongozi wasiokuwa na Social Life lakini kumbe bado kabisaa inasikitisha sana kwamba mtu anaweza kuamini kwamba Obama kuzungumzia Vacation yake Facebook akama anvyofanya mara kwa mara ni kujivuna, au kutafuta sifa, I mean Facebook sasa ni number one money getter kwenye Stock Exchange na Money Market za Dunia, haiwezi kuwa inaongozwa na wahuni au inamilikiwa na wahuni, hapana ni mahali pa watu wenye akili na inamilikiwa na watu wenye akili, sometimes tunakwenda mbali sana kwenye ku-confess chuki zetu kwa wananchi tusiwajua tena kwa kutumia viwango tusivyovijua kama Facebook!
HESHIMA MBELE WATU WOTE!
FMES!