William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

Bala.... Whatever huyo jamaa can do, we can do it better, and even better..... kipindi cha kutisha watu kilishapita siku nyingi....
 
Le baharia,mutu mukubwa,mutu ya mvumi kwa matonya,papa ndenge nini papaa,biso na wapi yo Wiliam? Asansiooooo!
 
ES; Hupitwi, yaani ni lazima umalize livyako! Kama hii ilikuwa ni silent campaign uone jamvi/bodi linaonaje wewe kujitosa huko, si umeshaona! Mi nashangaa sana unavyojiita wewe ni mmoja wa wanakuja kuleta mabadiliko huko EAC, are you sure? Wewe unaleta nyimbo zile zile tu, sema midundo ndo tafwauti, maana hii tunasikia ooh sijui toka ubaharia mpaka sijui wapi, sijui nini nini tu...ali muradi unataka tukuone huku...

Suala la EAC linajuliakna, ni matatizo ya CCM na serikali yake. Sualal la mkataba mbovu wa EAC unaowafanya wakenya kuvamia maofisi Dar, si ni yale yale tu.. Sasa ni kipi unachotaka kuleta... Serikali iliyojaa ***** na ulegelege ndo imetufikisha hapa, and so mikataba ya madini, umeme, n.k. Baada ya hapo nyimbo wanazoimba utadhani si wao!

Mimi nalidhania umekuja na mazito..ya kufumua mfumo wetu, tuandike katika iliyo njema, wongalau tutengeneze something kwa vijana wetu! Naona yale yale tu..unataka uende, halafu utakuja na vijisababu vingi tu, kama unavyoona hapa, kana kwamba tunakupoiga majungu!!

Potezea mkuu..tunakauelewa siku hizi!!! Si umeona ndg. Malima alivyojaribu ktutpiga changa la macho kule Moro eeh...

- Misguided, mimi FMES sigombei anything nipo hapa na Kumkoma nyani mpaka keielweke!

ES!
 
Kaka, mbona unatuangusha. Hauniangushi mimi, bali unaliangusha taifa zima. Unaangusha chama chako, unamuangusha, mkeo wanao pamoja na familia. Ni bor autabumbue kwamba unapigana na kivuli chako mwenyewe. Watu wanakuchora na wengi wataanza kujiuliza kuhusiana na afya yako hasa akili. Fanya hima mkuu haya mambo uachane nayo. hayana tija.

Jaribu kuweka mikakati ya kujijengea heshima katika jamii. Kwani ukinyamaza watakulazimisha kuongea. Najua una mengi moyoni na akilini, ila unavyozidi ugomvi mtandaoni ndivyo mengi mazuri uliyonayo yanavyozidi kupukutika. Unapojaribu kuwa kiongozi, unakuwa kioo cha jamii. Jioni wewe kama kioo ambacho vijana wengi wadogo humu wanatumia kujitazama mapungufu yako. Tafadhali hachana na huu upuuzi. Wengine tuna mengi na tumenyamaza hadi hapa ni vyema utafakari kwamba umefika mbali

Asante
Lumato

- Lumato, naomba nijaribu kukuelewa as I can, kwanza nilikuw nieamua kukuacha lakini kuna kitu kimefanya na somebody kwenye post yako ndio kimenifanya nikujibu,

1. Kwanza unasema nimekuangusha wewe na taifa, how? Unasema anaposhambuliwa member wa hapa JF kwa matusi ya nguoni na majungu, eti ninakuelew avizuri kwamba wengine wote tunatakiwa kunyamaza maana kurekebisha ukweli ni kujishusha hadhi? Really? Wewe Lumato na mimi FMES sasa tunamuangusha nani na majina yetu ya bandia?

2. And then unaongelea mke na watoto wangu, FMES wewe unawajua toka lini? I mean unasema kwa haya wewe unajijengeea heshima katika jamii? mimi sikujui na wala mke wako simjui lakini nitajijenge heshima kwa kukubali what matusi anayotukanwa the person I know kuwa ni uongo mtupu wakati najua anayemtukana ndiye mwenye matatizo mpaka shungoni unasema kwa kujibu ukweli ninajivua heshima? So be it JF unasema tuajivua heshima kwenye jamii kwa kukemea maovu ya Viongozi? Unasema haya hayana tija lakini umeandika a looong article just bto deal na something wiht no tija? REally?

3. FMES unasema ni kiooo cha jamii na kwamba kwa kumtetea mtu ninayejua anachafuliwa bure hapa ninakuwa mjinga na kwamba ninajishusha hahdhi? ha! ha! ha! Brother tupo hapa JF kukosoa Taifa kwa facts, evidence na dataz ndivyo tulivyoanza hapa JF, hivi majuzi nilikutana na RO he had a lot to say na how we used to be, sio sasa matusi mengi na majungu, tuliposhambulia Richmond, IPTL, MEREMETA, na mengineyo tulikuwa na facts, datz, evidence sio majungu na matusi, sasa wewe unasema kujibu matusi yenye uo0ngo na majungu ni kujishusha hahdi na heshima?

4. Unashauri ninyamaze, kwa nini hushauri JF inyamaze ili tuwe na heshima kwenye jamiii? Mitandaoni hakuna ugomvi, hapa tuna hoja, na viroja na ni lazima yote yajibiwe iwapo kuna wenye ukweli kutofautisha facts na majungu, huu uliokufanya uuuandikie all this big post sio upuuuzi kama unavyosema, kubali nia na madhumuni ya kuona member mwenzetu anachafuliwa imekwama na sasa unajaribu kuatfuta maneno ya sympathy na wengine humu kwa kujifanya msamaria mwema sana ukiwa unasahau how long we have been here in this game!

- Ninachokijua kuwa ni ukweli sijawahi hata siku moja kunyamaza eti ili nijijengee heshima na jamii, siku zote huwa ninasimama na kusema wazi ukweli na kuuweka wazi uongo ulipo, ninasema tena na tena majungu na uongo hapa kwangu hayana nafasi, wote tuna mapungufu lakini sio ya kulazimishana kwa nguvu ni fair kabisa kumfungua yoyote yule anayetukana wengine yaani wanajamiii bila sababu za msingi,

Again ninaomba nikuhahakikishie kwa Miungu yangu yoe kwamba tokea jana nimeamua kulivalia njuga hili la matusi humu, kuna siku nilikutana na wabunge kina mama, it was very embarrassing hata kujisema mimi ni member hapa kutokna na waliyoniambia, ninasema sasa nipo hapa bongo ambako everyhting is possible, nikiona matusi kwa mtu anaonewa au yoyote akinililia kutukanwa hapa bila sababu as they do, nitatumia kila ninalolijua kuhakikisha ninamtafuta yule mtukanaji na kumpa haki yule anyetukanwa bila sababu, hiyo sio kazi ya JF ni kazi ya wananchi wasiopendezewa kama mimi na wengine wengi jana nilikutana nao pale City Garden abnd believe I mean what I say kama kwa kutetea wanaotukanwa bila sababu ninajishusha hadhi na heshima so be it!

Otherwise, mimi FMES sigombei anything wala sina mpango wa kugombea anything will always remain Wazee Wa sauti ya umeme!

UWE NA SIKU NJEMA NA kumbuka sikutaka kukujibu lakini nimeona agenda kwenye post yako kuwa modified na mkono wa mmtu flani hivi ha! ha! ha! ha! ndio nikaamua kukujibu, sitanyamaza hata siku moja, Viongozi wakikosea nitasema kama kawa na wananchi hapa wakikosea nitasme kama nilivyofANYA KWENYE HII THREAD kama wewe ni kiranja au unatumiwa na watu kuchafua watu humu karibu sana ila,be ready cause utachafulwia pia!

Es!
 
mhn.....! binafsi ningefurahi kama tungechagua wanasiasa wanaeelwa vizuri sheria na uchumi wapo tayari kutetea nchi yetu na sio jina la mtu.
tusiweke watu wanaendwa kuburuzwa wenzetu wakenya na warwanda wamejipanga au wanajipanga vizuri si tunabeba mautumbo kila siku tuwe makini.
 
na haja ya kuweka live forum ya JF watu tutwangane makondeeeee, halafu tuendelee na keypads...
 
Niliweka BTW Mkuu.......kutofautisha uhusiano wa picha na hoja..........Sina hakika kama Joe alirithishwa CLOUDS na baba yake ila najua Marehemu Mzee Kusaga alikuwa Managing Director wa Clouds......Nikikutana na Justin ntamuuliza

Marehemu Mzee Kusaga alikuwa insturmental kwa mafanikio ya clouds kwa kutoa support na ushauri kwa vijana!!
 
Marehemu Mzee Kusaga alikuwa insturmental kwa mafanikio ya clouds kwa kutoa support na ushauri kwa vijana!!

- I berg to differ, Marehemu aliikuta Clouds imesimama ikiwa kule kitega Uchumi, kwanza he was opposed na ides ya Joe kuanza kupiga Dicso tena pale Motel Agip, lakini baaadaye alipooona mafanikio makubwa ya Joe akiwa Leaders Club, baada ya kuhama Motel Agip ndio akajiunga nao, Joe ndiye the Clouds!

Es!
 
Huu ni upotoshaji na ni aibu kwa mtu anayetaka ofisi kubwa kuwa mtu wa uongo na majungu kiasi hiki, bilicanas is just a club, na SIYO Casino.

Futa kauli yako.

Huyu bwana kweli ni muongo kwani huko nyuma anasema FACEBOOK went public two months ago; !!! I just checked na kuona kuwa bado hawajaenda public. Can you tell us if they have gone public under which initials is their stock traded?
 
Huyu bwana kweli ni muongo kwani huko nyuma anasema FACEBOOK went public two months ago; !!! I just checked na kuona kuwa bado hawajaenda public. Can you tell us if they have gone public under which initials is their stock traded?

- Muongo ni yule anyeongea bila facts, Facebook wameenda public siku nyingi sana na please kwa nini suiofungue mjadala wake maana huu hauhusu!

Es!
 
MIAFRKA NDIVYO TULIVYO.....I hate watu wanopenda sana kuzungumzia maisha ya watu wengine ili hali yao yanawashinda..Hivi kwa nini msiyapeleke haya kwenye blog ya Mange maana ndio udaku umehamia kule toka Michuzi..
 
- I berg to differ, Marehemu aliikuta Clouds imesimama ikiwa kule kitega Uchumi, kwanza he was opposed na ides ya Joe kuanza kupiga Dicso tena pale Motel Agip, lakini baaadaye alipooona mafanikio makubwa ya Joe akiwa Leaders Club, baada ya kuhama Motel Agip ndio akajiunga nao, Joe ndiye the Clouds!

Es!

Tazara bana sio Leaders........Joe couldn't move without mzee.....original idea ya CLOUDS ni Justin
 
Tazara bana sio Leaders........Joe couldn't move without mzee.....original idea ya CLOUDS ni Justin
Mkuu vipi mbona mnabishana juu ya Clouds? Clouds inatoka mbali sana toka enzi za Sunsui sijui kama mnalijua hilo...
 
Mkuu vipi mbona mnabishana juu ya Clouds? Clouds inatoka mbali sana toka enzi za Sunsui sijui kama mnalijua hilo...

Hapana sio Sansui.....ni baada ya Justin kurudi kutoka Holland akaja na mitambo ya Disco.....Sansui ilshakuwepo kitambo.....na akilewa atakwambia kirefu cha CLOUDS.......Celebrate Life On Universal Dancing Systems
 
Mkuu vipi mbona mnabishana juu ya Clouds? Clouds inatoka mbali sana toka enzi za Sunsui sijui kama mnalijua hilo...

sasa na wewe mbona umeuvaa mkumbo wa comments za kina mange??

hii inahusiana vipi na Jamaa kugombea ubunge EAC
 
Wataalamu wa kupotezea, ha. ha. haa.

La msingi ni kwamba William hafai huko EALA. Basi.

:emptybath:
 
Back
Top Bottom