William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

mmmmhhh langu jicho ngoja nimsubirie marie atasemaje juu ya hilo..
 
Yaani CCM ndio mtadhihirisha kuwa nyie ni bomu kabisa...huyu jamaa hayuko sawa,sijui nyie uwa mnamuonaje.Tembelea profile yake ya facebook ndio utajua naongea nini...kazi yake ni sifa za kijinga kijinga mno.Mara you know,you know nyiiiingi.Sidhani kama atafanikiwa kupata hata kura moja.Mimi namshauri kama kweli ana nia hiyo aweke pembeni kabisa,yeye zake sifa na asijaribu siasa.
 
Mkuu kuna sehemu nawahi niatakuunga mkono baadae, hili jamaa ni kubwa kiumri lakini bure kabisa!
 
Hayo majina yote ni mtu mmoja? Mara baharia, mara Lee, mara Willy, mara......!!!! Huyu jamaa ni muhuni na hafai ktk nafasi yoyote ya uongozi. Aendelee tu kuwa baharia.
 
Mkuu kuna sehemu nawahi niatakuunga mkono baadae, hili jamaa ni kubwa kiumri lakini bure kabisa!

Hivi hilo lijamaa lina umri gani sasa hivi'halafu jamaa kilaza kweli hivi alishindwa kuja ku invest kwenye biashara anahangaika na siasa za bongo?sasa miaka yote newyork analeta siasa??wabongo bana!
 
..Hussein Bashe naye nasikia anataka kwenda kwenye bunge la EAC!!

..wa-Tanzania tunatakiwa kupeleka "the cream of the cream" ktk bunge la EAC.

..kuna mambo mazito yanajadiliwa na kuamuliwa huko na ni vizuri tukapeleka wasomi, tena wale makini kwelikweli.
 
WaTZ ndio nchi pekee ambayo kila mwananchi anazaliwa na kipaji cha siasa.
Wabunge wa bongo:-
waganga,waimba kwaya,waimba taarabu,mabaharia...! hii nchi bure kabisa.

Mkuu usishangae, hii ni nchi ya kusadikika na kila kitu ni cha kusadikika tu. umesahau Dr na PHD holders fake nao wana vipaji vya siasa
 
..Hussein Bashe naye nasikia anataka kwenda kwenye bunge la EAC!!

..wa-Tanzania tunatakiwa kupeleka "the cream of the cream" ktk bunge la EAC.

..kuna mambo mazito yanajadiliwa na kuamuliwa huko na ni vizuri tukapeleka wasomi, tena wale makini kwelikweli.

Bashe akiwa mbunge inabidi Chiligati ajiuzulu maana walimyima kugombea ubunge nzega kwa kuwa hakuwa raia wa Tanzania. Sasa uraia kaupata wapi mpaka agombee ubunge safari hii????
Mh. Kigwangala mfikishie ujumbe huu Mh. Chiligati maana nahisi yeye sio member wa jukwaa hili
 
salaam,
kama kutakuwa na ukweli kwenye hili,ukizingatia exposure anayoonekana kuwa nayo kimataifa,may be ataweza kutusaidia kwenye mijadala ya bunge hilo kwa upana zaidi .
 
WaTZ ndio nchi pekee ambayo kila mwananchi anazaliwa na kipaji cha siasa.
Wabunge wa bongo:-
waganga,waimba kwaya,waimba taarabu,mabaharia...! hii nchi bure kabisa.

Wazinzi,waganga wa kienyeji,wauza unga nk.
 
Yaani CCM ndio mtadhihirisha kuwa nyie ni bomu kabisa...huyu jamaa hayuko sawa,sijui nyie uwa mnamuonaje.Tembelea profile yake ya facebook ndio utajua naongea nini...kazi yake ni sifa za kijinga kijinga mno.Mara you know,you know nyiiiingi.Sidhani kama atafanikiwa kupata hata kura moja.Mimi namshauri kama kweli ana nia hiyo aweke pembeni kabisa,yeye zake sifa na asijaribu siasa.

Mkuu nakuunga mkono 100% Huyu kijana siyo mzima ana matatizo ya aina fulani. Ngoja wasubiri wataona. He is the type to committ in a mental insitution. Jamaa siyo mzima nadhani ndani ya magamba wameshamuona, ila kwa vile ni kurithiana lolote litawezekana tu
 
Hii Tabia ya kupangiana ubunge itakoma rasmi 2015,kwani wabunge wa magamba watakuwa below 30% bungeni kwa hiyo mtu atauzika kwa seraq nzuri na utendaji makini si kama sasa ushemeji,ukwe na hata upenzi ndio kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.Freedom is coming......
 
salaam,
kama kutakuwa na ukweli kwenye hili,ukizingatia exposure anayoonekana kuwa nayo kimataifa,may be ataweza kutusaidia kwenye mijadala ya bunge hilo kwa upana zaidi .
mijadala gani anayoweza changia?labda kuisifia Fm Academia.
 
Oh Ndio Maana alihudhuria Bunge Mara kadhaa walipokuwa na Vikao Dodoma kabla ya kuahirishwa, na alikutana na Wabunge kadha wa kadha.

Hadi Mawaziri, Manaibu, Wabunge wa kuteuliwa, Wabunge Vijana kweli atapita Sababu Mtoto wa Mkuu anajua kujitangaza

Back
Top Bottom