William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

To Mkandara

to be honest william fits into local politics, coz he is brought up to it

he doesnt fit to any quality of my EAF member need a person who is articulated well with
  1. education priorities, challenges and politics around our region
  2. infrastructure and regional integration logistically
  3. natural resources that is hurting our vision of integration
  4. tourism and hospitality industry (we are doomed for now na waziri zero0
  5. health care system (regulatory issues on pharmaceuticals, benchmarking services packages etc)
  6. economic integration (factors, tools, performance indicators)
  7. understanding of local dynamics - he cant
  8. a person who know legislative, legal system, social integration tactics and the best communication skills let alone a well brought up candidate

moreover, we need a persona who is well manaered and balanced sio wa kuulizwa swali dogo na kuanza kusema oooh nakujua babako ni fulani umeona cha moto jana etc.....

In short Willy fails miserably in almost every aspect except being a JF member... he could do better in our bunge because even chiku abwao na sofia simba ni wabunge but he lacks all the other vital qualities
Brother there ain't no qualities of MP member to the EAC other than being legislator, advocate for our causes, ombudsnman, and most obvious role is to REPRESENT US...
You dont need special talent or knowledge other than play an indirect role in the shaping of important policies affecting your constituents lives and above all, ever and in all cases - Prefer their interests to yours. Anything mentioned above can be learned as long as you're part of it. We ain't planning to built a nuclear facility..
 
Ok, sasa sina cha kuuliza nimeshapata mbivu na mbichi ni zipi!! pole sana @ New York pale bandarini kuna meli za uvuvi nadhani tutumie kipaji chako ili zile meli zianze kufanye kazi, haya mambo ya siasa waachie wengine.

- Wewe subiri kuamrishwa na mke aliyekuoa huko ughaibuni, huku bongo achia wanaume kina William! ha! ha! ha! ha!

Es!
 
wewe imbecile FMES, hebu nijibie post hii, willy ana any qualities kati yanhizo nane??

kubaffff

- Off course hana qualities za kubebwa na mke huko ughaibuni kama wewe, kama mwanaume njoo huku tucheze rumba la bongo uone kama utakwua haya maneno mengi empty, wewe Tanzania tunaongozwa na kila mtu halafu unataka kujifanya wewe ndio unajua sana mara mke mara watoto wa William, vipi jamaa kuwa rafiki na mke wako ndio imekwua nongwa, kila kukicha matusi, si alikupigia sim uache haya matusi? I mean yaaani kukukataza usiiingie kwenye ndege wakati wa kuondoka kwake, lakini akamruhusu mkeo ndio imekwua nongwa, wewe unajua jinsi familia yako ilivyojaa vichaa halafu unakuja kutukana wengine hapa vipi wewe?

- Mwanaume mzima maneno maneno ya watoto na mke wa mtu wewe mtoto wa kimue umeyajuaje? haya wachia wanawake waongee kule kwenye viychen party vyao sio huku JF kwa wanaume wanaokata ishu, I mean hatuwezi kujadili kitu ohhhh William na chalid support, wewe ndiye ex mke wake? au wewe ni mtoto wake? mambo ya William na ex wake na watoto wake wewe ymekuhusu vipi maana ni muda sasa unayalilia, sasa sema unachojua maana ile siku ya siku imefika, kata mzizi wa fitina sasa weka wazi ukweli na wewe wako uwekwe zaidi!

- WEwe quality ni kulelelewa na mke huko ughaibuni ndio unaita quality ya uongozi wa Tanzania? ha! ha! ha!:thinking: I mean anyetaka kunifungia humu he can just go ahead I dont care lakini wewe huwezi kwua kila mara unaruhisiwa kumtukana jamaa William bila facts halafu unajifanya kujigeuza geuza, wacha wivu baki kulelewa na mke huko ughaibuni, ya Willoiam na mke wake na watoto wake hayahusu hapa kwenye siasa za JF, na ukome sasa na majungu yako ya kike!

wewe huna quality kabisa not as leader but as a man mwanaume mzima kutunza na mke ndio unajiita una quality?

Es!
 
Duh!Fmes anamkabili Balantanda kwa maneno yaleyale anayoyatumia kwa MTM na JB Wiser!Ina maana hawa jamaa watatu wote wanalife style la aina moja na wamefanana kila kitu!
Its getting too personal now wakubwa you just stop here and clear up your problems behind the Jf scene.You are better than that both of you.
 
Brother there ain't no qualities of MP member to the EAC other than being legislator, advocate for our causes, ombudsnman, and most obvious role is to REPRESENT US...
You dont need special talent or knowledge other than play an indirect role in the shaping of important policies affecting your constituents lives and above all, ever and in all cases - Prefer their interests to yours. Anything mentioned above can be learned as long as you're part of it. We ain't planning to built a nuclear facility..

................and that is why we will always remain where we are, mkiani!!! i betcha would say the same for the diplomats and any delegate on anything

Being a participant in several EAF technical and strategic meetings for the federation (a few years ago), i identified those as weaknesses in representation on our part, NO ONE CAN SHAPE ANY IMPORTANT POLICY without have knowledge and qualities to present his/her case... we dont need numbers, we need quality

BASI, KESI YANGU IMEISHA KWANI UMEDHIHIRISHA ONCE AGAIN KWAMBA WEWE NI WALEWALE WA BORA LIENDE

Never seen a good advocacy person who is as weak in building any case as William, much as you are respected here in JF, sometimes your views as as shoddy as they can be:A S confused:
 
Duh!Fmes anamkabili Balantanda kwa maneno yaleyale anayoyatumia kwa MTM na JB Wiser!Ina maana hawa jamaa watatu wote wanalife style la aina moja na wamefanana kila kitu!
Its getting too personal now wakubwa you just stop here and clear up your problems behind the Jf scene.You are better than that both of you.
usimjali, he/she is a piece of waste, paranoia and probably schizo
 
- Off course hana qualities za kubebwa na mke huko ughaibuni kama wewe, kama mwanaume njoo huku tucheze rumba la bongo uone kama utakwua haya maneno mengi empty, wewe Tanzania tunaongozwa na kila mtu halafu unataka kujifanya wewe ndio unajua sana mara mke mara watoto wa William, vipi jamaa kuwa rafiki na mke wako ndio imekwua nongwa, kila kukicha matusi, si alikupigia sim uache haya matusi? I mean yaaani kukukataza usiiingie kwenye ndege wakati wa kuondoka kwake, lakini akamruhusu mkeo ndio imekwua nongwa, wewe unajua jinsi familia yako ilivyojaa vichaa halafu unakuja kutukana wengine hapa vipi wewe?

- Mwanaume mzima maneno maneno ya watoto na mke wa mtu wewe mtoto wa kimue umeyajuaje? haya wachia wanawake waongee kule kwenye viychen party vyao sio huku JF kwa wanaume wanaokata ishu, I mean hatuwezi kujadili kitu ohhhh William na chalid support, wewe ndiye ex mke wake? au wewe ni mtoto wake? mambo ya William na ex wake na watoto wake wewe ymekuhusu vipi maana ni muda sasa unayalilia, sasa sema unachojua maana ile siku ya siku imefika, kata mzizi wa fitina sasa weka wazi ukweli na wewe wako uwekwe zaidi!

- WEwe quality ni kulelelewa na mke huko ughaibuni ndio unaita quality ya uongozi wa Tanzania? ha! ha! ha!:thinking: I mean anyetaka kunifungia humu he can just go ahead I dont care lakini wewe huwezi kwua kila mara unaruhisiwa kumtukana jamaa William bila facts halafu unajifanya kujigeuza geuza, wacha wivu baki kulelewa na mke huko ughaibuni, ya Willoiam na mke wake na watoto wake hayahusu hapa kwenye siasa za JF, na ukome sasa na majungu yako ya kike!

wewe huna quality kabisa not as leader but as a man mwanaume mzima kutunza na mke ndio unajiita una quality?

Es!

Orait, i am in bongo right now.... havent talked about your wife or your kids coz i dont need to!!!

nobody will need to fungia you coz there is no need... Just do your homework, mimi sio incognito, nafahamiana na members zaidi ya 100 humu na tunakutana sana maeneo ya sinza na kwingineko, sielelwi wala sikimbi-kimbii matatizo. at least i know my limits

wewe hujui ndio maana unakimbilia kufananisha life styles za bala, MTM etc etc. coz you are sick, mentally
 
na huyu ndiye mbunge mtarajiwa wa africa mashariki.... ni bora tuweke kanga moko kieleweke

nimekua nikisema huyo mtu ni janga kwa taifa , janga la familia yake na janga la kimtandao !
 
- Hajawahi kushindwa kujibu ila wewe ndiye huna facts wala evidence za ku-prove uongo wako mtumzima, ongea kama mwanaume na uweke ukweli hapa maneno maneno ya majungu kwa sababu William ni rafiki wa karibu wa mkeo, fitina chuki mapaka kidogo umfukuzishe kazi mkeo, miezi sita amesiamishwa kazi kwa sababu za chuki zako na wivu wa kijinga I mean bosi kamuita kazini Jumamosi wewe unataka kwenda kupigana na bosi ndio tabia zako na zipo hapa very clear na mawivu na machuki ya kijinga sana kazi kuropoka ropoka mara kujiiita hivi mara vile mtu mjinga bana, kichwa kikubwa lakini ndani mawe kama anavyosema mke wako all the times! ha! ha1 ha!

- Mtumzima miaka 25 Majuu hata kibando tu cha chumba kimoja huna kazi miparty tu kila siku, sasa wewe utajilinganisha na William, Shamba Eka tano Kinyerezina nyumba ya ajabu, sasa amerudi kula jasho lake wewe unalia lia hapa na kumtukana si wewe mwenyewe ulie ndekza starehe na maparty kila siku, kwenu huko tunasikia ni waya wa ajaabu wewe kujifanya fanya na maparty kujishaua shaua, jaribu kurudi bongo kama hukufa, unafikiri bongo ni mchezo mtaishia huko huko kuuuza nguo za wanawake dukani mwanaume mzima, mwanaume mzima kuioshi kutegema mshara wa mke ha! ha! ha! kazi kujifanya masuti na matai, watu wanakucheka bro cause mke wako anasema ha! ha! ha1 mijitu mingine bana!

- HESHIMA MBELE LAKINI! HA! HA! HA!
ES!

...Kweli ukistaajabu ya Livingstone Lusinde utakutana na ya William Malechela, wakikutana hawa wawili kweli Kibajaji anaweza akaonekana genius...
 
- Hajawahi kushindwa kujibu ila wewe ndiye huna facts wala evidence za ku-prove uongo wako mtumzima, ongea kama mwanaume na uweke ukweli hapa maneno maneno ya majungu kwa sababu William ni rafiki wa karibu wa mkeo, fitina chuki mapaka kidogo umfukuzishe kazi mkeo, miezi sita amesiamishwa kazi kwa sababu za chuki zako na wivu wa kijinga I mean bosi kamuita kazini Jumamosi wewe unataka kwenda kupigana na bosi ndio tabia zako na zipo hapa very clear na mawivu na machuki ya kijinga sana kazi kuropoka ropoka mara kujiiita hivi mara vile mtu mjinga bana, kichwa kikubwa lakini ndani mawe kama anavyosema mke wako all the times! ha! ha1 ha!

- Mtumzima miaka 25 Majuu hata kibando tu cha chumba kimoja huna kazi miparty tu kila siku, sasa wewe utajilinganisha na William, Shamba Eka tano Kinyerezina nyumba ya ajabu, sasa amerudi kula jasho lake wewe unalia lia hapa na kumtukana si wewe mwenyewe ulie ndekza starehe na maparty kila siku, kwenu huko tunasikia ni waya wa ajaabu wewe kujifanya fanya na maparty kujishaua shaua, jaribu kurudi bongo kama hukufa, unafikiri bongo ni mchezo mtaishia huko huko kuuuza nguo za wanawake dukani mwanaume mzima, mwanaume mzima kuioshi kutegema mshara wa mke ha! ha! ha! kazi kujifanya masuti na matai, watu wanakucheka bro cause mke wako anasema ha! ha! ha1 mijitu mingine bana!

- HESHIMA MBELE LAKINI! HA! HA! HA!
ES!

Kwa asiemjua mtu huyu anaweza kusema jamaa kawekeza Tanzania ! katika maneno mia asemayo mtandaoni ama kwenye maisha halisi neno moja laweza kuwa kweli ! kajumba kanaanguka kule Kinyerezi wala hakana heka hata moja ! uwongo na kwa uwongo wqango natilia shaka mambo mengi kukuhusu ! narejea Dar es salaam leo , nataraji kukutafuta ili kwambie hufai kwa nafasi hiyo ! . .
 
- Balatanda uwe na aibu kidogo mtumzima, William ameachana na mkewe miaka miwili na nusu iliyopita, je ni wewe ulikwua unawalisha watoto wake? Au wewe ni mke wake William? ha1 ha! ha! unachojua ni nini hasa kuhusu ndoa na watoto wa William? William amejenga nyumba Tanzania kule Kinyerezi ili uje wewe mkewe uishi au yeye? Hivi aliwahi kukwambia kwamba anakwenda US kutafuta maisha na siku atakayorudi?- Je ni wewe unayewalisha watoto wake sasa? I mean mtu amefanya kazi Ubaharia 6 years Europe aka-retire, na sasa amefanya kazi 23 years US ame-retire, unasema wewe ndiye unaye-handle mambo yake kwamba unajua namna watoto wake na his ex wanavyokula? Mbona unashuka chini sana bro na hizo chuki? Tunajua William alikwua rafiki sana na mkeo ndio wivu wako unakuumiza na kuja hapa kumchafua huku huna facts, unless wewe ni mke wa Willliam!- Sasa hivi Baba yake William yupo New York na watoto wapo naye Hotelini, so much kwa mtu aliyekimbia watoto wake, wacha maneno ya kike hayo wewe ni mwanaume mtumzima sana, kama huji ul;iza umeshupalia sana hizi habari as if una ukweli, Balatanda ni aibu kwa mwanaume kama wewe kurusha rusha maneno usiyo na uhakika nayo hujui William alipoondoika amewaachia watoto wake hela ngapi na sasa anawatumia hela ngapi kama wewe ni mke wake sema hapa kama William hasaidii watoto wake? POLE SANA MKUU!HESHIMA MBELE SANA BALATANDA!FMES!
I see.........Kwani mkuu William ni nani kwako?........Maana siku zote tunamuuliza hili swali la kukimbia Child support US hajawahi kujibu kama wewe ulivyojibu......Yaani umejibu as if wewe ndio William.....Binafsi siwezi kuwa na chuki na William kaa unavyodhani......Hapa nilichotaka ni William kutueleza ukweli wa hizo tuhuma/tetesi ambazo kimsingi si nzuri kwa mwanasiasa mtarajiwa ambaye soon atakuwa public figure wa Tanzania.......Ungemjibia ukiwa umetulia badala ya kujibu kwa JAZBA na kutokwa mapoovu kama hivi ungeeleweka zaidi Bro.......
 
Kwa asiemjua mtu huyu anaweza kusema jamaa kawekeza Tanzania ! katika maneno mia asemayo mtandaoni ama kwenye maisha halisi neno moja laweza kuwa kweli ! kajumba kanaanguka kule Kinyerezi wala hakana heka hata moja ! uwongo na kwa uwongo wqango natilia shaka mambo mengi kukuhusu ! narejea Dar es salaam leo , nataraji kukutafuta ili kwambie hufai kwa nafasi hiyo ! . .

dawa ni kumkaribisha nyumbani anadhani kila aliyemuacha wakati anapelekewa nje kuepusha mibange ni sawa na yeye...
 
I see.........Kwani mkuu William ni nani kwako?........Maana siku zote tunamuuliza hili swali la kukimbia Child support US hajawahi kujibu kama wewe ulivyojibu......Yaani umejibu as if wewe ndio William.....Binafsi siwezi kuwa na chuki na William kaa unavyodhani......Hapa nilichotaka ni William kutueleza ukweli wa hizo tuhuma/tetesi ambazo kimsingi si nzuri kwa mwanasiasa mtarajiwa ambaye soon atakuwa public figure wa Tanzania.......Ungemjibia ukiwa umetulia badala ya kujibu kwa JAZBA na kutokwa mapoovu kama hivi ungeeleweka zaidi Bro.......
anajua anachofanya.... ila hajui anafanya nini!!! LOL
 
- Hajawahi kushindwa kujibu ila wewe ndiye huna facts wala evidence za ku-prove uongo wako mtumzima, ongea kama mwanaume na uweke ukweli hapa maneno maneno ya majungu kwa sababu William ni rafiki wa karibu wa mkeo, fitina chuki mapaka kidogo umfukuzishe kazi mkeo, miezi sita amesiamishwa kazi kwa sababu za chuki zako na wivu wa kijinga I mean bosi kamuita kazini Jumamosi wewe unataka kwenda kupigana na bosi ndio tabia zako na zipo hapa very clear na mawivu na machuki ya kijinga sana kazi kuropoka ropoka mara kujiiita hivi mara vile mtu mjinga bana, kichwa kikubwa lakini ndani mawe kama anavyosema mke wako all the times! ha! ha1 ha!

- Mtumzima miaka 25 Majuu hata kibando tu cha chumba kimoja huna kazi miparty tu kila siku, sasa wewe utajilinganisha na William, Shamba Eka tano Kinyerezina nyumba ya ajabu, sasa amerudi kula jasho lake wewe unalia lia hapa na kumtukana si wewe mwenyewe ulie ndekza starehe na maparty kila siku, kwenu huko tunasikia ni waya wa ajaabu wewe kujifanya fanya na maparty kujishaua shaua, jaribu kurudi bongo kama hukufa, unafikiri bongo ni mchezo mtaishia huko huko kuuuza nguo za wanawake dukani mwanaume mzima, mwanaume mzima kuioshi kutegema mshara wa mke ha! ha! ha! kazi kujifanya masuti na matai, watu wanakucheka bro cause mke wako anasema ha! ha! ha1 mijitu mingine bana!

- HESHIMA MBELE LAKINI! HA! HA! HA!
ES!
Nioneshe ni wapi William amejibu hilo swali mkuu.....Sina wivu na William mkuu....

Punguza MAPOVU mtoto wa kiume.....Yaani unaendelea kujianika tu....Unavyoandika utadhani unanifahamu....Kumbe unachemka tu.....Hayo ya kukaa majuu na kuwa na kibanda ama shamba Kinyerezi ni ya kwako.....Suala hapa ni William kukimbia majukumu ya kulea watoto wake US na si kingine........

Bala ni zaidi ya umjuavyo mkuu......Hayo maparty na mastarehe unayoyaandika hapa nayasikiaga hewani tu......Mimi ni mtu tofauti sana na pacha wako William......
 
Hivi niwaulze kinawawasha nini haswa na huyu William maanake najua sana toka ametoka Marekani roho za watu za kichawi zinamfuata kila anapokwenda. Kwanza mnavumisha habari kibao wengine watu wake wa karibu sana, wengine walimsindikiza hadi Airport na kuanza kuvumisha habari mijini..
Iwe anafaa au haifai wewe kama Mtanzania interest zako ni zipi ktk jumuiya hiyo ya Mashariki maana kumchagua Lipumba au Kitila wakati hatufahamu kama wanakubaliana na mwelekeo wa Jumuiya yenyewe. Pengine hata wewe mwenyewe hukubalinaia na mtazamo wa Lipimba au Kitila hivyo nadhani tutakuwa tunamsaidia zaidi William, Kitila au Lipumba ikiwa mjadala huu utabadilika toka kumzungumzia William na kuwa sisi Watanzania tunataka Jumuiya hii iwe vipi. Hii itamsaidia Balozi yeyote kuwakilisha matakwa ya wananchi zaidi ya hizi porojo za hapa Kijiweni.

William hafai kwa sababu gani?..

Hana Hadhi ya kuongoza hata mtaa ,na tunaomjua huyu hajawahi kutumia hata asilimia 10 ya akili yake katika kutenda , anatumia nguvu na mabavu daima kufikia maamuzi !

Mtu anaeshinda anacheza Ngwasuma J3 hadi Ijumaa anawezaje kupambana na wasomi wale wa Kenya na Uganda katika kulinda maslahi ya Tanzania.

Mkandara , tuachie huyu mtu , tunataka kuwaepushia janga na balaah katika uongozi , muache arudi NY na kwakua anataaluma ya ubaharia anaweza kurudi kuwa mvuvi mzuri kulingo uongozi.
 
- Bob imetosha sasa niachie huyu Balatanda, kwa utetezi kama wako unampa mwanya sana wa kuendelea kusema uongo uongo, ninasema hivi William amerudi Tanzania kuja kula jasho lake la baharini na US, ambako amefanya kazi kwa karibu miaka 26, amejenga nyumba na ana shamba kubwa sana la mazao, sasa unaposema huyu sio kiongozi unatakiwa kuweka facts, kwamba kiongozi anatakwia awe vipi? Abaki tu ughaibuni kutegema mshahara wa mke wake?

ES!
Wewe na mwenzako William hamna sifa ya kuwa viongozi bana......

Labda ukawe meneja wa bendi ya FM Academia 'wazee wa Ngwasuma'......Vinginevyo hamna sifa hata ya kuongoza mtaa......

Eti William amerudi Tanzania kula jasho lake la baharini na US.....My foot....

Hivi kila mtu akianza kutaja vitu alivyovipata/kuvijenga kutokana na jasho lake(majumba,mashamba n.k) si itakuwa vurugu hapa........SIFA za KIJINGA.........

Sina haja ya kuweka Facts kwangu mimi William Malecela na FMES ni kielelezo cha mtu asiye na uwezo na sifa za kuongoza.......Hiyo ndiyo fact yangu.......

Kumbe ni kweli ulikuwa ukiishi ughaibuni kutegemea mshahara wa mkeo sio....Umeamua kurudi Bongo kuzichanga kupitia siasa........I see
 
FM ES you are so low..weka hoja inayoshawishi kwa baharia wa mtera kutuwakilisha kwenye baraza hilo ukizingatia vichwa vya wakenya, rwanda nk
 
Back
Top Bottom