- Finally, haki kwa wote hapa JF Mods wabarikiwe sana maana ilikwua imekithiri, jamani Mods mbarikwie sasna na I promise kutoa USD $ 100.00 iwapo hii thread itaachwa hivi hivi as a lesson wka wanaotaka siasa za majitaka wkamba ni two ways, ukianza usilie kwenye kurudishiwa ukweli!, infact kama mpaka next weeekend hii thread ipo ivi ivi nitatao hizo hela rasmi hapa hapa, tumechoka sana na majitaka,
- JF tuliyoilalia macho kuipa credibility watu tume-risk our lives kwenye uchaguzi wa 2005, watu wame-risk their lives kwenye Richmond hapa, leo wanakuja hawa mazumbukuku kila ukiweka hoja wanarusha matusi, ukiweka hoja wanaibadili kwenye udini, I mean ukiuliza eti wanajua life za members hapa, sawa sawa sasa wajifunze mkuki ulivyo mchungu kwa nguruwe!
OTHERWISE KAMA ILIVYOSEMWA UKIPENDA KULA LAZIMA ULIWE! HA! HA! HA! HA! NA UKILIWA USILIE!