TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,585
- 18,731
- Hajawahi kushindwa kujibu ila wewe ndiye huna facts wala evidence za ku-prove uongo wako mtumzima, ongea kama mwanaume na uweke ukweli hapa maneno maneno ya majungu kwa sababu William ni rafiki wa karibu wa mkeo, fitina chuki mapaka kidogo umfukuzishe kazi mkeo, miezi sita amesiamishwa kazi kwa sababu za chuki zako na wivu wa kijinga I mean bosi kamuita kazini Jumamosi wewe unataka kwenda kupigana na bosi ndio tabia zako na zipo hapa very clear na mawivu na machuki ya kijinga sana kazi kuropoka ropoka mara kujiiita hivi mara vile mtu mjinga bana, kichwa kikubwa lakini ndani mawe kama anavyosema mke wako all the times! ha! ha1 ha!
- Mtumzima miaka 25 Majuu hata kibando tu cha chumba kimoja huna kazi miparty tu kila siku, sasa wewe utajilinganisha na William, Shamba Eka tano Kinyerezina nyumba ya ajabu, sasa amerudi kula jasho lake wewe unalia lia hapa na kumtukana si wewe mwenyewe ulie ndekza starehe na maparty kila siku, kwenu huko tunasikia ni waya wa ajaabu wewe kujifanya fanya na maparty kujishaua shaua, jaribu kurudi bongo kama hukufa, unafikiri bongo ni mchezo mtaishia huko huko kuuuza nguo za wanawake dukani mwanaume mzima, mwanaume mzima kuioshi kutegema mshara wa mke ha! ha! ha! kazi kujifanya masuti na matai, watu wanakucheka bro cause mke wako anasema ha! ha! ha1 mijitu mingine bana!
- HESHIMA MBELE LAKINI! HA! HA! HA!
ES!
na huyu ndiye mbunge mtarajiwa wa africa mashariki.... ni bora tuweke kanga moko kieleweke