idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,300
- 38,450
mkuu wangu tupambane kwa hoja! hii lugha umetumia tena dhidi ya member ambaye wengi tunamuheshimu hapa haipendezi kwa mtu mstaarabu na mungwana!
natumia simu ningekugongea like.!
mkuu wangu tupambane kwa hoja! hii lugha umetumia tena dhidi ya member ambaye wengi tunamuheshimu hapa haipendezi kwa mtu mstaarabu na mungwana!
Sio swala la kuhoji ila naowazungumzia wanajijua na wewe unaingilia ushabiki usioujua. Kumpinga William ni jambo la kawaida wala sijasema ndiye anafaa kuliko wote. Balozi huchaguliwa na sii maamuzi ya mzee Malecela wala Nape isipokuwa nafasi hii hugombewa na watu wengi tu. Hivyo mtu yeyote hapa JF au nje anaweza kugombea na badala ya sisi kumpa moyo ndio kwanza watu wanakuja na matusi kwa sababu tu hawampendi William na siku za nyuma walijifanya marafiki sana wa karibu. Kama sii Unafiki kitu gani?Bob......
Sidhani kama mtu kuhoji uwezo wa the so called WJM ni UNAFIKI....
Kumbuka nafasi inayodaiwa anataka kuigombea ni ya Uwakilishi wa nchi,Tanzania katika EALA......Akishinda atawawakilisha wananchi wa Tanzania,hivyo wananchi wa Tanzania wana haki ya kuhoji uwezo na sifa za huyo bwana WJM.....
Kama unamfahamu vizuri huyu bwana ni vema ukatueleza sifa zake(kiuongozi) zaidi ya kuwa BAHARIA.....Mbunge wa EALA ni zaidi ya Mbunge wa JMT..Hivyo anatakiwa ntu mwenye uwezo na sifa za kutetea maslahi ya Tanzania katika Jumuia ya Afrika Mashariki na si chekibobu wa aina yeyote ambaye hajawahi kuwa hata kiongozi wa mtaa zaidi ya porojo tu za JF na Facebook......Ubunge wa EAC ni zaidi ya kuishi na kuendesha gari US.....
Pia ni vema Mhishimiwa Mbunge Mtarajiwa akajibu tuhuma za kukimbia malezi ya watoto wake US......Maana kama ni kweli alikimbia Child support US basi atakuwa hafai kabisa kutuwakilisha EAC maana kama ameshindwa kuihudumia/kuiongoza familia yake atawezaje kuwa kiongozi mzuri wa Taifa letu hili changa?.....
Ni mtazamo tu.....
Bala.
Ninajua ninachokiandika na wala sijakurupuka na na kuingilia kishabiki kama unavyodai....Sio swala la kuhoji ila naowazungumzia wanajijua na wewe unaingilia ushabiki usioujua. Kumpinga William ni jambo la kawaida wala sijasema ndiye anafaa kuliko wote. Balozi huchaguliwa na sii maamuzi ya mzee Malecela wala Nape isipokuwa nafasi hii hugombewa na watu wengi tu. Hivyo mtu yeyote hapa JF au nje anaweza kugombea na badala ya sisi kumpa moyo ndio kwanza watu wanakuja na matusi kwa sababu tu hawampendi William na siku za nyuma walijifanya marafiki sana wa karibu. Kama sii Unafiki kitu gani?
Well, nambie sifa za mgombea Ubalozi wa EAC. Halafu tuendelee na mjadala. Kuhusu matusi, bila shaka mnamfuata yeye William na sio issue inayozungumziwa. Kuna mtu mnamtukana hapa JF hadi baba na mama yake kama William, hali mkitumia majina bandia?.. Kwa nini umtukane mtu na baba yake hapa JF wakati tunazungumzia issues. Babake anaingia vipi halafu mnategemea yeye afanye nini? mnaweka hadi picha zake na familia hii kweli haki?..sijasema wewe unafanya hivyo ila najibu hoja yako hapo juu.Ninajua ninachokiandika na wala sijakurupuka na na kuingilia kishabiki kama unavyodai....
Siwezi kumpa Moyo mtu aisye na SIFA wala UWEZO wa kuongoza kama WJM....Huo utakuwa nni uanfiki mkuu wangu....
Hivi kuna mtu bingwa wa Matusi JF zaidi ya WJM na pacha wake?....Hawa jamaa mara nyingi wakizidiwa/wakibanwa kwa hoja wanaanza kuporomosha matusi na vitisho bin viroja....
William hana sifa za kuwa Mbunge wa EAC......Ukweli ndio huo japo unauma
Bob......Well, nambie sifa za mgombea Ubalozi wa EAC. Halafu tuendelee na mjadala. Kuhusu matusi, bila shaka mnamfuata yeye William na sio issue inayozungumziwa. Kuna mtu mnamtukana hapa JF hadi baba na mama yake kama William, hali mkitumia majina bandia?.. Kwa nini umtukane mtu na baba yake hapa JF wakati tunazungumzia issues. Babake anaingia vipi halafu mnategemea yeye afanye nini? mnaweka hadi picha zake na familia hii kweli haki?..sijasema wewe unafanya hivyo ila najibu hoja yako hapo juu.
Mkuu wangu samahani sijakusudia kusema wewe napotumia Ujumla wa watu kwa sababu it's him against the world..William hakuziweka picha zake na familia hapa JF, na nililisema hilo toka siku picha hizo zimewekwa. Mbunge au balozi kwangu ni yale yale tu utaratibu wake wa kumpata mwakiloishi haupishani. Mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kujiamini anaweza kugombea na anaruhusiwa kugombea na hata kujiuza kwa watu - ni haki yake ya msingi. Humpendi achana naye mpigie mtu unayemkubali lakini sio kumkana mtu kwamba hafai hata kugombea. Maadam huna sifa wala hutaki kuzitaja basi ungekaa kimya kama unavyoshindwa kutaja sifa hizo maana huna unachotetea.Bob......
Sio Ubalozi ni Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki.....
Mimi situmii jina bandia kama unavyonijumuisha na hao wengine....Blantanda ni jina langu halisi la Kisukuma..Na si mmojawapo wa wanaomtukana WJM kama unavyodai na wala sijawahi kumtukana baba yake wala mama yake(simfahamu mama yake William)......Kwa suala la Picha nadhani ni William mwenyewe ndio aliingia JF kwa gia ya kuweka picha zake(angalia thread ya kwanza na ya pili ya William ndani ya JF)....
Kwa suala la sifa anazokosa William.......Sina haja ya kuzitaja maana zimetajwa nyingi sana kwenye thread hii na thread nyingine......Sina haja ya kurudia ila ukweli utabaki palepale kwamba WJM hana SIFA na Uwezo wa kuwa Mbunge wa EAC.....
Naomba kwa leo niishie hapa......Siku njema..
Bala.
Harlem said:Mbaya zaidi sisi watanzania hatupo aggressive usinambie kwamba kuna mtanzania ataenda kuomba kazi Nairobi au Kisumu hata kama soko la ajira litafunguliwa.jamani tuacha longo huu mjadala mpana mi nikifikiria consequence za hii kitu hadi mwili unanisisimka.sema ndo hatuna jinsi tunaingia bora tujipange ingawa tumeshachelewa.
Mkuu mbunge ni mwakilishi hayatoi maswala kichwani mwake.. Mkimtuma akazuia uhamiaji atafanya hivyo na kutetea kwa sababu mlizompa isipokuwa kinachotakiwa ni uwezo wa kujieleza na kuwakilisha. Ukimpelekea Lipumba ilihali tunafungua mipaka na ardhi, ajira sio issue yeye atasaidia nini. Mbona Wabunge wetu wasomi sana na wazungumziaji wakubwa ndio hulala bungeni na vijana wadogo tu kina Zitto, January, Kafulila, Halima Mdee huwaendesha hao wagumu bungeni. Ni kipimo gani kilichotumika?....Hivi na huu mradi uliishia wapi?...
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/35559-tangazo-maalum-mradi-wa-kazi-majuu.html
....So nchi yenye watu Million 40, kumtuma mtu mwenye fikra laini hivi kuwa Mwakilishi wetu EAC??? i doubt....
Mkuu mbunge ni mwakilishi hayatoi maswala kichwani mwake.. Mkimtuma akazuia uhamiaji atafanya hivyo na kutetea kwa sababu mlizompa isipokuwa kinachotakiwa ni uwezo wa kujieleza na kuwakilisha. Ukimpelekea Lipumba ilihali tunafungua mipaka na ardhi, ajira sio issue yeye atasaidia nini. Mbona Wabunge wetu wasomi sana na wazungumziaji wakubwa ndio hulala bungeni na vijana wadogo tu kina Zitto, January, Kafulila, Halima Mdee huwaendesha hao wagumu bungeni. Ni kipimo gani kilichotumika?
Jokakuu,
Pia sheria ya kuzuia haya mashirika kuja na wafanyakazi wao ingefuatwa (kama ipo) lakini tulichokijenga ktk EAC tayari ni donda kwa uchumi wetu. Kenya wamerudisha nguvu yao kubwa walokuwa nayo toka Ukoloni kiuchumi tukafanya kosa kubwa kuruhusu ajira wanaweza kuingia tukisahau kwamba ni hulka ya binadamu wote kuajiri watu wa kwao kwanza.
Mifano tunayo hapa hapa nyumbani na hata nje. Badala ya kulinda ajira zetu tukawapa na mwanya wa kuajiri watu wao. Sii Wachina, Wazungu, Wathailand na wageni wote waliokuja nchini hupeana wao nafasi kwanza kabla ya kumfikiria Mtanzania. Na hakuna kitu elimu kuzidiana zaidi ya Ujuzi maana Mtanzania anapokosa nafasi ya ajira hukosa kikubwa zaidi nafasi ya kujenga ujuzi..
Nakubaliana na wewe sana tu. Kumpeleka mtu na kugombea haya ni maswala mawili tofauti.. ila nataka unipe kipimo gani unachotumia kabla ya kumchagua mtu huyo. Kwa nfano, lLeo hii kuna mbunge wa CCM na Chadema wanagombea huko Arumeru nambie wewe sababu inayomfanya mtu yeyote aonekane hafai hata kugombea Ubunge huo?.....Sitaki kuamini kuwa tunaweza kupeleka robut tu kwa sababu eti tuta-programe ina advance sequence the action zote itakazokutana nazo, beware kwenye issue ya mahusiano au mijadala, Bunge la EAC likiwepo, pamoja na sera na dira ya nchi, ni lazima uwezo na ukomavu wa kifikra wa mhusika uzingatiwe, unless kama tunamchangia mtu kwenda kufanya utalii...
Na yawezekaa hii kuwa sababu ya nchi zetu kutoendelea maana nijuavyo mimi nimeendesha mashine za kila aina kwa kujifunza huku huku majuu. Hizi fikra za kwamba mtu anatakiwa kuwa na Phd ili kuendesha mashine au kuwakilisha ndizo zionazotukwamisha sana. Na mara zote CEO au waziri hapimwi kwa elimu bali ujuzi wake wa kuongoza Leadership.. Sisi ndio kwanza tunataza CV..Mkandara,
..tumewaachia hawa wawekezaji wafanye wanavyotaka.
..majuzi nilisikia muwekezaji wa kiwanda cha cement toka Kenya akilalamika ati wahitimu wa vyuo vikuu vya TZ hawajui kuendesha mitambo yake ya uzalishaji. Kwa msingi huo amelazimika kuajiri wa-Kenya.
..kwa maoni yangu mwekezaji mwenye mawazo kama hayo hana nia ya ku-train wa-Tanzania. zaidi, visingizio vya aina hiyo nimevisikia zaidi toka kwa wawekezaji toka Kenya na India.
..wawekezaji hawapo hapa nchini kuzalisha na kulipa kodi tu, bali na kutoa ajira kwa wa-Tanzania.
..kama kuna kitu ambacho wa-Tanzania hatuko aggressive basi ni ktk kuhakikisha kwamba maslahi ya nchi hii na watu wake yanalindwa. tuhakikishe kwamba sheria za ajira zinafuatwa. pia tuboreshe mitaala ya elimu ya juu ili wahitimu wetu wawe more competitive ktk soko la ajira.
Kabla huyu Mhishimiwa(WJM) hajatangaza nia ya kugombea Ubunge wa EAC aje jibu tuhuma za kukimbia Child support US...
Siku zote amekuwa akiulizwa suala hili anashindwa kujibu kwa hoja na badala yake anaanza kujibu matusi na maneno ya kashfa....
wanaokosa Hawana Wivu , ila wanajitahidi kuliepusha taifa na watu duni kifikra , watu duni kiuongozi, watu duni Kielimu,
watu duni kijamii
Mkuu hapa kama vile nakusoma kuwa unakiri kuwa wewe ni William?anyway sorry kama nimekusoma vibaya,endelea kukata issue
Kabla huyu Mhishimiwa(WJM) hajatangaza nia ya kugombea Ubunge wa EAC aje jibu tuhuma za kukimbia Child support US...
Siku zote amekuwa akiulizwa suala hili anashindwa kujibu kwa hoja na badala yake anaanza kujibu matusi na maneno ya kashfa....